"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.
Akitoa hotuba katika Miaka 60 ya Uhuru, Mhe Tundu lLisu amependekeza mambo yafuatayo kufikia au kuelekea kupata Uhuru wa kweli baada ya kupata Uhuru wa bendera.
1. Ni lazima tuakikishe kwamba, bila masharti yoyote wafungwa wote wa kisiasa wanakuwa huru kutoka mikononi mwa Mahakama na dola.
2...
Jamii forum kwa waliopo Mungu ametupenda na aendelee kutupenda mwisho wa mwaka ndio huo unakatika na sasa inabidi tuulizane kipi umefanya hadi ukikumbuka unafurahia .
TUAMBIZANE
Wapo Watoto 18 wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri Kati ya Siku 30 - 60
Yaani umri wa Mwezi Mmoja - Miezi Miwili Kasoro.
Wapo Majike 9 na Madume 9
Wote Wanauzwa
Bei ya Mtoto mmoja wa Nguruwe wa Kisasa wa Umri wa Mwezi Mmoja ni Tshs. 80,000/= Tu
Tuwasiliane
+255738141339
Text, Call or Whatsapp...
baba
bei
bei nafuu
bunju
christmas
dar
dar es salaam
fursa
hybrid
jumla
kisasa
mama yao
mbegu
mwakamwaka 2021
nafuu
nauza
nguruwe
nyama
nyama ya nguruwe
offer
umri
watoto
Heshima sana wakuu,
Tumshukuru Mungu mwingi wa rehema kwa kutupatia uhai mpaka sasa tunapoelekea kuukamilisha mwaka 2021.
Najua kwamba wapo wengi walitamani kuanza ujenzi wa nyumba zao na ni ukweli usiopingika kwamba baadhi yao wameweza kuanza ujenzi, wapo walioishia katikati, wengine...
Salaam sana wakuu,
Tunamshukuru Muumba wa mbingu na nchi kwa kutufikisha disemba hii 2021 ambapo tunapata nafasi mtawalia ya kutafakari kwa kina malengo tuliyojiwekea kwa mwaka 2021 huku tukijipanga kwa ajili ya mwaka mpya 2022. Binafsi nina lengo la kufanya savings ifike milioni 20 ifikapo...
Imekuwa kawaida viongozi wa CCM kupotosha ukweli kuhusu hoja ya Uhuru. Kwenye hotuba zao nyingi wamekuwa wakiiambia Dunia kwamba Tanzania ilipata uhuru tarehe 09/12/1961. Na hata tunaposherekea sikukuu ya Uhuru Naamini tutegemee kuendelea kusikia upotoshaji ukifantywa na wasomi wa Nchi hili...
Kwa mujibu wa katiba ya Japan kiongozi mkuu wa executive ni waziri mkuu.
Tangu mwaka 2000, Japan imeongozwa na mawaziri wakuu 11, kati ya hao 8 wameongoza chini ya mwaka 1 na nusu.
1. Yoshiro Mori: 5/4/2000 - 25/4/2001
Sawa na mwaka 1 na siku 22
2. Junichiro Koizumi: 26/4/2001 -...
Kutokana na ndugu wengi humu kuwa wachoyo sana na walafi, hawataki kualika wenzao hasa mimi kwani eti nakula sana kama mchwa.
Hivyo yeyote anayetaka kumualika mtu msimu huu kuelekea Xmass na mwaka mpya basi amtag hapa ili kumpa invitation, siku ya siku cha mtume kifinywe.. 😀😀
Acheni hizo...
1) Mie binafsi nimejifunza kusave money
2) Kutomridhisha kila mtu
3) Kufanya kila jambo la maendeo kwa usiri mkubwa
4) Kutokumuamini mtu awe ndugu au rafiki imenisadia sana kupiga hatua
5) Kuongeza vyanzo vingi vya kupata pesa
6) Kuacha umbea sehemu za kazi kwasababu nilirekodiwa maneno...
Takwimu zilizotolewa na NBS zimeonesha watu wa umri wa miaka 15 na kuendelea wanaojiajiri(tafsiri ya kitaifa) kwa shughuli zisizohusika na kilimo wamepungua kwa 3.9% ukilinganisha mwaka 2021 na mwaka 2014
Waliokua wanafanya shughuli binafsi zisizo za kilimo kwa mwaka 2014 ni 26.6% ya...
Huku Mwalimu Mchungaji Mwakasege anaendelea na OKOKA Concert yake na kule EFM Radio wanaendelea na KOMAA Concert yake.
Kwa 'Sound' la uhakika lililosetiwa vyema kujiandaa na KOMAA Concert ya EFM Radio Tanganyika Packers Kawe Kesho ambalo nimetoka Kulisikia kuna uwezekano mkubwa 95% ya Waumini...
Kwa umri wangu shida ya sukari nchini ikikwisha mwaka 1995 na maduka ya RTC alipokuja AH Mwinyi, sijawahi kuisikia tena mpaka huyu Magufuli alipoivuruga.
Mwinyi ndiye aliyeleta trade liberalization, yaani aliruhusu Watanzania wenye uwezo kuagiza popote na kuja kuuza Tanzania.
Mwaka 1980-85...
Wana Jf,
Kama utabiri ukitokea uenda Kagera ikapoteza fedha nyingi kwa kile tunachokiita upuuzi wa mwombolezaji mmoja toka Chato. Chato imebebwa na Kagera miaka mingi tangia falme mpaka kuwa wilaya kamili. Sasa hawa jamaa wanaleta unazi kuwa kila kiongozi mkuu apewe anachohitaji, kwa njia hii...
Waraka wa elimu namba 2 wa mwaka 2021 unahusu urejeshwaji shuleni kwa wanafunzi wa primary na sekondari walikatisha masomo kwa sababu mbali mbali ukiwamo utoro, na mimba.
Lakini katika waraka huo hakuna aya au kifungu chochote kinachozungumzia mtoto aliyefeli darasa la saba kurudia tena masomo...
Uunganishwaji wa wateja katika huduma muhimu ya nishati ya umeme na TANESCO kumeonesha kupungua kutoka mwaka 2015/16 na kufikia chini ya malengo mwaka 2017/18 kabla ya kuanza kupanda tena mwaka 2018/19.
TANESCO wametaja kutokuwepo kwa malighafi kuwa ni sababu ya kushindwa kufikia malengo mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.