mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe wakulima wa zao la korosho madeni ya mwaka 2018

    Nawasalimu kwa jina la JMT.. Kama kichwa kinavyojieleza. Kwanza nianze kwa kusema kwmba mimi sio mkulima wa zao hilo, lakini pia sio mwenyeji wa mikoa yenye umaarufu wa kilimo cha zao hilo. Hivyo naandika haya sio kwamba nina maslahi yangu, hapana..! Nimeona niwasemee wahusika kwani nina amini...
  2. JamiiForums Tanzania Watu 420,000 hufariki kila mwaka kwa kula chakula kisicho salama

    SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) limesema watu wa wanaokadiriwa milioni 600 huugua kutokana na kula chakula kisichosalama na kati yao takribani watu 420,000 hupoteza maisha kila mwaka Takwimu zinaonyesh kuwa wahanga wengi wa chakula kisichosalama ni watoto walio chini ya umri wa miaka mitano...
  3. JamiiForums Tanzania Kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza MZUMBE mjomba alinihusia swala la kusave bumu

    Habarini za leo wakuu, Wakuu hivi ninyi mlishawahi fanikiwa kusave hela za Bumu zikawatoa. Binafsi mimi kipindi naanza chuo kikuu mwaka wa kwanza pale MZUMBE mjomba alinihusia sana swala la kusave bumu. Aliniita varandani akanisisitiza sana mjomba chondechonde ukipata Bumu uwe unalisave...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, taarifa zinadai idara na Wizara nyingi zinafunga mwaka na wakubwa wanagawana fedha za funga mwaka

    Mhe. Waziri Mkuu tunalojukumu lakukushirikisha wasemavyo Watumishi wa umma hasa waliopo wizarani na kwenye Idara za serikali, naamini ninachokiandika hapa unakifahamu ila najaribu kukirudia ukiweke kwenye mpango kazi wako. Nianze kukupongeza kwa kazi kubwa uliyofanya Wizara ya fedha, hongera...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela

    Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ambaye jana alihudhuria kongamano la CHADEMA leo amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja. Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe yuko ziarani mkoani Mara. Taarifa rasmi itawajia punde. Kazi Iendelee!
  6. JamiiForums Tanzania Mkoa wa Geita ubadilishwe jina na kuitwa "Magufuli" kisha makao makuu yawe wilaya ya "Chato" mwaka 2031

    Good evening jamiiforums. Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto wake wa kiume (Uncle wangu) yupo kidato cha pili akaniuliza hivi; Kwanini mkoa wa Geita...
  7. JamiiForums Tanzania Pole Catherine Magige, hii iwe fundisho kwa wadada maarufu nchini

    Mbunge Catherine Magige amekuwa akiishi na kijana Madoda, Ex TRA Staff ambae alikuwa mkulima na pia anamiliki kampuni ya mikopo. Madoda walitengana na mke wake waliezaa watoto watatu kabla ya umauti haujamkuta. Walianza maisha na mkewe na Mungu aliwabariki kufikia walipofikia. Walitofautiana...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa itakuwa na kadi za aina 5 za uanachama zitakazolipiwa viwango tofauti kwa mwaka

    1.Kadi ya bluu (2500) kwa mwaka 2. Kadi ya fedha (25,000) kwa mwaka 3. Kadi ya dhahabu (50,000) kwa mwaka 4. Kadi ya Platnum (100,000) kwa mwaka 5. Kadi ya Almasi (200,000) kwa mwaka Huu ndio mpango mpya utaowezesha chama kujiendesha kwa mapato yake chenyewe badala ya pesa za ruzuku ambazo...
  9. JamiiForums Tanzania New York Times walivyoripoti kutekwa Air Tanzania mwaka 1982

    4 TANZANIAN HIJACKERS SURRENDER; 90 HOSTAGES ARE FREED IN BRITAIN By R.w. Apple Jr., Special To the New York Times March 1, 1982 March 1, 1982, Section A, Page 3 BISHOP'S STORTFORD, England, Feb. 28 - A 48-hour hijacking drama that began in East Africa ended tonight at an airport 25 miles...
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji mke wa kuoa mwaka huu

    Habari wana JF. Nahitaji mke wa kuoa kama itawezekana ndani ya mwaka huu. Sifa zangu. Umri, 27 Dini, mkristo Kazi, fundi Umeme Sifa za mke nimtakaye. Awe mrefu kiasi Umri. 20- 25 Dini. Yoyote Elimu. Yoyote.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Warioba: Tulipoingia madarakani na Rais Mwinyi mwaka 1985 tuliikuta nchi haina fedha za kigeni!

    Makamu wa Rais na Waziri mkuu mstaafu mzee Sinde Warioba amesema mzee Mwinyi alipoingia madarakani kama Rais mwaka 1985 na yeye kuwa msaidizi wake walikuta nchi haina kabisa akiba ya fedha za kigeni. Warioba amesema hii ilitokana na ukweli kwamba nchi ilikuwa imetoka kwenye vita ya Kagera pia...
  12. JamiiForums Tanzania Je Wajua? Mwaka ambapo Tanzania iliingia kwenye CAF RANKING kwa mara ya kwanza

    KUHUSU RANKING Afrika ina nchi 54 lakini ni nchi 32 tu zipo kwenye CAF RANKING na TANZANIA ikiwemo, hii ina maana kwamba mataifa 22 ya Afrika hayamo na ni kwasababu timu za nchi hizo hazifanyi vizuri kwenye mashindano ya CAF. Tanzania iliingia kwa mara ya kwanza kwenye CAF RANKING mwaka 2017...
  13. JamiiForums Tanzania Wajumbe waliogombea NEC Taifa mwaka 2017 wateuliwe kuwa Wakuu wa Wilaya

    WAJUMBE Walioteuliwa kugombea CCM NEC TAIFA MWAKA 2017 ,ukipitia CV zao , ni wanaccm halisi na wenye uwezo wa kuiongoza CCM na kukipisha mwaka 2025. WAJUMBE hao waliochaguliwa kwenda kugombea ila kura zao hazikutosha,ni muda sasa wateuliwe kwenye nafasi za wakuu wa wilaya, Wakurugenzi wa...
  14. JamiiForums Tanzania Mwaka mpya wa 2007 tulimkabidhi Yesu kila kitu na maombi yetu kujibiwa ipasavyo

    Yeereeeeeh! Wadau mnaendeleaje! Huyu mwamba mchungaji ni wa kipekee. Kanisa lake simple tu la mabati huko Meru milimani enzi hizo. Kuukaribisha mwaka mpya 2007 mwamba alitupanga nakutuambia shida zote mtaziacha nyuma 2006 na mwaka wa 2007 nawaakikishia njia zenu zote Yesu atazifagia...
  15. JamiiForums Tanzania Viumbe, mimea na wadudu vamizi hugharimu Afrika dola trilioni 3.5 kwa mwaka

    Utafiti mpya unasema wadudu, minyoo, mimea vamizi ya magugu,zinagharimu Afrika zaidi ya $ 3.5tn (£ 2.5tn) kila mwaka. Watafiti walio Ghana, Kenya, Uingereza na Uswizi wameelezea athari mbaya za spishi zinazoletwa na shughuli za wanadamu. Nigeria, ambayo hasara yake inakadiriwa kuwa dola...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Utumishi pitia waraka wa utumishi wa umma na.2 wa mwaka 2018 kipengele na 3.2 (I) kinanyima haki watumishi

    Majuzi niliomba kuona waraka huu hapa hapa jamvini kwa bahati nzuri mdau mmoja kanitumia PM hapa nimeona kipengele cha 3.2.(i) si rafiki kwani kinamnyima stahiki zake mtumishi endapo mwajiri hatukuwa na busara kipengele kinasema (I)malipo ya uhamisho hasa katika maeneo ya mjini yafanyike baada...
  17. JamiiForums Tanzania KIA i40 ya mwaka 2015

    Edit: Moderator naomba edit Hyundai sio KIA. Katika kuzurura mitandaoni nikaonana na Hyundai i40 ya mwaka 2015. Hyundai nimeziona ona Tanzania so sikua na wasiwasi kuhusu mafundi na spare. Nadhani kwa wapenzi wa sedans watavutiwa nayo. Ila bei yake sio mbaya sana kwa Beforwad: Just...
  18. JamiiForums Tanzania Picha ya mwaka!

    🤣🤣🤣🙌
  19. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata Waraka wa utumishi wa umma no 2, wa mwaka 2018, unaokataza malipo ya uhamisho

    Wadau ambaye ana waraka huo naomba ashee na sisi hapa jukwaani au kama haupo ulishafutwa tunaomba basi huo waraka ambao umefutwa maana nimeona barua mtumishi kajibiwa hastahili kulipwa uhamisho wake kutokana na maelekezo ya huo waraka
  20. JamiiForums Tanzania Kwa mahitaji ya viwanja maeneo ya kigamboni, Bagamoyo, Dodoma unapata kwa bei poa. Malipo ni kwa awamu ndani ya mwaka na ukitaka kulipa kwa mkupuo pia

    Habari zenu ndugu jamaa na marafiki. Huu ni wakati sahihi wa kumiliki kiwanja chako kwa bei nafuu pia ulipaji wake ni wa awamu yaani kidogo kidogo. Viwanja vipo karibu na barabarani na vishapimwa kabisa. Kampuni yetu ipo tayari kukuhufumia ndugu mteja. Karibu tukuhudumie. Kwa mawasiliano...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…