Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,439
- 3,199
Acheni kabisa nlishindwa kuwa nalipia DSTV Explorer. Nikajikuta nami naanza kuangalia king'amuzi cha Azam.
Jambo hilo nlisema halitatokea tena. Nikapata kazi nikaanzisha na biashara. Mwaka huu natumia DSTV EXPLORER sitaki tena Uswahili swahili.
Ile decoder nliiipasua pasua since then na dish lake kugeuza karai. Sitaki kumbuka hizo nyakati. 2020/21 ulikuwa mwaka wa shetani.