Wadau imekua jadi yangu sasa kupokea walimu wa field na baada ya muda lazima niombe mzigo.
Sasa juzi kuna demu kanikomesha, alipofika tu kituoni nikaomba namba zake za simu, nikaanza kushoboka nae hata darasani nikawa siingii kufundisha madogo mada ya "Sarufi na uchanganuzi wa sentensi". Basi...