Wana-Simba, mwaka huu ndiyo umeisha; tusubiri usajili wa mwakani

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Najua nitaitwa majina yoote hapa, "shabiki maandazi, hujui mpira wewe, ushawahi kucheza mpira?unachangia sh ngapi"

Kwa kweli ikitokea simba ikachukua ubingwa wa ligi basi itakuwa miujiza mikubwa sana na kufika robo fainali ya CAF itabidi ifanywe sherehe kubwa sana.

Aiseee, eiiish , uuuuuwiiiiiii draw au kufungwa siyo sababu ni kwamba team inachezaje? Israel mwenda kichwa chake kimejaa makamasi , he is a thick head, hivi mna hakika anajua hata kusoma na kuandika yule jamaa?

Hapo kuna watu wanaona bora duchu aendelee kuwepo kwa mkopo ila huyu mwenda aendelee kula mshahar a wa bure hapo sitaki kuongelea suala la NAMBA 6 NA NAMBA 9 ambalo kwa mwaka mzima walikosa wachezaji barani afrika wa kusajili.

Oh GOD
 
Makolo walivyo hawataki ukweli watakuja kukupinga na kukutukana.. hebu tusubiri msimu wa ligi wakimaliza nafasi ya 7
 
Israel mwenda sijawah kumuelewa sijui anafanya nn pale simba ad saiz,
Jamaa ana mistake nyingi sana akiwa uwanjan
 
hata siku ya yanga alimchosha sana inonga kwenda kupokea vipasi njiwa vyake, yaani hata ukimuangalia usoni ni kama akili hazijatimia vizuri kufanya maamuzi kwa haraka hawezi kabisa mipira ya kutoa kurusha yeye anatoa backpass na siku zote pass zake ni njiw huwa zinakomea njiani
 
Najua nitaitwa majina yoote hapa, "shabiki maandazi, hujui mpira wewe, ushawahi kucheza mpira?unachangia sh ngapi"

Kwa kweli ikitokea simba ikachukua ubingwa wa ligi basi itakuwa miujiza mikubwa sana na kufika robo fainali ya CAF itabidi ifanywe sherehe kubwa sana.

Aiseee, eiiish , uuuuuwiiiiiii draw au kufungwa siyo sababu ni kwamba team inachezaje? Israel mwenda kichwa chake kimejaa makamasi , he is a thick head, hivi mna hakika anajua hata kusoma na kuandika yule jamaa?

Hapo kuna watu wanaona bora duchu aendelee kuwepo kwa mkopo ila huyu mwenda aendelee kula mshahar a wa bure hapo sitaki kuongelea suala la NAMBA 6 NA NAMBA 9 ambalo kwa mwaka mzima walikosa wachezaji barani afrika wa kusajili.

Oh GOD
Hata chama hatufai kwa kifupi
 
Kwenyw swala la ukabaji tangu atoke yule mghana (James Kotei) , Simba Sc haijawahi kulifanyia kazi hilo eneo.
 
Israel mwenda sijawah kumuelewa sijui anafanya nn pale simba ad saiz,
Jamaa ana mistake nyingi sana akiwa uwanjan
Dogo kukaba hajui, kupandisha timu kwake ni mtihani, kucheza pasi hajui yani sijui yupo pale Simba Sc kutimiza majukumu gani tu.

Cha kushangaza eti ndio backup tegemezi ya Kapombe, daaaah..! Hapo Simba Sc akiumia Zimbwe na Kapombe ujue hakuna team tena.
 
Kwenyw swala la ukabaji tangu atoke yule mghana (James Kotei) , Simba Sc haijawahi kulifanyia kazi hilo eneo.
si wamemleta akpan, wakamdanganya fraga hadi akajiweka tayari kawa disappointed hata pics za simba kaacha ku post siku hizi, nakuhakikishia hata ipite miaka 5 hawa kina magori hawataweza kusajili viungo wakabaji wala strikers wa kunyumbulika, akili yao ime stuck kwenye teni pasenti
 
Dogo kukaba hajui, kupandisha timu kwake ni mtihani, kucheza pasi hajui yani sijui yupo pale Simba Sc kutimiza majukumu gani tu.

Cha kushangaza eti ndio backup tegemezi ya Kapombe, daaaah..! Hapo Simba Sc akiumia Zimbwe na Kapombe ujue hakuna team tena.
ana vi back pass njiwa vinakomeaga njiani inaonekana anacheza kwa kutetemeka sana
 
Mm niliizalau iyo timu tokea msimu ulioisha yani timu zinajiimalisha wao wanasajili hakina muhilu matokeo yake tumeyaona ,nikaisi akil zitawatulia ktk usajili wakafanya ujinga ule ule , yan wanaacha wachezaji wazur wanasajili wachezaji wa aina moja ,kulikua na faida gan kusajil sijui okwa mara okra uku una banda sako ,kibu wakat huo una shida ya beki wa pemben una shida ya namba 6 karbu mwaka wa tatu ,una shida ya namba 8 , una shida ya namba 9 , kuna kiungo gan simba wa kucheza champion league timu inasajili wachezaji kulingana na mapungufu au kasoro ata kama utasajili wachezaj watu utatumia gharama lkn watakupa unachotaka sio yan una mzamilu alaf unamleta kapama unatoa muuguz unamuingiza mgonjwa ,una kanote badala ya kuleta ataemzd kiwango unamleta akpan , wanasajili kama wanakopeshwa kwa akil ya kawaida viongoz wa simba kwa miaka hii miwil hawako sawa , kama sio kususiana timu bas kuna shida ,na hii mikataba ya kimagumashi ya kuangaliwa haiwezekan mapato ya timu kwa mwaka yanakarbia 7b, lkn usajil wa kuungaunga kuanzia kocha mpaka wachezaj
 
Back
Top Bottom