mwaka

"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.

View More On Wikipedia.org
  1. CK Allan

    JamiiForums Tanzania HEKO: mama ameupiga mwingi , sikukuu ya mwaka huu imekuwa na shamra shamra bidhaa zinauzika kweli kweli!

    Pamoja na bidhaa kuwa juu, Kama vile mafuta, sukari, n.k Vile vile Tozo na kodi nyingi, Bado sikukuu ya mwaka huu inaweza kuwa ya kipekee kulinganisha na zamani za pontio pilato, Watu wamesafiri sana, Bidhaa zimenunuliwa na kuuzwa sana, Basi tumpongeze! Kisha tumsihi aboreshe yaliyosalia...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kufungia mwaka 2021 na kuufungua mwaka 2022

    UJUMBE WA KUFUNGIA 2021 NA KUFUNGUA MWAKA 2022; MHESHIMU MUNGU KWA MALI ZAKO. Anaandika Robert Heriel. Mungu humdharau mwenye Dharau, humheshimu mwenye kumuheshimu. Tunapoelekea kuufunga mwaka 2021 na kuulaki Kwa furaha mwaka 2022 ujumbe huu utakuwa muhimu katika maisha yako. Ujumbe huu...
  3. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Ibrah ndio msanii bora underground mwaka huu, je kwako ni yupi?

    habari ndugu. Mwaka ukiwa unaishia sasa tumeona tangu mwanzoni wasanii chipukizi wengi walichipua na ngoma zao za moto na kusumbua sana, Wapo waliotoa ngoma moja na kupotea wapo walio maintain mpka sasa ,akwemo msanii kutoka konde gang ibrah huyu ndio best newcomer kwenye bongo fleva mwaka...
  4. Kelela

    JamiiForums Tanzania Mwaka Unaisha, Mimi nimejitathmini hivi

    Kujitathmini umefanya nini ndani ya mwaka husika na miaka iliyopita kutakusaidia kujua hali ya maendeleo yako. Mimi mwaka huu nilijiona kama sijafanya chochote vile , Lakini nikasema ngoja kwanza. Nikafungua Microsoft Word Document Nikaanza kuangalia Pesa niliyoiweka kwenye Investments...
  5. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Wizi wa kura wa mwaka 2019 na 2020 umesabisha CCM kichukiwe sana

    Uchaguzi wa 2019 wa Serikali za Mitaa na uchaguzi Mkuu wa 2020 hauwezi kuwa kipimo cha hali ya upinzani nchini. TISS walifanya utafiti mwanzoni mwa 2020 na wakaona kuwa Magufuli na CCM wasingeweza kupata zaidi ya 30% kama uchaguzi Mkuu ungefanywa kwa haki. Kwa kuogopa hilo na huku akijua kuwa...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu Tanzania waliotutoka mwaka huu 2021

    Wadau Mwaka 2021 umekua na majonzi na mambo mengi, tumbushane watu maarufu waliotutoka mwaka 2021 1. JPM 2. Bakari Mwakapachu 3. Prof Mathew Luhanga 4. Zakaria Hanspope 5. Asas 6. Haruni Zakaria 7. Summry 8. ....
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mwaka sasa unaisha lakini Serikali haijamalizia hata mradi mkubwa mmoja

    Kwa uchunguzi wangu miradi mingi ya ujenzi ya serkali iko nyuma sana tokea utawala huu wa mama Samia uingie! Natoa mifano ifatayo! Ujenzi wa barabara ya Kumara mpaka kibaha ulikuwa umekamilika kwa zaidi ya asilimia 94 lakini mpaka sasa hakuna umaliziaji wa barabara hiyo. Ujenziwa daraja...
  8. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Jinsi Wamisri wa kale walivyogundua kuwa mwaka una siku 365

    Hawa wamisri wa kale ndiyo watu walioleta ustaarabu tunaouona duniani leo hii. Wagiriki walijifunza ustaarabu kutoka Misri ya kale. Moja ya mambo waliyogundua ni kuwa mwaka una siku 365. Waligundua namna hii. Ukichunguza jua kwa mwaka mzima utaona kuwa sehemu linakichomoza na kuzama hubadilika...
  9. Manton

    JamiiForums Tanzania Ajali za kufunga mwaka na kufungua mwaka uacha makovu makubwa ya moyo na nafsi kwa watoto.

    Niliwahi kushuhudia familia ikipoteza baba na mama kwa wakati mmoja katika ajali ya gari wakiwa wanatokea kula Krismasi na mwaka mpya, kijijini kwao, wakati huo watoto wao wa pekee (mapacha), walikuwa wamebaki shuleni (skuli ya wazazi na walezi wenye kipato cha kati) wakifanya maandalizi ya...
  10. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Umesoma vitabu gani mwaka 2021?

    Ni mwisho wa mwaka. Kama kawaida tushirikishane vitabu tulivyosoma mwaka huu. Inasaidia kujua vitabu vizuri na kushirikishana maarifa. Mi nimesoma vitabu vifuatavyo, baadhi vilipendekezwa na members humu JF. 1. Bad Samaritans. Kitabu hiki kinaelezea jinsi ambavyo mataifa tajiri yanavyoshauri...
  11. 2019

    JamiiForums Tanzania Japo tumechelewa serikali ipige marufuku safari za mwisho wa mwaka kwa hali ilivyo sasa

    Mwisho wa mwaka kuna makabila yanapenda sana kumalizia kwao. Yani wanatoka mjini wanarudi walikozaliwa. Kwa hali jinsi ilivyo vikohozi,kifua pamoja na mlipuko wa nne wa UVIKO-19 yan kirusi cha Omicron. Kitendo cha watu kuingiliana kwa wingi huenda ikasababisha madhara hususa ni kwa wakaazi...
  12. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Kauli thabiti ya kufungia mwaka

  13. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Mbowe Ata mwaka jela hajamaliza CHADEMA inamaana hajui gharama za Democrasia. Ajifunze kuvumilia Kama Mugabe, Mandela au Mosood Abiora.

    Kupata Democrasia kamili lazma watu wapitie katika suluba na Motto. Zitoke damu au Jasho la damu mateso na vurugu za kila Aina. Mbowe avumilie mateso yote. Kama anafanya yote kwa wema Mungu atakuwa upande wake. Atampa tuzo kupitia mateso anayopata Kama lengo lake NI Democrasia ya kweli na sio...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mtoto aliyefariki mwaka 2017 adaiwa kufufuka

    Leonard Morisha (11), mkazi wa Kijiji cha Ngemo, Mbogwe mkoani Geita, aliyefariki dunia na kuzikwa Juni 27, 2017, anadaiwa kufufuka baada ya Oktoba 2020 kuonekana wilayani Kahama na wazazi wake wamempata Desemba 12, 2021 akiwa amekatwa mishipa ya ulimi na hawezi kuongea.
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nina wazo la kufanya hii 'project' kwa mwaka 2022

    Kauli mbiu ni kufanya uzalishaji vijijini, na kuleta mauzo mjini. Kwa yeyote atakayependa wazo langu, anaruhusiwa kulitekeleza; elimu haina mwisho. Nitaanza hivi:- Nitafungua kampuni yenye jina 'Equation x agricultural adventure' Nitatafuta binti wa kazi mpambanaji kweli kweli mwenye cheti cha...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwangu Mimi Mwanamke huyu 'aliyejiua' baada ya 'Kufumaniwa' Mubashara na Mumewe ndiyo Shujaa wangu wa Kufungia Mwaka 2021

    Marehemu Anna Shirima popote ulipo sasa hapo Kaburini ulikozikwa Mkoani Kilimanjaro GENTAMYCINE nakutunuku Tuzo ya Ushujaa Uliotukuka kwa Kitendo chako kizuri na cha Kimedani pia cha Kujiua baada tu Kufumaniwa na Mumeo ukiwa 'Unakazwa' na Hawara yako. Wala hukutaka Mambo mengi au kupotezeana...
  17. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Krismas na Mwaka mpya vinawadia: Misururi ya migari ya kifahari kwenda Kaskazini (Uchagani ) Toka Dar balaa.

    Nipo Korogwe naelekea Bagamoyo. Gari nilizopishana nazo ni hatari, . Nilipouliza jamaa mmoja akaniambia ni za Wananchi wanaenda makwao kusherehekea Huko Uchagani kuna nini siku za Krismas na mwisho wa Mwaka? Hoteli za njiani maeneo ya Korogwe hadi Mazinde zimefurika .
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 ni uchaguzi wa ndani wa CCM

    Je, watanzania tuna msimamo gani na mtazamo gani juu ya chama tawala? Tunatarajia nini kwa hali iliyopo kuhusu uhalali wa chama hiki kuendelea kuongoza taifa letu? Mwalimu Nyerere mwaka 1962 aliacha uongozi wa serikali kwa msaidizi wake (Kawawa), akajitoa serikalini na kubaki chamani tu ili...
  19. OLS

    JamiiForums Tanzania Ndani ya mwaka mmoja, mashirika ya umma yamekopa nje kwa ongezeko la 1024.2% zaidi

    Taarifa za Maendeleo ya Uchumi zimeonesha Taasisi za Umma zimeongeza kukopa nje ya nchi ambapo Oktoba 2020, Taasisi za Umma zilikuwa zinadaiwa Dola Milioni 51.7 (Tsh. Bilioni 119.1) na Oktoba 2021 limekuwa hadi Dola Milioni 509.5 (Tsh. Trilioni 1.174) Deni la Taifa limeongezeka kwa Tsh...
  20. President of China

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu tangu nchi yetu kupata Uhuru

    Wananchi wa Tanzania, wanategemea kilimo cha mvua. Kufikia mwezi huu 12/2021 maeneo mengi ya Tanzania hakuna mvua, jua ni kali sana. Tunaweza kuchukulia hali hii kwa namna ya kawaida. Lakini ukweli ni kwamba mwaka 2022 utakuwa mwaka mgumu sana katika nchi yetu. Ukame utakuwa mkubwa mno...
Back
Top Bottom