mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China ya Mwaka 2022 ambayo yalishirikisha watu zaidi ya laki 2.5 yamefungwa kwa mafanikio

    Maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Huduma ya China ya Mwaka 2022 ambayo yalishirikisha watu zaidi ya laki 2.5 yamefungwa kwa mafanikio.
  2. ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 27 mwaka 2021/2022

    Taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma, Jerry Silaa imeonesha kuwa hasara ya shirika Shirika la Ndege Nchini (ATCL) imepungua kutoka Tsh. Bilioni 36 mwaka 2020/21. Aidha ameishauri Serikali kuharakisha mchakato wa utekelezaji wa kuhamisha umiliki wa...
  3. Anaenda masomoni mwaka mzima, anunue turubai gani kupunguza gari kupigwa jua na vumbi, vitu gani vya ziada azingatie?

    Hbari wana jf, kuna dogo anaenda masomoni kwa mwaka 1 hivi, mwezi wa tatu alifanikiwa kuagiza gari yake toyota carina ti, ni mpya na kiukweli kaitunza, ataiacha kwake ila sehemu hio iko wazi na jua huwa linapiga je, ni turubai zipi nzuri za kuzuia hii hali? kaniomba aniachie funguo kwajili...
  4. UAE watamba na teknolojia ya kupanda mawingu ili kuongeza kiwango cha mvua kwa mwaka

    Umoja wa Falme wa Kiarabu umezidi kuonesha umwamba katika kukuza teknolojia ya kutengeneza mvua ambapo kwa sasa wanapanda mawingu ili kutengeneza mvua. Wataalamu wa UAE wamesema teknolojia hiyo sio tu ile ya kutuma ndege na kuweka kemikali kwenye mawingu bali ku-modify hali ya hewa kwa ujumla...
  5. L

    Maonesho ya biashara ya huduma mwaka 2022 yafunguliwa kwa umma mjini Beijing China

    Maonesho ya biashara ya huduma mwaka 2022 yafunguliwa kwa umma mjini Beijing China
  6. L

    Mkutano wa akili bandia (artificial intelligence) duniani mwaka 2022 wafunguliwa Shanghai

    Mkutano wa akili bandia duniani mwaka 2022 umefunguliwa leo katika Kituo cha Maonyesho cha kimataifa huko Pudong, Shanghai. Kauli mbiu ya mkutano huu ni "muunganiko wa akili bandia, fursa zisizo na ukomo".
  7. Watoto 25,000 wamepotea Afrika kwa Mwaka 2022

    Watoto 25,000 wamepotea Barani Afrika, idadi hiyo ni sawa na 40% ya jumla ya idadi ya watu waliopotea mwaka 2022 katika bara zima. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) iliyotangaza katika ukumbusho wa Siku ya Kimataifa ya Waliopotea (Agosti 30). Hali ya...
  8. B

    SoC02 Mbaraka Mwinshehe na maonyesho ya Wajapan mwaka 1970

    “TEKINOLOJIA HUWA HAIOMBWI HUIBWA, HUCHUKULIWA KWA HILA” Mwanamuziki Mbarak Mwinshehe aliacha kumbukumbu ya wimbo wake; “kwanza tunatoa shukrani kwa serikali yetu ya Tanzania. Kwa kutupatia nafasi ya kwenda Osaka Japan, kwenye maonyesho ya Ulimwengu ya mambo yote ya viwanda na biashara. Mwaka...
  9. Yaliyonikuta baada ya kumsaidia rafiki yangu mwenye degree

    Stori yangu itaanzia pale ambapo tulikutana mwaka 2017! ilikuwa kiwanda cha Pepsi- Vingunguti Jijini Dar es Salaam mwaka 2017 wote tulikuwa vibarua na ndipo tulifahamiana hapo, Mwaka 2018 huyu jamaa aliomba mkopo na kupata chuo Udom Jijini Dodoma. Alisoma mwaka wa kwanza, nakumbuka akiwa...
  10. Serikali imejipangaje kukabiliana na wimbi zito na la kutisha la njaa mwaka huu? Nfra inahifadhi yoyote ya chakura mpaka Sasa?

    Kwa kifupi tu! Siuoni mkakati wowote wa kukabiliana na wimbi la njaa mwaka huu na dalili zote zinaonesha hakuna akiba yoyote ya chakura na Wala hatusikii mpango wowote wa tafadhari kunusuru Hali hii. Jakaya katika mhula wake wapili kulitokea Hali kama hii lakini alifanya mbinu ya kuagiza mchele...
  11. S

    SoC02 Maisha ya Mtanzania kiuchumi Tangu mwaka 2021

    MAISHA YA MTANZANIA KIUCHUMI TANGU MWAKA 2021- Maisha ni jumla ya mambo yanayokuzunguka na uyafanyayo kila iitwapo leo. Maisha yanajumuisha uchumi wa mtu, utamaduni, siasa, teknolojia na kadhalika. Makala haya yanaangazia maisha ya Mtanzania tangu mwaka 2021 na kuendelea yakilenga uchumi...
  12. Kupiga picha miili ya Watu waliokufa ni kosa, adhabu yake ni kifungo mwaka

    Kwa mujibu wa kifungu namba 162 cha Sheria ya Kanuni za Adhabu kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2019 ni kosa kisheria kwa mtu yeyote kupiga picha maiti, watu waliokufa au waathirika wa uhalifu au matukio mabaya kama vile ajali bila kuwa na kibali cha polisi au chombo chenye mamlaka...
  13. Mabadiliko ya sensa kwa mwaka huu 2022, tofauti na miaka mingine, je yana tija kwa wananchi?

    Mabadiliko ya utaratibu wa kuhesabu watu kwa mwaka 2022, tofauti na miaka mingine je, ni kweli yana tija kwa wananchi wa kawaida? Mabadiliko hayo baadhi ni pamoja na: 1: kubadilika kwa mihula ya shule/ vyuo. (Kwenye muda wa likizo) 2: matumizi ya vishikwambi 3: mabadiliko ya siku, (sensa...
  14. Baada ya muda mrefu nimekutana na vitabu vizuri sana vipitie

    Mwaka haujaisha lakini na recomend kwako acha kila kitu usome hichi kitabu, once nilikua sisomi vitabu mpaka nilipoanza kukisoma hichi sijawahi kupata kingine zaidi ya hichi, Kama kuna mtu anacho kitabu cha hivi cha story nzuri Kama hiki (based on try story) aseme hapa niongeze kwenye library...
  15. Tulivyoachana aliniambia mtoto siyo wa kwangu, ameachwa tena anataka nimrudie

    TULIVYOACHANA ALINIAMBIA MTOTO SIYO WA KWANGU, AMEACHWA TENA ANATAKA NIMRUDIE. Dunia hii hawa Wanawake wamekuwa Vichaaa siyo Bure.... kaka nimekwama najitaji ushauli naomba nisaidie. "Nilikuwa na mpenzi wangu nilikuwa naishi nae ingawa tulikuwa bado hatujaoana ila tulikuwa tunaishi pamoja kama...
  16. NSSF yajivunia trilioni 7.3 ukusanyaji wa michango ya wanachama kwa mwaka wa fedha 2022/2023

    Kiasi cha shilingi Trilioni 7.3, katika mwaka wa fedha 2022/2023, kimekusanywa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii, (NSSF) ambapo fedha hiyo inatokana na michango ya wanachama wa mfuko huo. Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Bw.Masha Mshomba wakati akitoa...
  17. R

    Wakati Nigeria ikitengeneza $3.7bn, South Africa $ 1.7 bn kwa mwaka kwa kilimo halali cha bangi, Mwigulu na Samia wanazidi kuwakamua ' Damu' Wa- Tz.

    Wakuu, nadhani kila mmoja wetu humu anaumia au amesikia kilio cha kila Mtanzania hasa baada ya kuanzisha tozo kila tunapotoa pesa kwenye account zetu aidha kwenye counter au ATM. Viongozi wetu Sasa hivi hawafikilii nje ya box au tuseme wamefikia mwisho wa kufikiria. Sasa hivi watanzania tulio...
  18. Ule mwiba kwenye tango pori, kumbe ni mchongoma! 🤔 Ni aibuu ya mwaka!

    Hatimaye jana katika kupenya penya huku na huko katika jiji la dar, nikapata kisa cha ule mwiba kwenye lile tango pori. Iko hivii yule mkulima aliyepanda matango yake na hatimaye kugeuka matango pori, hakuwa muumini sana wa tiba zetu za mimea. Akaamua kuwalisha wana wa kinondoni na sinza...
  19. MB 1 iliuzwa senti 65, sasa tunakamuliwa shilingi 1 na senti 77, elfu 2 ilitupa GB 3 lakini sasa ni gb 1. Kenya na Zambia wametupindua

    Ndani ya muda mfupi kabisa gharama za internet zimepanda mara 2.7 yani tatu kasoro. Ni mwaka jana tu hapo kabla ya mabadiliko machunu ya vifurushi tulikuwa tunaweza kununua mb moja kwa senti 65 (shilingi 0.65) lakini sasa ni takribani shilingi 1.8. Hii elfu 2 tunayotumia kwa sasa kununua gb 1...
  20. Motorola Moto X30 Pro: Simu bora ya mwaka huu

    Motorola Moto X30 Pro Camera 200 MP Selfie camera 60 MP Screen 6.7" Fast charger 0-100$ 19 minutes Kwa maoni yangu hii ndiyo simu bora kabisa ya Android. Sioni Samsung yenye sifa hizo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…