mwaka 2024

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wanaume wote tulio kwenye mahusiano tunapouanza mwaka 2024

    GENTLEMAN OF 2024 FAHAMU [10] KUKUHUSU. 1. Kumwaga bao wakati unamuandaa mwanamke (foreplay) hata bado haujaingia Ukeni don't take it easy, hilo ni tatizo. 2. Kuwahi kumwaga kila round, angalau kwa round ya kwanza, ila kwa zinazofuata hilo ni tatizo, changamka. 3. Kuwahi kufika kileleni Kila...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Marufuku: Tabia zifuatazo kwa mwaka 2024

    Kwa mamlaka niliyojipa ninapiga marufuku tabia zifuatazo kwa mwaka 2024; 1. Kufungua threads za kuwasimanga single mothers. 2. Kukopa ovyo bila mpangilio na mwisho wa siku kujikuta kwenye matatizo yasiyo ya lazima. Waalimu wengi mzingatie sana hili. 3. Wanawake kuwapa kipaumbele viongozi wenu...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2024 usiache mtu mwingine aendeshe maisha yako

    Maisha yetu wakati mwingine hukabiliwa na mikwamo mingi sana inayotokana na kuwaachia watu wengine kuendesha maisha yetu. Mwaka 2024 uwe ni mwaka wa kukataa watu wengine kuendesha maisha yetu. Kama unataka kumuomba Mungu juu ya Maisha yako, omba mwenyewe Achana na kubebeshwa vitu na...
  4. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2024 katika unajimu

    Mwaka 2024 unatawaliwa na namba nane(8)katika unajimu na namba 8 katika numerolojia mara nyingi inahusishwa na mafanikio, ustawi, uongozi, na upatikanaji wa malengo. Inawakilisha sifa kama vile bidii, mamlaka, uongozi, na utulivu wa kifedha. Namba hii inaashiria tuzo za kazi ngumu, uwiano kati...
  5. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Idadi ya Wanafunzi waliofaulu kujiunga na kidato cha kwanza Januari 2024 yaongezeka kwa 1.57% ikilinganishwa na Mwaka 2023

    Ofisi ya Rais - TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Baraza la Mitihani la Tanzania zimekamilisha zoezi la uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2024. Uchaguzi ulihusisha wanafunzi 1,092,984 wakiwemo Wasichana 507,933 na Wavulana 585, 051...
Back
Top Bottom