mwaka 2024

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chiembe

    Katika nchi zote za Afrika Mashariki, William Rutto anamaliza mwaka 2024 akiwa Rais dhaifu kisiasa kuliko wote.

    Ndio, ni dhaifu kuliko Salva Kiir. Sasa anaomba Mungu Raila Odinga asijitikise kisiasa, akifanya hivyo jumba la ikulu ya Nairobi litapata nyufa na kubomoka. Ni kama ng'ombe aliyekatika mkia kwa kuwa hana Rigathi Gachagua, anaonekana muda mwingi ana wasiwasi, mawazo, amekosa uimara kama Rais...
  2. Meja Jenerali Isamuhyo

    Hizi ni baadhi ya nyuzi za Jamii Forums zilizonigusa kwa mwaka 2024, zako ni zipi?

    Leo ni Desemba 31 ikiwa ni siku ya mwisho kabisa ya mwaka 2024. Tunafunga mwaka na kuukaribisha mwaka 2025. Na hizi ndizo nyuzi zangu zilizonigusa kwa mwaka huu 2024… https://www.jamiiforums.com/threads/nape-makamba-kuondolewa-baraza-la-mawaziri.2236892/...
  3. Waufukweni

    Majizzo ataja Playlist ya nyimbo zake bora mwaka 2024, Komasava namba moja Bongo

    Mmiliki na Mkurugenzi wa EFM na TVE Francis "Majizzo" Ciza ametaja Playlist ya ngoma zake 20 bora kwa mwaka 2024 na ameiweka Komasava ya Diamond namba moja na katika orodha hiyo Marioo ndio jina la msanii lililotokea mara nyingi zaidi. Soma, Pia: Diamond Platnumz namba moja kwa kutazamwa...
  4. S

    Wachezaji wawili bora kwangu kwa mwaka 2024 ndani ya Simba Sports Club

    Mwaka 2024 unaisha leo, kesho majaliwa ni mwaka 2025, nimeona kikosi chote cha wachezaji wangu wa Simba Sports Club, kiukweli hadi kufikia leo binafsi ni wachezaji wawili tu ndani ya timu yangu ukimuondoa kiungo wa pembeni Elie Mpanzu ambaye ndio kwanza anajitafuta na ambaye nina matarajio naye...
  5. MwananchiOG

    Yapi ni matukio yako makubwa zaidi mwaka 2024 katika nyanja za siasa,uchumi michezo nk.?

    Matukio mengi yametokea mwaka huu 2024, Je kwa upande wako ni matukio gani unadhani ni makubwa na kwa namna moja ama nyingine yameacha alama au kumbukumbu fulani kwako?
  6. Fufua Tumaini Jipya

    Kwa upande wangu hawa ndo wanachama bora kwa mwaka mwaka 2024

    Mshana Jr - huyu ni mwanachama ambaye ameonesha talanta yake na karama katika kuijenga jamii kisaikolojia , kisosholojia na kiroho na Kwa mbali sana kisiasa . Sitomuelezea Sana maana huyu ndo GOAT wa JF great of all time tangia jamiiforum imeanzishwa huyo ndo mwanachama bora wa muda wote...
  7. Mtoa Taarifa

    Hii ndio misemo Bora iliyobamba zaidi kwa mwaka 2024, upi ulitembea nao sana?

    Ubaya Ubwela Gusa achia Twende kwao Sicheki na Wowote Ninge comment ila Mwanasheria wangu yupo likizo We huogopi..! Yanga hii unaifungaje? Mtoto Kautaka Naijua hiyo Kipengele uje nacho wewe tajiri Watoto wa 2000 Ukija bila gadi nitagawa wastani kwa idadi Kamdomo Mambo kwa ushahidi Na hapa ipo...
  8. Mtoa Taarifa

    Msanii gani wa Muziki au Filamu amefanya vizuri zaidi mwaka 2024 Tanzania?

    Mwaka 2024 umekuwa na ushindani mkubwa katika tasnia ya muziki na filamu Tanzania. Tumeona wasanii wakichanua, wakiachia kazi kali, na kushinda tuzo mbalimbali ndani na nje ya nchi. Swali linabaki – ni msanii gani amefanya vyema zaidi kwa mwaka huu? Je, ni msanii wa muziki ambaye nyimbo zake...
  9. Mad Max

    Wapenzi wa Movies: Mwaka 2024 ni kama hamna Movie kali iliyotoka!

    Labda mimi tu ila kusema kweli 2024 sijakutana na movie kali kabisa ata ya kusema hii naenda Cinemax. Deadpool & Wolverine? Venom? Joker? Smile 2? Ghostbusters? Yaani naona kama huu mwaka umetudhurumu. Mwaka 2025 utatutibu maumivu: Mad Max: The Wasteland Mission Impossible Avatar...
  10. Mtoa Taarifa

    Ripoti ACLED: Nchi 10 za Afrika zilizoongoza kwa Vurugu na Migogoro ya Kisiasa kwa mwaka 2024

    1. Nigeria 5 2. Sudan 8 3. Cameroon 9 4. DR Congo 13 5. Ethiopia 20 6. Somalia 21 7. Mali 22 8. Kenya 23 9. Sudan Kusini 24 10. Burkina Faso...
  11. T

    Uzoefu wa hekima 7 za uongozi mwaka 2024 na za kwenda nazo mwaka 2025

    Kuhusu Hii thread- Credit zote ziende kwa mwamba Joel Nanauka. Nimeichukua kama ilivyo kutoka kwenye akaunti yake ya Twitter @jnanauka- hili jina jipya la Twitter la X linanitatiza sana silipendi. Twende sasa moja kwa moja kwenye mada yetu ya niliyocopy and na kupaste. HEKIMA 7 ZA UONGOZI...
  12. Mshana Jr

    Taarifa sherehe za kufunga mwaka 2024

    Napenda kuwajulisha kuwa, katika maandalizi ya kuukaribisha mwaka mpya, tarehe 31 nitachoma nyama ya mbuzi nyumbani pamoja na familia yetu. Pia kutakuwa na cocktails pamoja na vinywaji mbalimbali. Kama utakuwa free unaweza ukafanya hivi pia nyumbani kwako Ahsante
  13. Manyanza

    Ijumaa ya mwisho wa Mwaka 2024

    Wana Jamiiforums Assalamu Alaikum wa Rahmatullahi wa Barakatuh? Tunapoelekea kuumaliza Mwaka huu wa 2024 na kuelekea Mwaka mwingine siku chache zijazo. Nina maneno machache ya kuwaambia Familia nzima ya Jamiiforums siku hii ya Leo ijumaa ambayo ni ijumaa ya mwisho kwa Mwaka huu. 1. "Mwaka...
  14. Mtoa Taarifa

    Mwaka 2024 unakuachia kumbukumbu gani ambazo unadhani hautaweza kusahau?

    🌟 Wadau, tujadili! 🌟 Mwaka 2024 unakaribia kufika mwisho, na bila shaka kila mmoja wetu ana kumbukumbu ambazo zimeacha alama isiyofutika. Je, ni tukio gani kubwa, la kusisimua, au la kuumiza ambalo limekuacha na hisia ambazo hautaweza kusahau?
  15. ESCORT 1

    Watu maarufu waliofariki mwaka 2024

    Tujikumbushe watu maarufu wakiwemo wanasiasa, wasanii, wanamichezo waliotutoka mwaka 2024
  16. Ojuolegbha

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024

    Uzalishaji wa vyakula vya mifugo vilivyosindikwa viwandani umeongezeka kutoka tani 900,000 mwaka 2020 hadi tani 1,880,000 mwaka 2024. Aidha, ongezeko hili limetokana na Serikali kuendelea kuhamasisha na kuweka mazingira wezeshi ya uwekezaji kwa Sekta Binafsi ili kukabili ongezeko la mahitaji...
  17. Meja Jenerali Isamuhyo

    Hafla ya Ugawaji wa Tuzo za CAF kwa mwaka 2024 ni Usiku huu jijini Marakech, Morocco

    Kutoka Morocco, Usiku huu ni ugawaji wa tuzo za Shirikisho la Soka barani Afrika ( CAF ) Tuzo mbalimbali katika vipengele mbalimbali zinatarajiwa kutolewa usiku huu. Baadhi ya vipengele hivyo ni; Mwanasoka bora wa mwaka ( kwa wanawake & wanaume ) Golikipa bora wa mwaka Timu bora ya mwaka...
  18. Mindyou

    Samia atajwa na Forbes kama moja ya wanawake wenye nguvu zaidi duniani kwenye mwaka 2024

    Wakuu, Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametajwa kwenye orodha ya wanawake wenye nguvu zaidi duniani. Samia ambaye alitajwa pia mwaka 2023 amewekwa kwenye nafasi ya 91 katika list hiyo ambayo pia ilihusisha viongozi na wanawake mbalimbali maarufu duniani...
  19. Allen Kilewella

    PreGE2025 Ni lini Freeman Mbowe alisema atagombea uenyekiti wa CHADEMA Taifa mwaka 2024?

    Kumbukumbu kwamba Mbowe alisema kuwa kwenye uchaguzi wa CHADEMA mwaka huu hatagombea zipo. Ni lini Mbowe alibatilisha kauli yake hiyo na kusema atagombea nafasi hiyo? Naona kama CCM wananena Kwa lugha!!
  20. U

    Uzi wa kukiri na kuombana msamaha kwa makosa mbalimbali ambayo tulitendeana tukielekea kufunga mwaka 2024

    Wadau hamjamboni nyote? Mimi binafsi kwa kuongozwa na roho wa Bwana naanza kwa kuwaomba radhi wote niliowakosea mwaka huu 2024 Niwatakie siku njema wapendwa wangu
Back
Top Bottom