muziki

  1. Daby

    JamiiForums Tanzania Me too ya Harmonize na Abby Chams: Moja ya nyimbo kali kuwahi kutengenezwa kwenye historia ya Muziki wa Tanzania.

    https://youtu.be/qCOsfkUKMfI?si=bMgpLjfzFdFBAqSx
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Wanaosikiliza Muziki na kutazama Video kwenye Usafiri wa Umma bila 'Headphones' kupigwa faini ya takriban Tsh. 3,589,596

    Chama cha Liberal Democrats kimependekeza mpango wa kutoza faini ya hadi pauni 1,000 kwa watu wanaocheza muziki au video kwa sauti kubwa katika usafiri wa umma nchini Uingereza. Lengo ni kukabiliana na tabia zisizo za kiungwana na kulinda haki ya wengi wanaotamani safari tulivu. Serikali imesema...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania "Kosa la marehemu dadaaaa, akuvaa.🎶" Nyimbo kama hizi zilihamasisha miaka ya 2000. Sasa hivi video tunazoziona azina maadili. Tuchukueni hatua

    Kuna jamaa alinitania kwamba baada ya ukimwi kugundua watu wamemsahau akageuka kuwa UTI sugu 🤣 Nakumbuka huu wimbo kila siku chaneli ya ITV mostly asubuhi ndio ulikuwa unapigwa na yale mashairi ya wala jamaa yalikuwa yanaogopesha sana kuhusu miwaya. Ila sasa vijana wamegeuka kuwa wacheza...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtoko wa Pasaka: Chama cha muziki wa injili Tanzania, idara ya wanawake badala ya kumsifu Mungu wanaimba “Mama Samia Kazi iendelee”

    Usiku wa mtoko wa pasaka matukio mengi yamefanyika kichawa sana :4WeirdJam: tulitegemea iwe sehemu ya kuusifu utukufu wa Mungu kwa kumtoa mwanaye wa pekee aliyetukomba kwa msalaba dhidi ya madhambi yetu lakini unasikia kwaya inamsifu Rais Samia na kuimba apewe mitano tena, hovyoo:AAAA::AAAA:
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Muziki Patience Namadingo amuuliza maswali magumu na kutoa hoja nzito Rais wake wa Malawi, Chakwera

    Patience Namadingo’s bold address to President Chakwera: A wake-up call for Malawi In the video, Namadingo expresses his excitement about attending the meeting, describing how overjoyed he was upon receiving the invitation to engage in a conversation with President Lazarus Chakwera. Addressing...
  6. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Steve Mweusi aache masihara kwenye Muziki, wimbo wake wa aaah ni nzuri sana lakini amezidisha mzaha umekuwa kama umeimbwa na zoba

    Steve Mweusi sijui ana tatizo gani, kuna comedy ambayo waigizaji wake wanafanya masihara na kila mmoja anajua hilo Lakini Muziki sio aina ya sanaa inayotaka mzaha. Huyu kijana aliimba wimbo wake wa aaah lakini akafanya masihara kana kwamba Muziki ni Comedy, matokeo yake wimbo umekuwa kama...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania King of Condolences (Peter Msechu)

    Kwa hakika hakuna msanii ambaye amepata kuwa makini kwenye kazi yake kuliko Peter Msechu. Big up sana Kaka, umeshatoa wimbo wa pole kwa Marehemu Mhandisi Gissima. Umetisha sana, kwako wewe unasubiria msiba tu ndo tupate kusikia sauti yako ya maombolezo Tanzania. Kwenye maafa ya Hanang...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kumbe gharama ya kurusha matangazo ya EPL ni muziki mnene hivi

    Nchini Uingereza, mkataba wa hivi majuzi zaidi wa haki za TV za ndani, unaoanzia msimu wa 2025-26 na kuendelea kwa miaka minne, una thamani ya £6.7 bilioni. Hii inafikia takribani pauni bilioni 1.675 kwa mwaka. Ulimwenguni, mfano mkataba wa NBC nchini Marekani wa 2022-2028 unaripotiwa kuwa na...
  9. Braza Kede

    JamiiForums Tanzania "Wakati wako" myuziki ulihifadhiwa kwenye device zipi?

    Je "wakati wako" myuziki ulihifadhiwa kwa device ipi?
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona hawa 'Mabodigadi' wengi wa Wasanii wa Muziki Tanzania ukiwatizama kwa Jicho Kali la 'Ndege Tai' wanaonekana ni 'Pancha' siku nyingi?

    Kwa mfano nikimuangalia huyu wa Ali Kiba hasa alipokuwa Samia Cup Mikocheni anaonekana kabisa ni Pancha zamani.
  11. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Vipaji 20 bora vya muda wote kwenye muziki wa Tanzania

    Hii ni kwa aina zote za muziki. Bila kupoteza muda ni kama ifuatavyo; 1. Dr Remmy Ongala 2. Marijani Rajabu 3. John Komba 4. Baraka Mwinshehe 5. Banzastone 6. Saida Karoli 7. Papii Kocha 8. Profesa Jay 9. Shilole (Shishi baby) 10. Rose Mhando 11. Lady JayDee 12. Nikki wa II 13. Joseph Mbilinyi...
  12. Binti wa zamani

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani umekua nazo na ukizisikia zinakukumbusha utoto au ujana wako?

    Feeling nostalgic 🥺 Wazazi walipenda mziki, nimekua nikisikiliza sana music toka utotoni, memories ni nyingi. Franco / Le TP OK Jazz - Mario https://youtu.be/7zZyGkGN7Sw?si=_6WGbT7EumRT0wX1 Kaoma - Lambada https://youtu.be/iyLdoQGBchQ?si=97RUW6SNjSP8kUec Kanda Bongo Man Monie...
  13. Farolito

    JamiiForums Tanzania Napinga wazo la Muziki wa Singeli kusambazwa duniani

    Habari, Wiki kadhaa zilizopita alisikika Waziri wa Utamaduni na michezo Profesa Kabudi akisema kwamba serikali kupitia wizara yake ina mpango wa kuupeleka muziki wa singeli Kimataifa. Mimi binafsi napinga na ninakataa wazo hili kwa sababu zifuatazo; 1.Ni muziki unaotumia lugha chafu na unatoa...
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kongole kwa huyu mwanadada alieimba wimbo wa watu feki. Ana aina fulani hivi ya style yake ya kipekee na pia muziki wake ni very touching

    Tatizo ni kuwa wabongo tutamtupilia mbali kwa maana haimbi nyimbo zile "paka yangu imeloa, sijui kugonoka, gonokaa" She is a very a talented girl kiukweli. Sauti yake, idea yake ya muziki, na zaidi melody yake https://youtu.be/LAzyvbTyN94?si=UL7j6a8UxkGAquwu
  15. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Nafuu tusiwe na utambulisho kuliko singeli kuwa utambulisho wa muziki wa Tanzania

    Waziri amekengeuka. Wametumia kigezo gani kuifanya singeli ndiyo alama ya Taifa? Muziki wenyewe umejaa matusi nafuu ingekuwa taarab kwa kuwa yenyewe ina mfumbo. Singeli huwezi kusikiliza na watu unaowaheshimu kama wazazi au watoto, abadan. Pili ukikuta muziki wenyewe unavyochezwa, ni mtindo...
  16. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Tumalize ubishi wa miamba hii ya muziki nchini kati ya Chidumule, Bitchuka na hayati TX Moshi, nani alikuwa mtunzi na muimbaji mzuri?

    Swali langu ni hilo wakuu, japo kwa upande wangu nilimkubali na nitaendelea kumkubali sana mzee Hassan Rehani Bitchuka. Wewe je unakubaliana na huyo huyo wa kwangu? Au Cosmos Chidumule? Au hayati Tx Moshi?
  17. Forgotten

    JamiiForums Tanzania Wasanii wetu igeni Wanaija basi!

    Uzi mfupi tu kuhusu soko la sanaa Tanzania. Wasanii wetu wa muziki ni muda wa kutoka usingizini sasa na kufanya kazi zinazoenda Duniani kama Wanaija. Nimeandika huu uzi baada ya kuona kazi mpya ya Asake - WHY LOVE hii imefuatana na kazi mpya ya Diamond Platnumz - Moyo. Ukisikiliza hizo kazi...
  18. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Tumeukumbatia muziki wa Afrika Kusini ila style hii tunaikwepa

    Muziki wa Afrika Kusini uko "influenced" sana na historia zao za mapambano dhidi ya ubaguzi. Style zao za uimbaji na uchezaji zinatoka moja kwa moja katika viwanja vya mapambano ya kudai usawa na kupinga ubaguzi wa rangi. Style yao mpya ya muziki wa Amapiano imemix mitindo hiyo ya zamani ya...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Mbowe, Lissu wasalimiana kibabe BAWACHA, huku wakicheza kwa bashasha wimbo wa "Tuvushe Mbowe Tuvusheee"

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu wakisalimiana katika mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) unaofanyika leo Alhamisi Januari 16, 2025 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Wote wawili wanamchuano mkali...
  20. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Ulisikia muziki huu kwa mara ya kwanza Ukiwa wapi?

    Kool & the Gang : "Let's Go Dancin' (Ooh La La La)" Mimi niusikia kwa Mara ya kwanza Morogoro mwaka 1982/83 kwenye Bilibi Disco ambayo nadhani ilikuwa pia inamilikwa na Joseph Kusaga. Ulikuwa ikirudiwa rudiwa sana kwa vile wat waliupenda sana https://www.youtube.com/watch?v=JWuoGZAz94c
Back
Top Bottom