Mvua imewaumbua wanaochafua legacy ya Hayati Magufuli

The Burning Spear

JF-Expert Member
Dec 23, 2011
3,440
8,284
MUNGU ni fundi, MUNGU haziakiwi, mmeshindwa kuazimisha Miaka miwili ya kifo cha Mwamba publically .

Mmekuja na sherehe ya kupongezana sijui Kwa KAZI Ipi. Mlidhani media zingefanya coverage kufifisha matukio ya tare 17..

Kinyume chake MUNGU kashusha gharika na kuwaweka mlango wazi mtaani umeme Hakuna na Mafuriko Kila Kona.

Media zimegeuza camera SASA hiyo kitchen party yenu haina maana tena mola Katia mchanga.
 
Hata unaowatuhumu nao wanakiri kuwa Mungu fundi. Wote mnasema kitu kimoja mjomba. Mungu fundi.
 
Mbona party ya kumpongeza mama imeenda vizuri tu japo wanadai mahudhurio hayakuridhisha.....likely sababu ya mvua

IMG-20230319-WA0032.jpg
 
Pumbavu, mashetani bana, so unasherehekea mafuriko kwa makazi ya watanzania!! Basi kama Magufuli alikuwa anasheherekea kuangamia kwa watanzania basi ana haki ya kusema kwa ubaya!!
 
MUNGU ni fundi, MUNGU haziakiwi, mmeshindwa kuazimisha Miaka miwili ya kifo cha Mwamba publically .

Mmekuja na sherehe ya kupongezana sijui Kwa KAZI Ipi. Mlidhani media zingefanya coverage kufifisha matukio ya tare 17..

Kinyume chake MUNGU kashusha gharika na kuwaweka mlango wazi mtaani umeme Hakuna na Mafuriko Kila Kona.

Media zimegeuza camera SASA hiyo kitchen party yenu haina maana tena mola Katia mchanga.
Sukuma Gang nyie si ndio mlimtukana hadi Mungu baada ya kufanya ufundi wake 17/03/21?
 
😂😂😂🤝
 
Nenda chato ukaomboleze.
 
Wana kazi Sana kutimiza adhma Yao...
 
Watetezi ndio mnaizika hiyo mnayoiita legacy...wote mna akili za kishamba na hamjui kujenga hoja.
Nyie mnaweza kuchunga ng'ombe na kubaka mbuzi tu maporini.
toa. malalamiko yako tukuumbue
 
Sukuma Gang nyie si ndio mlimtukana hadi Mungu baada ya kufanya ufundi wake 17/03/21?
ondoa lugha za kikabila , kama unalipwa kutupeleka kwenye migawanyiko bas USHINDWE KWANN USISEME JPM FANS KWANN UWEKE KABILA , MTU ASIYE NA HOJA HUKIMBILIA UKABILA SIO WASUKUMA WOTE WANAMPENDA JPM kizur 2015 nlikuepo mwanza najua the situation , hata Rwanda walianza na lugha kama hz wakihis utan ila kipo kizaz kinazibeba kichuki zaid
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom