Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,406
- 30,401
Gazeti la leo Daily News pg2, kuna picha inaelezea kinaga ubaga hali ya mijadala Bungeni-HALINA MVUTO!
Wageni nimehesabu katika picha, wengine wamelala, mmoja kaja na shuka kabisa toka nyumbani. Mwingine yuko busy na simu.
Wawili wanasogoa.
Heko Bunge letu takatifu.