mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Kuna diary zangu niliziandika kwa mda wa miezi sita mwaka 2022 nilikuja kuzichoma moto

    Leo asubuhi niliandika uzi kuhusu maisha yangu wako waliosifia, wako walioponda na wako waliosoma tu hawakutoa maoni yeyote - Point ni tulidiscuss na moderator tukakubalian ule uzi ufutwe ili ku-comply na sheria za jamiiforum za kulinda privacy ila nachoshukuru mimi ni mshindi Mwaka 2022...
  2. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Katika historia ya TISS, ni mara moja tu walifanya Press Conference, ilikuwa ni mwaka 2010, nini hasa kilijiri?

    Nyakati kama hizi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2010 ambapo Rais wa kipindi hiko, Jakaya Kikwete alikuwa anajiandaa kutetea kiti chake kwa muhula wa pili na wa mwisho. Ghafla kuna tuhuma za wapinzani zikaelekezwa Idara ya Usalama wa Taifa. Katika hali isiyokuwa yaa kawaida, TISS kupitia kwa Jack...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Marekani huingiza 97bn kwa mwaka kupitia porn industry

    Dah kweli papuchi inalipa Wakati wizara yetu ya maliasili na utalii kutangaza kuingiza 9bn mwaka jana kwenye sekta ya utalii, marekani wao waliingiza 97bn kupitia kiwanda Chao maarufu porn. Inasemekana kwa seconde marekani huingiza 3075. 24 million kwa watazamaji wanaoangalia video online ambao...
  4. 4

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza form 4 mwaka jana ,nina division 2.20

    Je chuo cha Tanzanian international training health center kilichopo ifakara ni kizuri kwa KOZI ya diploma in clinical optometry NTA LEVEL 4 TO 6 nahitaji muongozo wenu
  5. Mlaleo

    JamiiForums Tanzania Benjamin Netanyahu mwaka 1977, 28 age Young alitabiri haya yanayotokea sasa middle east na yeye ndie mhusika mkuu

    Kijana wa Miaka 28 https://www.youtube.com/watch?v=mdybNvneYRw 50 Years Ago! Young Netanyahu Predicted The Middle East of Today!
  6. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Yale Mabango ya Barabarani Mama ametimiza mwaka huu mbona hayapo?

    Wakuu ! Nawasalimu kwa jina la JamiiForums, Where we dare to talk openly Kama kichwa cha huu uzi kinavyonieleza hapo juu. Kumbe hawa Watendaji wa Serikali huwa wanaelewa sana yale maneno ambayo huwa yanazungumzwa na Viongozi wa Chadema majukwaani (Tundu Lissu na John Heche). Hawa jamaa...
  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Mwaka 1999 kuna gazeti liliandika “Ally Mayay apata yai mtihani kidato cha sita”

    Nimekumbuka mbali sana leo My classmate Ally mayay alivyoandikwa na lile gazeti Japo ilikuwa kweli hawakumtendea haki Habari ile ilimtia simanzi,alishinda ndani analia tu,rafiki zake, John Mwansansu na Renatus Njohole wakamfanyia mchongo kwenda nje, kufika ubalozini akanyimwa ViSA Mwamba...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Iran kabla ya mapinduzi ya Ayatollah mwaka 1979

  9. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna Shamra shamra za uchaguzi mwaka huu hapa mtaani kama miaka mingine kulikoni

    Wakuu nimeshuhudia miaka mingi ya uchaguzi miezi kama hìi kunakuwa na shamra shamra za uchaguzi! Mwaka huu kulikoni au kwa sababu mshindi alishapatikana???
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Dogo kawa offered kazi private mshahara tsh 650,000. Ana degree kamaliza chuo mwaka jana. Vp achukue hio fursa au mshahara unafinya?

    Kwa sasa amejishikiza sehemu kam intern wanamlipa 300,000 Degree yake ni ya finance/banking
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mzee wangu alikuwa Askari, hajapata stahiki zake za kustaafu za Mwaka 1987 – 2003

    Baba yangu ni Askari Mstaafu mwenye Namba X_C1611 PC, nyaraka zake zinaonesha aliajiriwa Mwaka 1973, alipostaafu Mwaka 1987 kulitokea mkanganyiko wa cheki yake ya malipo. Cheki ilipelekwa Singida badala ya Kagera, alipokuja kushtuka baadaye akaifuatilia na kubaini hadi muda anafuatilia tayari...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mtoto wa Afrika 2025: Mipango na Bajeti kwa ajili ya Haki za Watoto: Maendeleo Tangu Mwaka 2010

    Siku ya Mtoto wa Afrika huadhimishwa kila mwaka tarehe 16 Juni, ikiwa ni kumbukumbu ya maandamano ya wanafunzi huko Soweto, Afrika Kusini mwaka 1976, ambapo walidai haki yao ya kupata elimu bora. Kaulimbiu ya kila mwaka hutoa fursa ya kutafakari na kuchukua hatua madhubuti katika kuboresha...
  13. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania Unafikiri hii itakua Tanzania ya mwaka gani 😅👇

    Picha kwa hisani
  14. Brown B

    JamiiForums Tanzania Car4Sale SUBARU FORESTER - SJ5 MODEL Mwaka 2014

    SUBARU FORESTER - SJ5 MODEL Mwaka 2014 Engine 1990cc Rangi Blue Metallic Mileage 92,000km Bei 36m 📌Push to Start 📌Winker Mirrors 📌Eyesight Tech ☎+255626682228
  15. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Kulikoni mbona uchaguzi wa mwaka huu, hauna Shamrashamra, ndelemo na vifijo?

    Katika nchi ambayo inafanya uchaguzi, election year uwa na Shamrashamra na hamasa kweli kweli. Ata hapa Tanzania nkikumbuka 2010,2015,2020, yaani Shamrashamra ziliakuwa kubwa kweli kweli .Kufikia March wasanii wanakuwa washatoa nyimbo nyingi za uchaguzi. Misemo na sera za uchaguzi zinakuwa...
  16. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa JF. Nikianza na kuku jike 30 and majogoo 5 na mambo yakaenda vizuri, nitarajie kupata kuku wangapi na mayai kiasi gani kwa mwaka?

    KUKU NI WA KIENYEJI NIKO KANDA YA ZIWA. Sio vibaya pia tukapatiana hints za ufugaji. Karibuni
  17. mtunzasiri

    JamiiForums Tanzania Matukio ng'amuzi kwa mwaka huu wa uchaguzi 2025.

    Tafakari,, Mwaka huu wa uchaguzi 2025 una migogoro mingi hatarishi kuliko miaka yote- 1). Kuna mgomo baridi ya kimichezo kutokucheza na wanaenda mbele wanatishia kuandamana, kati ya YANGA UPANDE MMOJA na bodi ya ligi, TFF kwa pamoja Kwa upande mwingine, ukiangalia utasema ni suala la michezo tuu...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Sriracha inapoteza Mapato ya Billion 4.3 Kila mwaka kwa kutokusajili TRADEMARK

    Kabla sijaeleza jinsi Sriracha inavyopoteza pesa ngoja nikupe background fupi ili uelewe Sriracha ni nini. Mwaka 1979 wakati vita ya Vietnam imeshamiri, watu wengi walikua wakikimbia Vietnam kuelekea mataifa ya ulaya na Amerika. Moja ya watu waliokimbilia upande wa Amerika ni bwana mmoja wa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania KAMATI YA MAADILI YA MAWAKILI TLS INAKUTANA MARA NGAPI KWA MWAKA

    TLS ni chama cha wanasheria ambacho kazi yake kubwa ni kusimamia maadili ya wanasheria. Kwa sababu hiyo ndani yake kumeundwa kamati ya maadiliya mawskili ili ukiwa na lalamiko lolote dhidi ya mawakili wao watasikiliza na kutoa maamuzi. Kuna shauri la kimaadili nililipeleka Toka mwaka Jana...
  20. McLaren

    JamiiForums Tanzania Robo ya Bajeti kwenye bajeti ya mwaka huu itatumika kulipa madeni

    Zaidi ya asilimia 25 ya fedha inayopanga kutumia Serikali katika mwaka wa fedha 2025/26 itatumika kulipa madeni, hotuba ya bajeti imesema. Taarifa iliyosomwa Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba wakati akiwasilisha bungeni mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka...
Back
Top Bottom