mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Serikali Kuajiri Walimu wapya 10,000 Mwaka Huu wa Fedha 2021/2022

    Ajira mpya zimepunguza uhaba wa Walimu wa Sayansi Nteghenjwa Hosseah, OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi) Ummy Mwalimu amesema kwa Sasa hakuna Shule ya Sekondari ambayo haina Mwalimu wa Sayansi. Waziri Ummy amesema katika ajira 6,949...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Mwaka 2020 watoto 600 walinyanyaswa

    Kesi za udhalilishaji visiwani Zanzibar ni suala linalopigiwa Kelele na viongozi wa kada mbalimbali. Kwa mwaka jana pekee kesi zaidi ya 600 za udhalilishaji ikiwemo kubakwa na kulawitiwa zimefunguliwa katika vituo vya polisi visiwani zanzibar huku ikiaminika kuna maelfu ya vitendo hivyo...
  3. 0

    JamiiForums Tanzania Msaada: Napotuma maombi ya chuo namba ya uthibitisho (Verification number) inakataa

    Habari zenu , wapendwa mm naitwa elia,nmemaliza diploma ya ualimu secondary mwaka huu,sasa changamoto yangu ni wakati huu wa ku apply chuo kikuu ambapo kila nikitaka verification number inakataaa na napokea ujumbe kwamba sikuwa na vigezo vya kusoma Diploma. Kwa o level nilikuwa nna c tatu na...
  4. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Nyerere alivyojibu maswali ya Eleanor Roosevelt (First lady) wa Marekani mwaka 1959

    Sikiliza mzee wa nondo alivyokuwa akizimwaga mbele kujibu mashambulizi kutoka pande nne. Ikumbukwe kuwa Eleanor Roosevelkt ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya umoja wa mataifa iliyodraft na kupitisha azimio la haki za binadamu. Katika maongezi hayo ameongelea pia maoni yake kuhusu swala la...
  5. KIMOMWEMOTORS

    JamiiForums Tanzania Car4Sale PDF: Jumla ya Gharama za Kuagiza Baadhi ya Magari kwa Mwaka 2021

    Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari picha chini inaonesha jumla ya gharama kwa baadhi ya gari tulizoagiza kwa mwaka huu 2021. Hivyo ukihitaji kumiliki gari yako kutoka nje inaweza kugharim wastani wa gharama hizo hapo chini.
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka wa pili sasa sipo group lolote la WhatsApp

    Najikuta tu siko kwenye group lolote la WhatsApp. Ukiishi maisha ya kipekee raha sana. Kazini ni mwendo wa salamu, kazi na kicheko kidogo mnatawanyika. Sijui magroup ya ma classmates sipo, magroup ya waliotoka Kijiji au wilaya au mkoa mmoja simo. Magroup sijui ya kabila moja simo. I feel good.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tuzungumze kuhusu Vyama vya Ushirika na Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania

    Tuzungumze kuhusu ushirika na kinachoendelea juu ya mabadiliko ya Sheria ya vyama vya ushirika Na. 6 ya mwaka 2013. tuzungumze juu ya Time ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania. Tuzungumze juu ya umuhimu wa Maafisa ushirika nchini, na je ni kwanini serikali haioni umuhimu wao? Pia kwanini Tume ya...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mwanafunzi wa Diploma kuhitimu mwaka huu nakujiunga na Degree mwaka huu?

    Habarini wataalam, Hivi inawezekana mwanafunzi wa diploma kuhitimu diploma mwaka huu nakujiunga na degree mwaka huuhuu.
  9. Tango73

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Yanga kila mwaka hauridhishi kiu ya washabiki, kulikoni?

    Bila kuficha usajili wa yanga una kasoro kubwa sana kila mwaka. Hivi ni kwa nini yanga hupenda kusajili asilimia kubwa mitumba mikubwa kutoka nje ya nchi na kudharau wachezaji wenyeji? Hii dhana ya kufikiria eti ukijaza wageni wengi ndani ya timu kuna manufaa kuliko kusajili wachezaji wetu wa...
  10. Mchokozi wa mambo

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu yatoa mwongo wa utoaji mikopo mwaka 2021/22

    Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB) imetoa mwongozo wa utoaji mikopo mwaka 2021/22 ambao inatakiwa kila mwombaji anatakiwa utumie tarehe 02-04/07/2021 kuusoma na kuelewa na kisha mfumo wa maombi utafunguliwa tarehe 05/07/2021. karibu hapa nimekuwekea pakua usome lakini pia ukiwa...
  11. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Naomba Muongozo kutoka kwa serikali: Je, mwaka huu kutakuwepo sikukuu za Nane nane?

    Wakuu Kwema! Nafahamu viongozi wengi wa serikali wanapita humu JF. Naomba kujua Kama mwaka huu kutakuwa na sikukuu za Nane nane. Ili wakulima tujue tunafanyaje. Natanguliza shukran
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Pfizer kutengeneza faida ya Shs. Trillioni 70 mwaka huu wa 2021

    Taarifa hapo chini zinasema kwamba, kampuni ya kutengeneza chanjo za Corona, Pfizer, inatarajiwa kutengeneza faida ya shs.Trillion 70 kwa mwaka huu wa 2021 pekee, je, nawezaje nunua hisa walau 10 tu za kampuni hii? Ikumbukwe, hii ni bajeti halisi ya Tanzania kwa miaka zaidi ya miwili (2) ---...
  13. S

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Tanga, vipi kesi inapomaliza zaidi ya mwaka?

    Ipo kesi moja mkuu wa shule alichukua fedha, vifaa na alishirikiana na mkurugenzi wa Jiji na afisa elimu katika wizi huo. Mkuu wa shule alianzia wizi kwenye utangazaji wa zabuni na anamiliki mihuri feki na TAKUKURU wanajua. Walioshiriki kubeba vifaa vya serikali wametoa ushahidi. Wizi...
  14. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania DC Gondwe unazuiaje mkutano mkuu wa msikiti wakati Katiba yao imekiukwa mwaka wa pili sasa?

    Naelekeza hili swali kama nilivyotumiwa kwa Mkuu mpya wa wilaya ya Kinondoni, Ndg Godwin Gondwe. Waumini wa msikiti wa Kisumu, Magomeni mikumi wana mgogoro wa kikatiba kuwa Mkutano mkuu haujafanyika kwa miaka miwili sasa. Hivi karibuni kupitia michango na jitihada zao wamejenga jengo la ghorofa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Katika kudai Katiba Mpya, tuwe na Katiba Day kila mwaka na iwe ile tarehe ambayo Mzee Warioba aliwasilisha maoni ya Wananchi juu ya Katiba Mpya

    Habari Wakuu, Katika harakati za kudai Katiba Mpya kutoka kwa watawala, napendekeza moja ya mkakati ni tuwe na siku maalumu ya kitaifa kila mwaka ambapo tutaitumia siku hiyo kutoa elimu kwa umma juu umuhimu wa Katiba Mpya na kuhamasisha madai ya kutaka Katiba Mpya. Siku hiyo ikifika kila...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu ( 2021 ) Israeli Mtoa Roho anaupiga mwingi sana kwa wenye Majina yao nchini Tanzania

    Nimekutana na bonge la Foleni Daraja la Kijazi wakati nikitokea Stendi ya Magufuli ili niwahi kupita Daraja la Mfugale kuelekea Nyumbani tayari kwa Kujiandaa na Safari yangu ya kwenda Mkoani Dodoma Kesho ili nikatembelee pia Soko la Ndugai ambalo nasikia kutokana na lilivyoharibika japo...
  17. Duniahadaa

    JamiiForums Tanzania Rais ana uwezo wa kuifuta sheria ya vyama vya siasa (Na. 5 ya 1992) inayoruhusu mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa?

    Kama jibu ni ndiyo, Sheria ipi nyingine ana madaraka ya kuifuta bila kushirikisha Bunge?
  18. Autodidacts

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kiwanda cha Chibuku/ Darbrew LTD kilifungwa tangu mwaka 2018. Muwekezaji yupo lakini Watendaji wa Jiji la Ilala wanakwamisha

    DARBREW LTD ni kiwanda cha kutengeneza pombe aina ya chibuku,kilianzishwa tangu mwaka 1967 na kampuni binafsi LONRHO corporation. Serikali ilikitaifisha kiwanda hicho mwaka 1978 na kukiendesha kwa mafanikio.Kilianza kuwa na ubia mwaka 1997 ambapo serikali ilikuwa na hisa ya 40% na sekta binafsi...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Serikali inakusanya Tshs. trilioni 211.2 kwa mwaka? Kama ni kweli basi neema yaja

    Kwa mujibu wa website ta ATE Serikali inakusanya trilioni 17.6 kwa mwezi sawa na trilioni 211.2 kwa mwaka, yaani kwa mkwanja huu hamna wasiwasi SGR itakamilika kwa wakati na bwawa la nyerere nalo hamna shida litajengwa, nimeweka kiambatanisho hapa chini https://ate.or.tz/sites/default/files/TZA...
  20. KIBEBENYEKE

    JamiiForums Tanzania Je, naweza kuomba chuo tena baada ya kumaliza mosomo kama mwaka wa kwanza?

    Naumba ushauri ndugu zangu mm nasoma chuo kikuu ila nipo mwaka wa mwisho na semester ya mwisho je naweza kuomba tena chuo kwa kozi nyengine kama mwaka wa kwanza na baada ya kumaliza semester hii kukubaliwa kuendelea na kozi nyingeni kwa mwaka huu mpya wa masomo uko Bado sijagraduenti.
Back
Top Bottom