Hii ndio nayosema kua tuna shida kubwa sana sana,,,ndio mana hata cartels wakitubagaza wanajua aah Hawa wanafatilia wasanii Instagram na TikTok wamelala hawa...
kuna manufaa yoyote unapata mtanzania haswa kijana kumfollow msanii wa muziki ? Yani Kuna pesa unawekewa kwenye akaunti yako ama ni...
Tusisahau kuishi wakuu life is good LG nashukuru mungu leo kanibless kijana wake nimeokota kanuni ni kuwa fifteen percent ya hela inayoingia ni kwa ajili ya refreshment.
Sasa baada ya kuokota nikapita sehemu agiza mbuzi katoliki nusu na ugali wakati nasubiri inatayarishwa jikoni nikaagiza...
Mwaka 2012, dunia ilishuhudia tukio la kipekee katika historia ya muziki wa kimataifa. Wimbo wa “Gangnam Style” ulioimbwa na msanii wa Korea Kusini, PSY, ulivutia hisia na kujenga wimbi kubwa la furaha, kucheka, na kuigiza mtindo ya kipekee wa kucheza ambayo ulipendwa na dunia nzima. Hata bila...
They see me rollin'
They hatin'
Patrollin' and tryna catch me ridin' dirty
Tryna catch me ridin' dirty
Kwa wale wahenga haya mashairi yanawarudisha mbali sana, miaka ya 2006, ambapo mashairi haya yalikuwa ni kama wimbo wa dunia haswa sehemu za disco, aliyeimba wimbo huu wengi wanamfahamu kwa...
Tuwape maua yao South Afrika kipindi kile cha COVID-19 zilidondoka amapiano kila ngoma ilikuwa fire moja kati ya hizo ngoma ilikuwa Jerusalema ya Master KG hili dude lilikuwa habari nyingine aisee.
Dude jingine lilikuwa ke star remix ya Focalistic na Davido hatujatulitia wakatuchapa na champion...
Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake.
Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
Tanzania Samia Connect inayotarajiwa kufanyika kuanzia Agosti 21- 23, 2025 inatarajiwa kuwakutanisha katika jukwaa moja wasanii zaidi ya 50 kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Arusha, ikiwemo wakongwe wa muziki kutoka Jijini Arusha Fido Vato anayetamba na wimbo wa 'Chuga hiyo' pamoja na JCB aliyevuma...
Duh, juzi ilikua kwamba hairuhusiwi kucheka sana kwenye uislamu, kumbe hata muziki ni haram, unapaswa mnuniane tu maisha yaende.
Hawa hapa masheikh, sio maneno yangu....
https://www.tiktok.com/@thestrangersstudio/video/7398064026569231633
https://www.facebook.com/reel/640280608424626...
Tunaomba mtusaidie, kuna bar imefunguliwa hapa Igudija kata ya Kisesa Wilaya ya Magu Mwanza. Muziki usiku kucha. Mamlaka wasimamie wahusika waweke sound proof kuzuia kelele za muziki
Wakuu
===
Wasanii wetu mbona wanamaisha magumu alafu wanakuwa mstari wa mbele kuwa kwenye kufanya kampeni au ndiyo umaskini wenyewe.
Kampeni zinapaswa kuwa mahali pa hoja, mijadala, maswali na majibu. Lakini burudani inafanya watu wasikie mziki, wasahau matatizo yao, halafu wanapiga kura kwa...
Kwenye maisha ya nyakati hizi,makelele hasa ya muziki yamekuwa ni kiashiria cha usasa,na kuonesha shangwe. Watu hawapendi tena unyamavu na kufikiri ,kelele zimekuwa ndio kiburudisho ,Jamii ya namna hii kamwe haiwezi kuwa na mawazo pevu kwa mambo kadhaa ya maisha.Muziki wa kelele unatumika kama...
MAKTABA NA VIPANDE VYA MUZIKI WA ENZI HIZO
Huwa haipiti muda hungia katika mitaa ya Maktaba kujikumbusha hiki na kile.
Leo nimekutana na mswada wa kitabu nilichoandika na Ally Sykes kuhusu maisha yake: ''Under the Shadow of British Colonialism The Life of Ally Sykes.''
(Hiki kitabu bado...
Connie Francis, nyota wa muziki wa pop aliyejizolea umaarufu miaka ya 1950 na 1960 kwa nyimbo kama “Pretty Little Baby”, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87
Taarifa za kifo chake zimetolewa na rafiki yake pamoja na msemaji wake, Ron Roberts, ingawa hakutoa maelezo zaidi mara moja
Francis...
Dogo paten ni msanii wa singeli aliyebahatika kutengeneza hitsong moja ya Afande.
Kwa kuwa ni msanii average haitotokea atoe hitsong nyingine bahati uwa haitokei mara mbili.
Nachoshangaa sababu ya umbumbumbu wake ameinua mabega anavimbia watu.
Amevimbia Mjini FM
Kamvimbia Zuchu.
Anavimbia...
Ni mara 100 zaidi hata angenitumia mbuzi au kuku ningejua baada ya muda watazaliana na biashara itakuwa.
Kanitumia muziki wa youtube, leo siku ya 3 kuna views 600,
kakomaa sana na muziki, wazazi na ndugu tumemuasa lakini wapi, hasikii wala haoni kwenye muziki. anapost sana status za one day...
Gari la mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, John Heche imepata ajali alfajiri ya leo Juni 5,2025 katika eneo la Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni NoReforms No Election Kanda ya Kati.
Gari...
Katika historia ya muziki wa kielektroniki (EDM), ni vigumu kutaja mafanikio ya miaka ya 90 bila kulitaja jina la Eiffel 65. Kundi hili la muziki kutoka Italia lilivuma sana duniani kwa wimbo wao maarufu "Blue (Da Ba Dee)", wimbo uliotikisa anga za kimataifa, ukapanda chati za muziki na kufungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.