mvua

  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Picha/Video: Madhara ya mvua iliyonyesha Dar es Salaam leo Machi 19

    Kwa wakazi wa Dar, leo mvua imetandika kweli kweli na baadhi ya maeneo kupata athari kubwa na ndogo. Mada hii tutupie picha au video ili mamlaka waweze kuona sehemu zilizoathirika waweze kuchukua hadhari mara moja. Kumbukeni Rais Samia ashasema huwa anapita pita JF kusoma maoni ya mwananchi...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tokea Rais Samia aingie Madarakani Dar haijawa na hii Mvua Kubwa, ila Leo kaadhimisha Miaka yake Miwili tu it is raining cats and dogs

    Kuna nini labda Kimejificha hapa? Je, hii Mvua inamuadhimisha Hayati Dk. Magufuli kwa Kifo chake Miaka Miwili iliyopita au ni Mvua ya Kuonyesha kuwa Mama ( Rais Samia ) ana Baraka na sasa Tozo, Mikodi, na hali ngumu ya Maisha iliyoko ndiyo inaenda kuwa Historia? GENTAMYCINE nimekaa pale kusoma...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa hii Mvua Kubwa ya Dar es Salaam leo nikiambiwa hakuna Madhara Makubwa nitakataa

    Tayari kuna Mto Mmoja mkubwa na maarufu uko eneo fulani unaanza Kufurika na najua hadi Saa 10 Alasiri nitaitwa kwenda kusaidia Uokozi. Na kuna Demu Mmoja ameninyima Nyama Tamu yake Chumba chake kipo Jirani na Kingo za huo Mto na kuna Uwezekano Chumba kikaondoka hivyo ngoja nijisogeze karibu...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Hiki ni ni kiumbe gani kwenye maji ya mvua?

    Mvua imenyesha hapa nilipo leo asubuhi,maji yake yamekuja na viumbe vyenye mikia Kama vinavyoonekana ndani ya chombo!Hivyo ninini?Vinatoka wapi?Maji ya mvua huwekewa dawa Gani?
  5. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Kadri mvua zinavyonyesha ndio mgao wa umeme unazidi kupamba moto?

    Migao ya sasa ni kwamba maji yanazidi kupunguza kupungia kwenye Mabwawa au inakuaje? Inashangaza sana kwamba Migao ya umeme ndio kwanza inapamba moto? Zambia walikuwa na Mgao wa umeme ila ulisha isha mara baada ya mvua kuabza kuenyesha kule kwao cha ajabu Tanzania ndio kwanza mgao unapamba moto...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Jua kali, hakuna mvua, kodi kubwa

    Hali ni mbaya sana mawilayani huku wafanyabiashara wengi waliokuwa wanawika wamefilisika Na kufunga biashara zao kwa sababu ya TRA. Mnapaswa muwalee wafanyabiashara ili wapate faida just imagine Mfanyabiashara anapigwa penalt ya kodi millioni 200 lazima afunge biashara akimbie. Zamani msimu...
  7. Trainee

    JamiiForums Tanzania Tusichoke kuomba mvua na kuacha maasi

    Mvua imekuwa habari kuu maeneo mengi na watu wengi wanadhani jukumu la kuiombea inyeshe ni la waumini wa makanisani na misikitini. Wengine hudhani jukumu la kuomba mvua ni la wazee wa mila kumbe sivyo. Jukumu la kuomba mvua inyeshe ni la binadamu wote. Lakini maombi yoyote yale yanaambatana na...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TMA yatabiri mvua kubwa kunyesha nchini Machi 14 na 15, 2023

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imefanya utabiri wa hali ya hewa wa siku 5 huku ikitoa angalizo kwa siku mbili za Machi 14 na 15, 2023 ambazo zinatarajiwa kuwa na mvua kubwa. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Machi 13, 2023, angalizo la mvua kubwa limetolewa katika maeneo machache...
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alivyoalika wazee wa kimila Ikulu kupiga dua(kutambika) ili mvua zinyeshe

    Nikiri tu kuwa mimi nimezaliwa kwenye jamii zenye zinazodumisha mila zetu za asili(matambiko nisehemu ya maisha yetu). Bibi yangu na babu yangu wapo vizuri. Waliwahi kuniambia kuwa hakuna kazi nyepesi kama wa kuzuia au kuleta mvua. Wazee wetu hawa wakiwa field huwa wanajaribiwa kwa hicho...
  10. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Uzinzi limekuwa tatizo kubwa kwa nchi yetu, laana hii itatuingiza kwenye majanga makubwa ndio maana mvua hazinyeshi

    Isaya 10:27 maandiko matakatifu yanasema mungu ataondoa mzigo na nira mabegani mwetu lakini nimetafakari sana nira na mzigo ambao nchi yetu imeubeba nimegundua ni uzinzi. Nchi hii watu wanazini kupitiliza na Sasa ushoga umepamba moto !watu wanaumizana ndoa zinavunjika kwa sababu ya uzinzi...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila video ya Ubongo Kids YouTube ina chata ya Upinde wa Mvua au rangi za Upinde wa Mvua?

    Hili ni jambo jipya kwa sasa kwa videos za Ubongo Kids. Hapo awali hazikuwa na hizi rangi za upinde wa mvua. Lakini hivi karibuni naona videos zao zote YouTube ambazo zinaenda kwa jina la AkiliAkili zina rangi za upinde wa mvua! Ubongo Kids wametokea kuaminiwa kwa videos zao zinazoburudisha na...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti GHACOF63: Uhaba wa Mvua utaongeza Watu wanaokabiliwa na Njaa

    JF SUMMARY Mamlaka ya Maendeleo baina ya Serikali za Afrika Mashariki, (IGAD) imesema eneo kubwa la Pembe ya Afrika linatarajiwa kukumbwa Mzozo wa Kiuchumi zaidi kutokana na Ukame utakaoendelea kwa msimu wa 6 mfululizo. Nchi za Ethiopia, Kenya, na Somalia zinatarajiwa kupata mvua chini ya...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TMA yatabiri mvua za wastani lakini yatoa angalizo mvua kubwa ya vipindi vifupi katika msimu wa Machi-Mei 2023

    Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dk. Ladislaus Chang’a ametangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za masika zinazoanza Machi mpaka Mei, 2023 ambazo zinatarajiwa kuwa za wastani huku baadhi ya mikoa kuwa wastani na juu ya wastani. MWENENDO WA MVUA ZA MSIMU (NOVEMBA, 2022...
  14. Superbug

    JamiiForums Tanzania Hivi wale WATU wa upinde wa mvua almaarufu rainbow wanaweza kupigana vita jeshini?

    Wanajamiiforum wenzangu naomba kuuliza hivi ile jamii maarufu sikuhizi kwenye mitandao LGBT wanaotumia rangi za upinde wa mvua wanaweza kupigana vita jeshini? Mfano ule mtiti wa idiamini tukiwa na watu kama hawa warfront tunauhakika wa kuibuka washindi.?
  15. E

    JamiiForums Tanzania Vuna maji ya mvua

    Habari Jku. Kwa wale waliofanikiwa kujenga na watakaojenga, baada ya nyumba kukamilika, huwa kunawekwa bomba za kukinga maji ya mvua, zinaitwa gutters. Kipindi mvua inaponyesha hizi gutters ndio zinakinga maji na kuyaelekeza mahara pa kwenda. Asilimia ya nyumba nyingi utashuhudia maji haya...
  16. Corner of cool

    JamiiForums Tanzania Valentine is coming, waspoil wapendwa wako kwa saa za kijanja

    Hello Dears, ▫️New Stock ya Saa za Mike ▫️Hizi za mikanda ya ngozi ni Unisex mwanaume au mwanamke anaweza vaaa, hizi za chuma ziko in couple kubwa ya kiume ndogo ya kike, tho its Oky Mwanamke akivaa kubwa kulingana na choice yake. ▫️Material ni Uhakika Kwa hizo zote mikanda ni Genuine Leather...
  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania Mvua imetuvua nguo kama Taifa. Aibu hii

    Mvua imenyesha na hakika ardhi imepokea maji hadi imetota. Wakazi wa mijini tumeshuhudia adha kubwa inayotokana na ubovu wa miundombinu ya kutiririsha maji. MTWARA Nyumba zaidi ya 17 zimezingirwa na maji (kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV) na wananchi wanalalamikia ufunyu wa mitaro...
  18. USSR

    JamiiForums Tanzania Picha ya mafuriko chuo cha CBE, aliyejenga chuo awajibishwe

    Mvua ya masaa tu chuo kimekuwa mto, aliyejenga hapa atafutwe awajibishwe. Mambo ya hovyo sana haya, hakukuwa na upembuzi yakinifu. Leo watu wamehailisha mitihani Dar es Salaam Campus kisa chuo kujaa maji. USSR
  19. BigTall

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya mvua na foleni za barabarani Dar es Salaam?

    Moja ya jambo ambalo inawezekana changamoto ni miundombinu au labda ni vyombo vyetu vya usafiri, bado huwa nashindwa kuelewa vizuri, yaani ikitokea mvua imenyesha kidogo tu kwenye Jiji la Dar es Salaam hasa maeneo ya town, lazima foleni barabarani ziibuke kwa kasi. Najiuliza, hivi tatizo ni...
  20. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kwanini mvua imnyeshee Waziri Jafo huku mgeni wake akifunikwa na mwamvuli? Ukoloni mamboleo

    Hapa ni Airport wakati waziri Jafo akimpokea mgeni kutoka falme za kiarabu. Waziri kulowa na mvua ruksa ila mgeni hapana? Hii hapana kwangu mimi.
Back
Top Bottom