mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi uliofanyika mwaka 2020 na kupitisha Wabunge wa CCM kwa mizengwe unalighalimu taifa letu. Hawa sio wabunge ni Wapigaji wa pesa za umma.

    Fuatilia mijadala yao Bungeni kwa ujumla utaona kuwa wapo kwa ajili ya kupata posho na mshahara tu. Mbunge anaropoka hovyo kuwa Watu washughulikiwe kwa kutekwa! Mbaya Zaidi anakazia kuwa Waanziwe wana CCM baadae wapinzani na wasio wapinzani. Msukuma hovyo kabisa... Bunge hili ni lile ambalo...
  2. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kufika mwaka 2030 mwanadamu ataweza unganisha akili yake na akili bandia AI

    Mtaalamu maarufu wa mustakabali wa teknolojia, Ray Kurzweil, ametabiri kuwa kufikia mwaka 2030, binadamu wataweza kuunganisha akili zao moja kwa moja na akili bandia (AI) kwa kutumia nanoboti, Virobiti vidogo vya kimitambo vinavyosafiri kupitia damu bila hitaji la upasuaji. Kwa mujibu wa...
  3. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hiki kisa changu cha mwaka 2004 huwa nikikumbuka huwa kinanifanya nicheke kwa sauti hata nikiwa peke yangu

    Shalom jukwaa! Nilipokuwa mwanfunzi nilikuwa nina tabia ya kutofika shuleni kwa sababu nilikuwa sipendi shule kuliko kitu chochote kwa kipindi kile lakini wazazi walikuwa wananilazimisha kwenda shule hata kwa fimbo wakati mwingine (nawashukuru sana kwa hilo). Kule kutokupenda shule kulinifanya...
  4. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Mama Mbona Ujaipongeza Timu ya Simba Kushika Nafasi ya Pili Kwenye Kombe la Shirikisho Mwaka Huu 2025?

    Inawezekana Mama amepitiwa kulikosababishwa na Majirani zetu wapendwa wa hapo Kenya!
  5. funaku

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mwaka 2000 Chadema haikuwa na mgombea Urais

    Hii ni kumbukumbu kwa vijana wa 2000
  6. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuanzia mwaka 2022 mpaka 2024, Serikali imetumia 3B Ksh kulipia uzembe

    https://www.youtube.com/watch?v=iMrLys3Q9iM
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Dkt. Gwajima: Vitendo vya Ubakaji na Ulawiti vimepungua kwa asilimia 6.3 na 19 mwaka 2024

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt. Dorothy Gwajima, amesema kuwa vitendo vya ukatili wa kijinsia nchini vimeanza kupungua, hususan matukio ya ubakaji na ulawiti, kufuatia juhudi mbalimbali za Serikali na wadau kuelimisha jamii. Akiwasilisha makadirio ya...
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Faida ya Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) kabla ya kodi ilipanda kwa asilimia 201 hadi kufikia shilingi bilioni 44.81 mwaka 2024

    IMEELEZWA a kuwa Faida ya Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) kabla ya kodi ilipanda kwa asilimia 201 hadi kufikia shilingi bilioni 44.81 mwaka 2024, kutoka hasara ya shilingi bilioni 44.42 mwaka 2023, huku faida baada ya kodi ikiongezeka kwa asilimia 170 hadi shilingi bilioni 32.62 kutoka...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, naomba tukubali mabadiliko.

    Ni muhimu sana kwa viongozi wetu kuona hali halisi iliyopo sasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Hali inaonesha kwamba, Watanzania wanataka mabadiliko. Kwa sababu viongozi ni kwa ajili ya Watanzania wapatao 60,000,000 na si kwa ajili ya viongozi wenyewe ambao pengine wanaweza wasifike...
  10. Luca Paguro

    JamiiForums Tanzania Nisome nini chuoni mwaka huu 2025?

    Wakuu mimi ni mkazi wa Lindi nimesoma PCM shule moja uboizini huko Mbeya na nimemaliza mtihani wa taifa siku chache tu zilizopita. Hapa bado nawaza niende JKT au nipumzike home hii miezi kadhaa Kwa nilivyofanya mtihani najua nitapata Division 1 ya point 6 hadi 8. Sasa kuna Jambo linanitatiza...
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mwaka huu ni Mungu dhidi ya CCM, mpinzani mkuu wa CCM mwaka huu ni Mungu mwenyewe

    Huu si mwaka wa kushindana kwa namna ilivyozoeleka ,watu hawataki kushindana kwa hoja wala kukosolewa kama ilivyokuwa zamani ! Mamlaka ziko tayari kwa ajili ya kuilinda mamlaka ,ukiwa mgombea unatafsiriwa kama gaidi au mhaini ,wanataka ukiwa mpinzani wao wakufundishe na jinsi ya kuongea, nini...
  12. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii kwa mwaka 2025/26

    Wasaalam. Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum kwa mwaka wa fedha wa 2025/26 itasomwa tarehe 27 Mei, 2025. Karibuni kwa ufuatiliaji. Ahsanteni sana.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Vurugu katika Vyuo Vikuu vya USA leo hii, Bw. Walid Shoebat alivibashiri mwaka 2008

    Walid Shoebat ni Mpalestina aliyekuwa gaidi chini ya PLO-Palestine. Baada ya kujua ukweli aliacha ugaidi wake na kusimamia ukweli upande wa Israel. Mwarabu huyu ktk mahojiano yaliyofanya 2008 alielezea Uislamu kuwa si tu kuwa dini hatari bali pia kuwa uislamu ni mfumo wa kisiasa ulio hatari hata...
  14. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mifugo Dkt. Ashatu anasema Watanzania mnakula Mayai 119 kwa mwaka unakubaliana naye?

    Waziri ashatu anasema watanzania mnakula mayai 119 kila mwaka unakubaliana naye au muongo huyu ? au kuna mtu anawasaidieni kula mayaiyenu hayo kati ya 119 kwa mwaka mpaka takwimu ziwe hivi ? Alikuja akawauliza mitaani au yeye mtaani haonekani wala kwenye mifugo haonekani alafu anaongea tu na...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Viongozi na Marais Matajiri zaidi Barani Afrika mwaka 2025

    Barani Afrika, baadhi ya viongozi wenye ushawishi mkubwa si tu kwamba ni vigogo wa kisiasa, bali pia ni matajiri wakubwa. Miongoni mwao ni Mfalme Mohammed VI wa Morocco ambaye utajiri wake unakadiriwa kufikia dola bilioni 5.8, akifuatiwa na Rais wa Nigeria, Bola Ahmed Tinubu, ambaye anakadiriwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jicho la tatu: Tujiandae kuona watoto wa shule wakiwamo walio chini ya umri wa miaka 18 wakitumika kama wapiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu

    Yanayoendelea nchi hii, kila mtu anaona na hata mwenye akili ndogo kama za kuku, anajua kabisa kuna biashara haramu ya kugawan majimbo kwa kisingizio cha wahusika kushinda uchaguzi. Kwahiyo, tutarajie muitikio mdogo wa wananchi na badala yake tutarajie kuona watoto wa shule wengine wakiwa...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020-2023 kulikuwa vuguvugu la Mapinduzi Afrika Magharibi. Mwaka 2025-2029 ni Vuguvugu la Mabadiliko Afrika Mashariki

    Kwanza ilianza Arab Spring mwaka 2009/10 - 2012 ambapo nchi za Uarabuni zilishuhudia vuguvugu la Mabadiliko ya Tawala zake. Nchi za Tunisia, Libya, Misri zilipata Viongozi wapya. Miaka ya 2020-2023 likaja vuguvugu la mabadiliko ya Utawala Afrika Magharibi. Nchi za Guinea, Mali, Niger, Gabon...
  18. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Nini kitatokea ndani ya Mwaka wazungu wakituacha waafrika tujiendeshe wenyewe bila msaada Wala madeni?

    Waafrika ni kama mtoto aliyezaliwa kiwete. Atategemea kubebwa na kulelewa kama mtoto maisha yake yote. Nimejaribu kujiuliza hivi nini kitatokea siku wazungu wakiamua kutuacha tutembee wenyewe. Bila misaada, mikopo Wala NGO. Na KWA nini wasifanye hivyo maana tutabebwa hadi lini?
  19. Mayu

    JamiiForums Tanzania Picha BORA kabisa ya Mwaka

    A picture that speak louder than words Wakati ukifika ambapo ukombozi kamili wa Taifa hili ukikamilika picha kama hizi zitapamba Makumbusho ya taifa na zitaishi vizazi kwa vizazi kutambua mchango mkubwa wa watu walio weka rehani maisha yao kwa sababu ya kupigani haki na misingi yake NO REFORM...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Maisha ya nyumba za kupanga uswahilini ni kama sinema ya bure, Ukiishi humo mwaka mmoja, unaweza andika kitabu kizima

    Tumetoka kwenye familia, zilizopanga kwenye nyumba iliyopewa jina la Muhimbili. Korido ndefu kama Sgr, kila mtu kapanga ndoo mlangoni.. Kulia vyumba tisa, kushoto nane, mwenye nyumba yupo uani.. Mlango mkubwa wa mbele, haufungwi hata siku moja.. Kwa sababu kuna watu kazi zao wanatoka usiku...
Back
Top Bottom