mwabukusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwabukusi kujumuishwa kwenye jopo la Wanasheria kesi kampuni ya Tigo Mahakamani London

    Mwanaharakati na Rais wa TLS Boniface Mwabukusi anatajwa kuwepo kwenye timu ya Wanasheria kwenye kesi itakayofunguliwa London dhidi ya Kampuni ya Tigo. Soma Pia: Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka Tundu Lissu kuiburuza Tigo...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania Hongera Mwabukusi, John Mrema na John Heche kwa kutojihusisha na maandamano yasiyokuwa na msingi, na yenye nia ovu

    Nawapa kongole makada hawa wa Chadema kwa kutopenda siasa za vurugu na kutishia kumwaga damu. Sijawaona kabisa katika vurugu za juzi. Ni yule mzee mwenye tamaa na uroho wa madaraka, cha ajabu hakuwa na viongozi wa chama, alikuwa na familia yake, yule binti Nicole, kama chama kina uongozi, kwa...
  3. chiembe

    JamiiForums Tanzania TLS pamoja na Mwabukusi waziombe radhi Simba na Yanga hadharani kwa kuzitolea kauli za hovyo

    Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Boniphace Mwabukusi: CHADEMA njia waliyoitumia ni sahihi, hata Katibu Mkuu wa CCM anakubali kuna shida

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilikuwa sahihi kutumia njia ya maandamano kufikisha ujumbe pamoja na kushinikiza serikali pamoja na jeshi la polisi kutoa majibu na kuwajibika juu ya kupotea na...
  5. Gemini AI

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Nguvu iliyotumika na Polisi kuzuia Maandamano ingetumia kuwatafuta waliotekwa

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Wakili Boniface Mwabukusi, amesema kwa mujibu wa Sheria ya Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi halipaswi kuingilia michakato ya Kidemokrasia isipokuwa tu kwa agizo la Msajili wa Vyama vya Siasa
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu strikes again- Yatupilia mbali kesi ya watu 120 wanaopinga kuhamishwa kupisha hifadhi Mbeya- wakitetewa na Mwabukusi

    Mwabukusi apigwa na kitu kizito! Mwendo ule ule! kama wa Dyansobera! Mwenye kujua kimombo asome mwenyewe Kesi imetupiliwa mbali kwa vile eneo bishaniwe halikuwekwa bayana kuweza kulitambua ukubwa wake MY POINT IS: Bila kificho, High court ni kituko , takataka tupu! NI SERVANT OF THE EXECUTIVE...
  7. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Bunge halitakiwi kukwepa hoja ya utekaji

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi amesema Bunge lina wajibu wa kuruhusu mjadala wa suala la utekaji kujadiliwa ndani ya Bunge bila kujali kuna mambo ya kiufundi ambayo yanakwamisha hilo, amezungumza hayo wakati anahojiwa na Kituo cha Crown FM.
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Mwabukusi amemteua swahiba wa Lissu, na hasimu wa serikali, Dk. Nshala afuatilie suala la Ngorongoro?

    Najua serikali inajua kwamba TLS wanaenda kufanya kazi ya uchochezi Ngorongoro, hivyo haitawaruhusu. Nshala ni mwanachadema kindakindaki Dk. Nshala na Lissu walikuwa viongozi wa LEAT-Lawyers Environmental Action Team. Baadae walikula hela za taasisi kisha wakaiua. Taasisi hii ilitelekeza mali...
  9. Heparin

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Aliyesababisha Binti wa Yombo Kubakwa na Kulawitiwa naye Afikishwe Mahakamani

    https://youtu.be/m9WGFYVzCvU Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano wa Rais wa TLS, Boniface Mwabukusi kwenye mkutano wake na waandishi wa habari, leo saa 4:00 asubuhi. Mwabukusi anazunguzia suala la wamasai kuondolewa kwenye eneo lao kwa nguvu, na serikali imeondoa huduma zote za msingi kwao...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Waziri hana Mamlaka ya kufuta Kijiji na asili ya Watu wa Ngorongoro

    Rais wa Tanganyika Law Society (TLS) Boniface Mwabukusi, amesema Waziri hana Mamlaka ya Kufuta Vijiji vya Ngorongoro Ameyasema hayo leo 20/08/2024 Mkoani Dar Es Salaam alipokuwa anaongea na Waandishi wa habari. Amesema kama TLS wanaaangalia cha kufanya. "Wale wananchi wa Ngorongoro hawapaswi...
  11. Blood of Jesus

    JamiiForums Tanzania Mlioko karibu na wakili Mwabukusi asiogope "kutikisa m'buyu"

    Kutokana na IQ yake kubwa, ujasiri, uzalendo, misimamo, elimu yake, asiogope kugombania nafasi hiyo kubwa kabisa nchini. anafaa. Wananchi tunamhitaji mtu wa hivyo. naomba kuwasilisha
  12. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Wakili Mwabukusi azawadiwa kuku.

  13. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania TLS ya Mwabukusi: Anza na Haya: Majaji Wanaoharibu Kesi na Ucheleweshaji wa Kusikiliza

    1.0 Kuanzia Mahakama za chini hadi Mahakama Kuu suala la Hakimu au Jaji kuharibu kesi kwa manufaa yake ni la kawaida tu. HAWAJALI. Wanajificha kwenye mstari wa mwisho wa hukumu zao unaosema "mlalamikaji/ mlalamikiwa ana haki ya kukata rufaa kwenye Mahakama ya juu" Mfumo wa kutengeneza rufaa...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.

    Wanabodi, Wakati tukisubiri salaam za pongezi za mihimili kwa rais mpya wa TLS, sio vibaya tujikumbushe kauli hii ya Rais Samia atafanya kazi na TLS ya aina agani! https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=LtHTK8wfeAXMAtun Hizi ni kama salaam kwa rais mpya wa TLS, Wakili Boniphase Mwabukusi . Swali nI is...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Hakuna Ubishi Mwabukusi ni Mwanaharakati, Je TLS Yake Iwe ya Kiharakati, Au Asilete Harakati Zake kwenye TLS Yetu, Ibaki Kuwa Profesheno Body?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu gazeti la Nipashe la leo Hii ni makala yangu ya pongezi kwa Wakili Mwabukusi kuchaguliwa kuwa rais wa TLS, na kumpa ushauri wa bure, aibadili TLS kutoka kule juu ilipo, aishushe chini ground zero Ihudumie wananchi wa kawaida wanaohitaji huduma za kisheria, badala...
  16. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania John Pambalu na Wana-CHADEMA acheni kuwakebei walimu kuwa hawajitambui kisa Mwabukusi nafuu yao kuliko nyie

    CHADEMA wapo kuvunja vunja hoja, umoja na Malengo ya upinzani. Wao ni kuponda, kukebei, na kutukana kila anayeshindwa kufanya jambo kama wao wanavyotaka au aliyekosea. 1. CHADEMA wao Wote walifurushwa bungeni kwa nguvu ya dola je nani aliwabeza hahaha. 2. Wabunge wenu Akina mdee mpaka leo...
  17. Unavoidable Servant

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri kuwajuwa maadui wa Taifa, thread hii itumike kuwatambuwa maadui waliokata jina la Mwabukusi TLS

    JF ni maktaba ya Taifa, ni vizuri tukawajuwa maadui wa Taifa letu waliopo TLS walioshiriki kukata jina la Mwabukusi kugombea Urais wa TLS kabla Mwabukusi kutumia mahakama kupata haki yake ili watambulike kama ni Enemy of State. Watajwe hapa kamati nzima kwa majina ili waone aibu yao na...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Kutojua Makonda yuko wapi na Hali gani, Hatuna Vyombo vya habari vya Kiuchunguzi

    Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda. Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi. Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania...
  19. Empty container for sale

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Mwabukusi umekuwa mkubwa na kuzifunika habari za Simba na Yanga

    Huyu jamaa anapendwa Sana na namuona mbali Sana katika nchi ya Tanzania. Kafanikiwa kuondoa habari za simba na yanga nchini yeye ndo amekuwa habari kuu Namuona Bungeni Namuona Ikulu Namuona akiongoza mageuzi. Mwabukusi Ana diversity intelligence - Ana akili kubwa Sana ya kuvishinda vikwazo...
  20. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Boniface Kajunjumile Asinyile Mwabukusi Rais Mpya wa Tanganyika

    Boniface Kajunjumile Asinyile Mwabukusi akianzisha chama chake nje ya vyama vilivyopo vinavyotumia "surname" kwa ajili ya kusurvive akitanguliza maslahi ya Tanganyika basi asubuhi sana Watanganyika watampigia kura ya urais ili kulinda maslahi na rasilimali za Tanganyika,rejea mapambano ya Wakili...
Back
Top Bottom