Kipindi cha mvua barabara nyingi zinazounganisha Vijiji vilivyopo Mkoani Ruvuma hazipitiki kirahisi na zingine hazipitiki kabisa. hali inayopelekea wanakijiji wengi kusafirisha mazao yao kwa shida toka eneo moja kwenda eneo lingine.
Inayoonekana katika picha ni barabara iliyopo katika Kata ya...
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema pamoja na mvua zinazoendelea kunyesha lakini bado hazijasaidia kutoa kiwango cha juu cha maji kinachoweza kupata umeme wa uhakika.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Msemaji wa Shirika hilo Elihuruma Ngowi, wamekagua mabwawa mbalimbali ya...
Mvua kubwa ilisababisha uharibifu kwenye Big Apple mwishoni mwa juma, mvua iliyokaribia mfululizo ilipofurika mitaa ya jiji na kusababisha ukuta wa jengo la makazi kuporomoka huko Bronx.
Madereva walinaswa katikati ya maji yaliyokuwa yakiongezeka kwa kasi kwenye barabara kote jijini na wakaazi...
Habari wadau,
Baada ya kuwa kwenye ajira kwa miaka 10 na kuona msoto uko pale pale,nimeamua kuingia kwenye kilimo kama njia ya kuongeza kipato cha ziada.
Nimeanza kwa kukodi shamba Ruvu kwani mimi niko Dar na niko kamili kwa kuanza na heka 2.
GHARAMA
Nimekodi shamba laki 3(@150,000),nikafyeka...
Hapa ni soko kubwa la Kilombero lililopo jijini Arusha.
Miaka nenda rudi wafanyabiashara sokoni hapa hulipia ushuru kila siku, lakini ushuru huo hauwasaidii wafanyabiashara hao kwa kuwekewa miundombinu sahihi ya Soko wala mfumo mzuri wa Maji safi na taka.
Bali Mfanyabiashara ambae ni...
Mtuhumiwa wa ujangili wa Twiga ambaye amekuwa akisakwa kwa muda mrefu na askari wa Wanyamapori katika hifadhi ya Jamii ya Wanyamapori Burunge, wilayani Babati mkoa Manyara Amos Benard Meja amekamatwa Jana usiku.
Mtuhumiwa huyo amekamatwa kutokana na mtego ulioandaliwa na askari wa Mamlaka ya...
Mwanzo nilidhani Maji kutokutoka yawezekana ilikuwa ni upungufu wa maji kama tulivyokuwa tukiambiwa na Viongozi tuliowapa dhamana kumbe haikuwa hivyo zilikuwa ni porojo za wendawazimu.
Kila mahali kwa sasa mvua zinanyesha na mto Ruvu umejaa maji tele lakini jambo la kuiskitisha ni kwamba maji...
Kituo kikubwa cha daladala kilichopo Kilombero karibu kabisa na Soko la Kilombero jijini hapa kimegeuka kuwa kero kubwa hasa kipindi hiki cha mvua kutokana na kukosekana kwa sehemu ya kujikinga mvua kwa abiria wanaotumia kituo hicho.
Muundo wa kituo hiki umejengwa kama uwanja wa mpira na sio...
Hapa ndipo nathibitisha kuwa mwanamke ni pambo la dunia, moja kati ya mapambo manne yaliyoanishwa na mtoto wa Nasib kisanaa.
Ukikutana na mwanaume tall and dark akiwa ndani ya jacket ambalo ni water proof akikatiza chocho hadi chocho kwenye mvua kali ujue ni mimi. Nafanya tathmini ya vazi hili...
Mvua inayesha sana leo na jana Tanga, Zimekuja very late nina wasiwasi zitakatika may be end of May na mazao kukauka
TMA, Je, mkulima anaweza kupanda.
Ushauri please
Mvua zinazoendelea kunyesha Nchini zimesababisha uharibifu katika Barabara ya Chalinze – Segera hasa eneo la Kimange Mkoani Pwani.
Awali baada ya kudaiwa njia hiyo imefungwa kutokana na mvua iliyonyesha Aprili 15, 2023, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo alisema “Barabara ilifungwa...
Mara kwa mara nimekuwa mtumiaji wa Soko la Buguruni lililopo Wilaya ya Ilala Mkoa wa Dar es Salaam, lakini kiukweli, hali sio nzuri hasa kipindi cha mvua.
Kwanza wafanyabiashara wanapanga bidhaa zao mpaka Kituo cha Daladala hali inayowafanya wapita njia na abiria kupata wakati mgumu.
Pia...
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limesema uharibifu huo umetokea katika Daraja la Marera lililopo Kilometa 2.3 kutoka lango kuu la Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara,
TANAPA imeeleza kuwa jitihada zinaendelea kurekebisha daraja hilo na miundombinu mingine.
Hali ilivyo katika baadhi ya maeneo ya Jiji la Nairobi Nchini Kenya ambayo yameathiriwa na mvua kubwa iliyonyesha leo Machi 23, 2023, baadhi ya maeneo hayo ni Stendi ya Mabasi ya Ngara, barabara itokayo Uwanja wa Ndege (JKIA) mpaka Westlands
MUNGU ni fundi, MUNGU haziakiwi, mmeshindwa kuazimisha Miaka miwili ya kifo cha Mwamba publically .
Mmekuja na sherehe ya kupongezana sijui Kwa KAZI Ipi. Mlidhani media zingefanya coverage kufifisha matukio ya tare 17..
Kinyume chake MUNGU kashusha gharika na kuwaweka mlango wazi mtaani umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.