Nimemaliza form 4 mwaka jana ,nina division 2.20

45YY

Member
Joined
Jun 24, 2025
Posts
24
Reaction score
19
Je chuo cha Tanzanian international training health center kilichopo ifakara ni kizuri kwa KOZI ya diploma in clinical optometry NTA LEVEL 4 TO 6 nahitaji muongozo wenu
 
Kama ni ifakara nenda chuo cha kanisa hakina shida iko changamoto ni kozi mpya.

Nakushauri omba chenye uzeefu KCMC kama una maksi nzuri ila maksi ndogo omba na vingine kama Mvumi nk.

Soma hiyo kozi utapata mkopo na ajira uhakika mko wachache wakati ndo huu.
 
Asante sana kiongozi
 
Back
Top Bottom