Nyaraka KKKT, TEC zilivyoibua mijadala mwaka 2018

Nobunaga

JF-Expert Member
Mar 22, 2019
1,169
4,985
Tunakumbushana tuu, nyaraka hizi za haya mabaraza ya kidini yalikuwepo, yapo na yataendelea kuwepo. Siyo KKKT,TEC ama BAKWATA wote hutoa nyaraka zinazozungumzia mambo mtambuka yanayogusa jamii. Na hizi nyaraka hazina muda maalumu wa kutolewa, ni muda wowote ambapo kunapokuwa na imbalance kati ya wananchi na serikali yao.

Dini ni "Invisible Powers" ambazo zinasaidia kuleta "Check and Balance" kwenye jamii. Ndiyo maana hata kwenye migogoro mikubwa ya kivita duniani mfano vita kati ya nchi na nchi viongozi wakubwa wa kidini kama Papa hutoa nyaraka pia kwa waumini wao na serikali husika kushauri njia iliyo sahihi ya kuhandle mambo.

Na kamwe asije akadhani mtu kuna dini iliyo juu ya nyingine, dini zote zinamuabudu Mungu mmoja, nasi sote tunamuabudu Mungu mmoja, haijalishi waraka umetolewa na dini ipi ila as long as unatetea na kupaza sauti za wananchi walio wengi basi hakika Mungu aliye mkuu atasikia kilio cha watu wake.

Hivyo wale mnaoleta dhihaka kwenye hizi nyaraka za kidini kuweni makini sana, karma is alive and kicking.

Nimefarijika kuona Taasisi na Jumuiya za Kiislam nazo zikitoa waraka wa kuikosoa serikali kwa wakati huo (2018)!! Yaani kama tu walivyofanya TEC na KKKT.

Natamani kuwaona piq wale wazushi wetu waliogubikwa na koti la udini, wakipitia hapa na kusoma hili bandiko.
 
Back
Top Bottom