mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Ripoti: Watoto Milioni 400 wananyanyaswa Kingono duniani kila mwaka

    Kila mwaka, watoto zaidi ya millioni 400 duniani wananyanyaswa kingono, ripoti mpya ya Enonomist Impact imesema. Kwa kawaida ukatili na unyanyasaji kingono hufanywa siri kwa kuhofia aibu na kunyanyapaliwa, hivyo kuruhusu uhalifu huo kuendelea. Ripoti hiyo “Out of the Shadows Global Index...
  2. INAUZWA Mwanza: Pikipiki aina ya King Lion (used mwaka na miezi 6)

    Huyu hapa Mfalme Simba anauzwa😎 cc zake ni kubwa, 150 cc Gear 5 Haina shida yoyote imetumika kwa matumizi binafsi tu bei elekezi: 1,400,000 tu inapatikana: SUMVE MWANZA
  3. L

    Wenzhou, Zhejiang China: Wanafunzi wa kigeni wajifunza kuandika neno "Fu" ili kusherehekea mwaka mpya wa jadi wa China

    Januari 19, huko Wenzhou, mkoa wa Zhejiang, China, katika makazi ya Luyuan, Wilaya ya Lucheng, wakazi waliwafundisha wanafunzi wa kigeni kuandika neno "Fu" (linamaanisha "baraka" katika lugha ya Kichina) ili kusherehekea sikukuu ya mwaka mpya wa jadi wa China.
  4. Nitaanzia hapa endapo nitakosa fedha za kununulia nyumba ya kupangisha mwaka 2023

    Ili niweze kujenga utajiri kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo ninatakiwa kujihusisha na;- ✓ Umiliki wa ardhi na majengo. ✓ Au Utoaji wa huduma za uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Njia ya kutengeneza kipato cha haraka na kipato endelevu nikiwa umelala ni kumiliki ardhi za kukodisha au...
  5. S

    Ushauri; Tujipange kubadilika; Huenda miaka ijayo binadamu mzee zaidi ataishi mwaka mmoja tu na kuzeeka

    Ulishawahi kuwaza zamani watu waliishije zama wayahudi? Walikuwa na maumbo gani? Mfano ukiangalia umri wa maisha ya mfalme Suleimani alivyoishi miaka ile na wake zake?,vipi kuhusu kina yakoub, Daudi, ibrahim na wengine? Naomba hili niliweke kimahesabu ili tuone mantiki! Sitaki kujiuliza sana...
  6. L

    Kumalizika kwa ziara ya Qin Gang ni mwanzo mzuri kwa diplomasia ya China barani Afrika kwa mwaka huu

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Qin Gang amemaliza ziara yake ya siku tano barani Afrika ilivyomfikisha Ethiopia, Gabon, Angola, Benin, na Misri. Hii ni ziara ya kwanza ya kikazi ya Bw. Qin Gang tangu ateuliwe kuwa waziri wa mambo ya nje wa China, na imefanyika wakati ushirikiano kati ya...
  7. Rais Samia: Sekta ya kilimo itakua kwa 30% kufikia Mwaka 2030

    President Samia Suluhu Hassan has said Tanzania expects it's agriculture sector to grow at an annual rate of 10% by 2030 compared to the current growth of around 3.6% as part of the country's ambitious agriculture transformation vision. The President said Tanzania has developed a national...
  8. E

    Madeni ndo yanakuwa "on fleek" kipindi hichi cha mwaka

    Naona siku zinaenda ila mpunga unaenda kwa haraka zaidi Sasa sijui huu mwezi unaisha kwa style gani, sioni mahali pa kukopa, madeni yaliyopo tayari siyaelewi elewi majukumu yanazidi..nahisi kudata! Kwenye ahueni kidogo ni wapi aiseeee?
  9. Mchungaji Hananja: Wachungaji KKKT wakihoji vitendo vya viongozi kuuza Mali za kanisa, wanafukuzwa, asema na yeye alisimamishwa mwaka mmoja

    Mchungaji Hananja akihojiwa na Bongo5 (ingia YouTube, kaongea nusu saa nzima) ameeleza uonevu mkubwa wanaofanyiwa na viongozi wakuu wa kanisa, na anasema yeye aliandikiwa barua na kiongozi mkuu wa kanisa kumsimamisha kazi bila mshahara kwa mwaka mzima, bila sababu yoyote ile. Hananja anasema...
  10. Netflix inatafuta mhudumu wa Ndege atakayelipwa Tsh. 899,745,000 kwa mwaka

    Netflix inatafuta mhudumu mpya wa ndege ili kujiunga na watoa huduma wake na iko tayari kumlipa zaidi ya dola 385,000 kwa mwaka kwa atakayekuwa na sifa. Mhudumu huyo atafanya kazi kwenye moja kati ya Ndege zake binafasi katika mji wa San Jose, Calif. karibu na makao makuu ya kampuni ya Los...
  11. Nimesali sana, nimeroga na nimejiendeleza kitaaluma lakini mwaka wa tatu sina ajira. Je, nimebakiza nini?

    Wakuu maisha ni safari ndefu na kuna mapito ila usiombe yakukute. Hapa nilipo nimefanya kila kitu kwa kutumia akili yangu na ujanja kama mwanadamu lakini mpaka leo sina ajira. Nilipopoteza kazi yangu wakati wa covid 2020 sikuwa najua kama nitafika 2023 sina ajira na nitafirisika. Nilikuwa...
  12. Naibu Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel: Katika kipindi cha Januari hadi Disemba mwaka 2022 jumla ya kondomu 111,984,600 zimetumika

    Naibu Waziri wa Afya Dk. Godwin Mollel amesema katika kipindi cha Januari hadi Desemba mwaka 2022 jumla ya kondomu 111,984,600 zilisambazwa nchini ili kuongeza mapambano dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI. Chanzo: ITV Tanzania Na kwa ninavyowajua Watanzania (Wabongo) kama kuna zilizotumika kwa mwaka...
  13. L

    Wanafunzi wa kigeni wafanya shughuli za kushuhudia mwaka mpya wa jadi wa Kichina

    Wanafunzi wa kigeni kutoka Chuo Kikuu cha Teknolojia cha Zhejiang walifanya shughuli za kushuhudia ya mwaka mpya wa jadi wa kichina ili kupata uzoefu wa desturi za China na kuona uzuri wa utamaduni wa jadi wa China.
  14. Mwandishi mwenye asili ya Tanzania atajwa kati ya Waafrika 100 Wanaoheshimika zaidi 2023

    Mwandishi ambaye ana asili ya Visiwani Zanzibar, Abdulrazak Gurnah ametajwa na Taasisi ya Reputation Poll International, katika orodha ya mwaka 2023 ya Waafrika 100 wanaoheshimika zaidi. Orodha hiyo ina watu binafsi kutoka sekta mbalimbali ikiwa ni pamoja na Utawala, haki za Binadamu, Elimu...
  15. Kondomu milioni 111.9 zilisambazwa nchini mwaka 2022

    Ikiwa ni hatua ya kuendelea kukabiliana na maambukizi mapya ya virusi vya Ukimwi, Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel amesema Serikali imesambaza kondomu milioni 111.934 nchini katika kipindi cha Januari hadi Desemba 2022. Hayo ameyabainisha juzi Januari 13, 2023 kwenye kikao cha ndani...
  16. TFF inaendesha mpira kwa kupendelea Simba

    TFF inaendesha mpira kupendelea Simba, leo hii imejihizirisha,kusogeza mechi ya Simba na Mbeya City mbele, kwa sababu za kipumbavu ni kuzalilisha nchi yetu. Nauliza hapa Simba walipoenda huko Dubai wameenda kuwakilisha nchi? Simba walipo enda huko Dubai TFF imewahusu nini mpaka wakasogeza mechi...
  17. L

    ELIMU BURE: Gharama ya kumsomesha mtoto mmoja wa primary kwa Mwaka ni Milioni 4, na serikali inalipa! Tunapigwa hapa

    ELIMU BURE: Gharama ya kumsomesha mtoto mmoja wa primary kwa Mwaka ni 4MIL, na serikali inalipa kila mwaka Hili limesemwa na Mwenyekiti wa Shule Binafsi Tanzania. Na amemshauri Rais akae na wataalam wake wamwambie ukweli. Anapoteza pesa nyingi sana, wakati Elimu itolewayo duni Bado mtoto...
  18. Huu mwaka wangu, nagawa bundle-Ladies only

    Ni kweli nachukia sana wanawake wapiga mizinga. Ila sometimes ukiamka vizuri unafanya kweli unayamwagilia maji haya maua ya dunia. Sio kwamba wana njaa au hawana hela ya bundle, NO ni kushea furaha tu uliyonayo. Kwa hiyo leo nimeamua tu. Nitagawa bundle la internet kwa kila mtoto wa kike huko...
  19. R

    Hizi hapa familia TANO zenye maisha bora zilizopambana kwa ajili ya masikini na kuonewa kipindi cha mwaka 2015 hadi 2022

    1. Maria Sarungi (shangazi)- umezaliwa familia Bora, ulikuwa na kila sifa uteuzi lakini ulikataa na kuamua 2022 ulie na wanaolia. Uliwindwa ukakimbia nchi lakini bado haukusita kupambana Kwa ajili ya Haki ya wale wote wanaonekana. Kupitia Maria space ulivuka viunzi vya kuminywa Kwa Uhuru wa...
  20. Iringa: Ahukumiwa miaka 30 baada ya kushauriwa kumbaka dada yake wa kuzaliwa ili apate utajiri

    Huko Iringa Mahakama ya wilaya ya Kilolo imemhukumu Frank Kigomba miaka 30 na kutakiwa kulipa faini ya shilingi laki 5 kwa kosa la kumbaka dada yake wa kuzaliwa kwa maelekezo ya mganga wa kienyeji ili awe tajiri. Matukio ya kubaka, kuua na kutafta utajiri sasa yamehama kutoka kanda ya ziwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…