"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.
Katika kuendelea kuhakikisha huduma za matibabu ya kibingwa zinapatikana Nchini, Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeandaa program ya Upasuaji Mkubwa wa Kunyoosha Migongo iliyopinda ‘vibiongo’ (Scoliosis).
Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Dkt. Respicious Boniface amesema “Malengo ya...
MHE. GODWIN MOLLEL - NYUMBA 52 ZA WATUMISHI ZIMEJENGWA MWAKA HUU WA FEDHA
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema katika mwaka wa fedha 2022/2023 Serikali kupitia Wizara ya Afya imejenga nyumba za Watumishi 52 zenye thamani ya Tsh. Bilioni 3.417 katika Hospitali za Rufaa za Mikoa na...
Wiki ya Chanjo Duniani (World Immunization Week) huadhimishwa kila mwaka kwenye wiki ya mwisho ya mwezi Aprili ili kuongeza Ufahamu wa Umuhimu wa Matumizi ya Chanjo katika kujilinda dhidi ya magonjwa mbalimbali.
Chanjo hutengenezwa kwa kutumia Vimelea viliyo dhoofishwa ambavyo baada ya...
Kuna kale karaha mtu upo huko katika shughuli zako umevaa nguo bado zipo fresh, Sio unapita sehemu nguo imepauka/rangi zimefifia yani hata mtu akikuangalia mara mbili unajua tu hapa kipengele ni nguo.
Nilinunua jeans 2 na cadet 2, kwa ufinyu wa bajeti yangu nilinunua jeans elf 25 kwa pair na...
Yanga itachukua kombe la shirikisho mwaka huu natabiri na itakutana fainal na Rabat.
Yanga ndiye bingwa wa confederation cup.
Simba atatoka morocco na fainal. Nusu ni Waydad vs mamelodi na kule ni Esperance de tunis vs Al Ahly.
Watakutana wababe wa africa mamelodi na Al Ahly
Mamelodi ndiye...
Bila kuzingatia kwa mwaka huu 2023 nani yuko sahihi kati ya wale waliosema mwezi umeandama Kenya, Uganda na Rwanda (hivyo ijumaa ni sikukuu) dhidi ya wale waliosema mwezi haujaandama Tanzania (hivyo Ijumaa watu waendelee kufunga), hapo kuna harufu ya Uongo na utapeli kwa 100%.
Sote tunajua...
Nimeona agenda ya kuftarisha imepamba Moto kila Kona huku majina ya viongozi yakitumika....kila kiongozi akiftarisha anamtaja mwenye nchi unajiuliza hizi fedha wametoa wapi? Je NI kweli wametumwa na wanayemtaja? Au uchawa unawasumbua Hadi kwenye Imani?
Lakini pia ifta ilipaswa iwe Kwa maskini...
Nilikuwa napendekeza hawa walimu ambao tayari wameshaajiriwa kazi yao isiwe kufundisha, kazi yao ibaki kuchukua attendance na kusahihisha mitihani tu.
kwanza hawajui kufundisha, halafu hata hicho wanachokifundisha hawakijui.
Yaani mwalimu kabisa wa hesabu wa shule ya msingi unamuuliza...
Wapelelezi nchini Marekani wamefanikiwa kuutambua mwili wa kijana aliyekutwa amefariki dunia kwenye fukwe huko Galveston sland, Texas miaka mitatu iliyopita.
Polisi wa Galveston wameutambua mwili huo ulikuwa wa Calvin Mbwambo (26), na kudai kuwa ni Mtanzania aliyekuwa masomoni nchini Marekani...
Haya sasa endeleeni Kudanganywa na huyo Kiongozi wa TFF ( ambaye namjua ni mwana Simba SC lia lia ) kuwa Yanga SC nao watashiriki Michuano ya Africa Super Cup kwa Msimu huu wa Kwanza.
Taarifa ikufikie popote Wewe Zuzu uliyedanganywa na Kauli ya huyo Kiongozi kuwa CAF wameshaamua ( wamesema )...
Maisha hata yasikie tu kwa mwebzio yaani kufupisha story ni hivi,
Saa 12 asubuhi natoa kichwa change chini ya mabehewa ya treni, nakaa kwnye kiti pembezoni mwa dirisha, macho yanavutiwa na mandhari nzuri ya kijani na miti mirefu na mifupi ya michikichi\migazi,
Naona watu wamesimama pembezoni...
Alipokuwa katibu wa hadhina mapato yalisimamiwa vyema kwenda consolidated fund.
Wewe unaweza kazi kuliko Mwigulu Nchemba.
Gombea ubunge Chato ili 2025 upate uwaziri wa pesa.
Tukiwa tunaeleka derby ya kariakoo hapo kesho, sio mbaya tukakumbusha baadhi ya vituko, mikasa na visa vilivyowahi kutokea huko nyuma. Leo tuikumbuke mechi iliyowafanya Yanga (Gongowazi) kuchapa bakora na kupelekea kufukuza karibia wachezaji wake.
July 2, 1994 katika dimba la Uhuru, Dar Es...
Sifurahishwi na ubadhirifu unaoonyeshwa kwenye ripoti za CAG wala siutetei kwa namna yoyote ile
Lakini nataka kusema tuache siasa na unafiki, ama hata ripoti za CAG zinaweza kuwa zinatolewa kisiasa kama tunazijadili kisiasa
Kuna baadhi ya watu ambao wamekosa hoja ya kutetea siasa zao...
Serikali katika Mwaka huu wa Fedha yaani 2022/23 imetoa vibali vya Ajira 30,000. Maelezo hayo yametolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora alipokuwa anajibu Swali la Mbunge wa Mburu Mjini Mh. Zakaria Issay.
Vitu vichache vya kipekee vinajionyesha katika bajeti ya Tanzania iliyofanyiwa ukaguzi na CAG. Kwa mfano, kwa mara ya kwanza katika historia ya Tanzania kwenye miaka ya hivi karibuni, mapato yaliyopatikana yalizidi makadirio ya bajeti.
Kwenye vitabu vyake, CAG ameonesha kwamba ingawa serikali...
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetenga jumla ya Shilingi Bilioni 15.99 kwa ajili ya mfuko wa jimbo kwa majimbo 214 ya Tanzania Bara katika Mwaka wa Fedha wa 2023/24.
Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi Bungeni, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala...
Habari zenu wana JF wenzangu.
Katika pitapita zangu maeneo fulan nimekutana na hii habari kutoka kwa mtu wa karibu mno wa msanii huyo, akidai kwamba Diamond yuko katika mchakato wa kulishangaza taifa hapo mwakani.
Japo mimi sio mwanasiasa, lakini ningependa kumshauri ndugu yetu Diamond...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.