"Mwaka Moon" is a song by French rapper Kalash featuring Damso and Sfera Ebbasta released in October 2017. The song reached number one on the French Singles Chart.
Katika kufunga Mwaka 2021, Jamii Forums mnamo Desemba 30 ilidhamini kusanyiko la watoto takribani 600 wa dini mbalimbali waliokutana Magomeni jijini Dar na kula, kunywa na kucheza pamoja kwa furaha kuuaga mwaka 2021.
Kusanyiko hili liliwezekana kwa kubuniwa na kuratibiwa na Padre Christian...
Ujio wa TL utaleta kimbuga kikubwa mno kwa Samia hasa Tundu atakapoanza zile rabsha zake za maneno ya kukwaza lkn ya kweli.
Tundu ni mtu aliyenyooka na muwasilishaji hoja zake kwa ukali huku akijiamini kupitiliza na huwa hajali.
Samia ajiandae kuitwa majina asiyoyatarajia. Haitashangaza Tundu...
Naam
Wakuu nadhani baadhi yetu tukiwa sehemu mbali mbali za dunia au nchini tulijaribu namna moja kuvuka kutoka 21 kwenda 22.
Kila mtu akifanya kwa namna yake
Kama lengo la kichwa hapo juu ni tukio gani lilikunyoosha mpaka kufikia hatua ya kutolisahau au ni tukio gani ulikutana nalo lilikuinua...
Hakika ninawaambia, wanaccm mliopo madarakani hivi sasa hamko salama endapo msipoushuguhulikia mgawanyiko huu wa kitaifa.
Kuna nyakati tuliheshiana, tulibishana na kupinganga kwa hoja tu lkn tukaendelea kuwa wamoja kama taifa.
Hivi sasa tunapeana tuhuma na majina ya ajabu ajabu mfano: magaidi...
Hello people
Tumebakiwa na masaa kadhaa tuumalize mwaka 2021,ni muhimu kumshukuru Mungu kwa kila jambo,yapo mengi magumu tumepitia lakini kwa kila jambo ni muhimu kumshukuru Mungu hadi hapa tulipofikia
Kwa niaba ya kila atakayesoma hapa naomba mambo haya
Mwenyezi Mungu akatujaalie afya...
Watu wenye tabia za ki-antsocial huwa na tabia zifuatazo.
1.Hawajali haki za wengine.
2. Huwa ni wenye hila(Manipulative). Wanafanyafanya ujanja ili wakutake advantage.
3. Waongo. Ni watu waongo waongo ili wafanikishe mambo yao au kucover uovu wao. Uingo wa kujirudiarudia
4. Hawajutii makosa...
Fimbo ya mbali haiwezi kuua nyoka.
Lissu kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa na nafasi ya kuja Tanzania ni kuwasaliti Watanzania. Maana hata tangu Mbowe akamatwe Lissu yupo huko mamton na hata hajajiyokeza kuja kumsaidia mahakamani.
Sasa hili la kutuma salamu za mwaka mpya huku akiwa...
Natabiri mwaka 2022 utakuwa mwaka mzuri sana, mwaka wa mavuno kwa wengi.
Natabiri utakuwa ni mwaka wa kurejesha vyote vilivyoliwa kwa miaka mingi na tunutu, madumadu, nzige na maparare .
Utakuwa mwaka wa kufanya mambo makubwa, wengi ambao hawajawahi kumiliki magari wataenda kuyamiliki. Na wale...
Mtandao wa intanet ni wa hivi punde na katika mambo mengi ni njia ya mawasiliano yenye nguvu zaidi kuliko watangulizi wake, yaani, telegrafu, simu, redio na televisheni.
Kwa watu wengi vyombo hivi vya habari vimeondoa hatua kwa hatua urefu wa muda na umbali wa kijiografia kama vizuizi vya...
Mwaka 2021, ambao tunaelekea kuimba ule wimbo maarufu wa “Auld Lang Syne, ambao umetumia maneno ya Kiingereza cha Kiskochi, ukimaanisha ‘For The Sake of Old Days,’ ikiwa ni ishara ya kuuaga mwaka na kuukaribisha mwaka mwingine (au kusheherekea kukamilisha/kumaliza jambo), nimefanikiwa kufanya...
Mimi ni muumini wa Uhuru wa kweli na kujiamini kama mtanzania !
Kauli mbiu yangu wakati naingia JF ni moja tu inatambulika kama "KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA"
Kaulimbiu hii inamaanisha kuwa tunaweza kufanya makubwa iwapo tutajiamini au tutachagua kujiamini.
sisi ni watu wenye akili,uwezo na...
Chrismass ya mwaka huu haikuwa na mkono wa serikali katika maeneo matatu naomba niyataje
1. Hakukuwa na mkesha wa kitaifa wa chrismass
2. Serikali haikutoa mkono wa chrismass
3. Siku ya chrismass umoja wa makanisa ya kikiristo, Roma uandaa misa ya kitaifa ambapo mara nyingi katika Misa hiyo...
Huu mwaka haukuwa mzuri sana kwa taifa letu maana tumepoteza ndugu na viongozi wetu. Wengine baada ya kuondoka na kuaga dunia yameibuka mambo mengi.
Sasa kila mtanzania anayepinga ufisadi na kuenzi mazuri yaliokuwa yanafanywa na hayati JPM lazima atapachikwa jina la Sukuma gang.
Kila mtanzania...
Hakuna tamasha Wala mkesha mkuu wa Christmas mwaka huu. Je, umezuiwa au utengamano wa waandaji umetingishwa?
Kesho ni Chrissmas, Misa kuu Kitaifa itakuwa na kiongozi wa Kitaifa au ndo tutasali kimya kimya?
Kwanza nawatakia sikukuu njema wakristo na watanzania wote kwa ujumla .kuelekea kuadhimisha sherehe ye krismas hapo kesho,Kuna tofauti gani unayoiona Kati ya mwaka huu na Miaka mitano iliyopita kiuchumi nk.tupe mtazamo wako ulivyo hapo ulipo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.