muziki

  1. Damaso

    JamiiForums Tanzania Chamillionaire: Ridin Dirty na Maisha nje ya Muziki

    They see me rollin' They hatin' Patrollin' and tryna catch me ridin' dirty Tryna catch me ridin' dirty Kwa wale wahenga haya mashairi yanawarudisha mbali sana, miaka ya 2006, ambapo mashairi haya yalikuwa ni kama wimbo wa dunia haswa sehemu za disco, aliyeimba wimbo huu wengi wanamfahamu kwa...
  2. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kama unapenda muziki utakubaliana na mimi zile amapiano za mwanzo kipindi cha corona zilikuwa noma sana

    Tuwape maua yao South Afrika kipindi kile cha COVID-19 zilidondoka amapiano kila ngoma ilikuwa fire moja kati ya hizo ngoma ilikuwa Jerusalema ya Master KG hili dude lilikuwa habari nyingine aisee. Dude jingine lilikuwa ke star remix ya Focalistic na Davido hatujatulitia wakatuchapa na champion...
  3. W

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ya Awamu ya Sita kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imefanikiwa kumtibu bure rapa wa muziki Chid Benz

    Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro (Chid Benz) ambaye kwa miaka kadhaa alitumbukia kwenye uraibu wa dawa za kulevya, hivyo kudhoofika kiafya na kushindwa kutekeleza majukumu yake. Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo amesema,Chid Benz ni miongoni mwa Watanzania milioni moja ambao wamepatiwa...
  4. BigTall

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wakongwe wa muziki Arusha waahidi makubwa Tanzania Samia Connect

    Tanzania Samia Connect inayotarajiwa kufanyika kuanzia Agosti 21- 23, 2025 inatarajiwa kuwakutanisha katika jukwaa moja wasanii zaidi ya 50 kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Arusha, ikiwemo wakongwe wa muziki kutoka Jijini Arusha Fido Vato anayetamba na wimbo wa 'Chuga hiyo' pamoja na JCB aliyevuma...
  5. MK254

    JamiiForums Tanzania Muziki ni haram, wasema masheikh tofauti

    Duh, juzi ilikua kwamba hairuhusiwi kucheka sana kwenye uislamu, kumbe hata muziki ni haram, unapaswa mnuniane tu maisha yaende. Hawa hapa masheikh, sio maneno yangu.... https://www.tiktok.com/@thestrangersstudio/video/7398064026569231633 https://www.facebook.com/reel/640280608424626...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kisesa, Magu: Kelele za Muziki usiku kucha

    Tunaomba mtusaidie, kuna bar imefunguliwa hapa Igudija kata ya Kisesa Wilaya ya Magu Mwanza. Muziki usiku kucha. Mamlaka wasimamie wahusika waweke sound proof kuzuia kelele za muziki
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wasanii kwenye kampeni ni sauti ya wananchi au zana ya kupoteza mwelekeo wa wapiga kura?

    Wakuu === Wasanii wetu mbona wanamaisha magumu alafu wanakuwa mstari wa mbele kuwa kwenye kufanya kampeni au ndiyo umaskini wenyewe. Kampeni zinapaswa kuwa mahali pa hoja, mijadala, maswali na majibu. Lakini burudani inafanya watu wasikie mziki, wasahau matatizo yao, halafu wanapiga kura kwa...
  8. Paspii0

    JamiiForums Tanzania Jamii inayopendelea kukaa kwenye kelele, hasa za muziki, huwa na ufikiri finyu na dumavu

    Kwenye maisha ya nyakati hizi,makelele hasa ya muziki yamekuwa ni kiashiria cha usasa,na kuonesha shangwe. Watu hawapendi tena unyamavu na kufikiri ,kelele zimekuwa ndio kiburudisho ,Jamii ya namna hii kamwe haiwezi kuwa na mawazo pevu kwa mambo kadhaa ya maisha.Muziki wa kelele unatumika kama...
  9. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Maktaba na Vipande Vya Muziki wa Enzi Hizo

    MAKTABA NA VIPANDE VYA MUZIKI WA ENZI HIZO Huwa haipiti muda hungia katika mitaa ya Maktaba kujikumbusha hiki na kile. Leo nimekutana na mswada wa kitabu nilichoandika na Ally Sykes kuhusu maisha yake: ''Under the Shadow of British Colonialism The Life of Ally Sykes.'' (Hiki kitabu bado...
  10. R

    JamiiForums Tanzania TANZIA Nyota wa Muziki Connie Francis aliyeimba "Pretty little baby" amefariki dunia

    Connie Francis, nyota wa muziki wa pop aliyejizolea umaarufu miaka ya 1950 na 1960 kwa nyimbo kama “Pretty Little Baby”, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87 Taarifa za kifo chake zimetolewa na rafiki yake pamoja na msemaji wake, Ron Roberts, ingawa hakutoa maelezo zaidi mara moja Francis...
  11. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Dogo Pateni ni msanii wa singo moja, amemaliza muziki wake tayari

    Dogo paten ni msanii wa singeli aliyebahatika kutengeneza hitsong moja ya Afande. Kwa kuwa ni msanii average haitotokea atoe hitsong nyingine bahati uwa haitokei mara mbili. Nachoshangaa sababu ya umbumbumbu wake ameinua mabega anavimbia watu. Amevimbia Mjini FM Kamvimbia Zuchu. Anavimbia...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Mdogo wangu kanitumia link ya muziki wake, nimempongeza kinafki ila najisikia vibaya naona anaenda kupoteza muda au kupata umaarufu usio na maendeleo.

    Ni mara 100 zaidi hata angenitumia mbuzi au kuku ningejua baada ya muda watazaliana na biashara itakuwa. Kanitumia muziki wa youtube, leo siku ya 3 kuna views 600, kakomaa sana na muziki, wazazi na ndugu tumemuasa lakini wapi, hasikii wala haoni kwenye muziki. anapost sana status za one day...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Gari ya muziki ya CHADEMA yapata ajali mmoja ajeruhiwa

    Gari la mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, John Heche imepata ajali alfajiri ya leo Juni 5,2025 katika eneo la Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni NoReforms No Election Kanda ya Kati. Gari...
  14. mama D

    JamiiForums Tanzania Kwetu kumeanza kunoga na milango iko wazi kwa wote

    Huku kwetu rahaa tuu stress tupa kule https://youtube.com/shorts/Uu8LGlSjxPU?si=IgmDTaKogzbmGJP8 Ukiwa na makasiriko pole
  15. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania CCM na Serikali yake hawatauweza muziki wa CHADEMA wa No Reforms No Election

    https://youtu.be/nZdbTs9hGDE?si=4y56jbEOeiau6b2P
  16. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kiburi Kilichobomoa Ufalme wa Muziki wa EDM: Kisa cha Gabry Ponte na Kundi la Eiffel 65

    Katika historia ya muziki wa kielektroniki (EDM), ni vigumu kutaja mafanikio ya miaka ya 90 bila kulitaja jina la Eiffel 65. Kundi hili la muziki kutoka Italia lilivuma sana duniani kwa wimbo wao maarufu "Blue (Da Ba Dee)", wimbo uliotikisa anga za kimataifa, ukapanda chati za muziki na kufungua...
  17. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Nimeathiriwa na muziki wa kwenye radio msaada please 🙏.

    Asalamaleku nyote! Wakuu muziki wa kwenye redio (direct from the radio station) umeniathiri sana kiasi kwamba muziki ninaoupiga mwenyewe kupitia simu au kifaa kingine tofauti na ule wa kwenye radio siufurahii. Kwa mfano ninaweza kuwa na wimbo wa Ngwair kwenye simu yangu lakini nikiupiga...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Tangu nimejua muziki wa HipHop Bongo sijawahi kushuhudia wala kusikia msanii mwenye uwezo kiasi hiki kwenye FREESTYLE, "Wizzy MP" ni level nyingine

    Freestyle na muziki ni vitu viwili tofauti katika Hip Hop, wanaoweza vyote ni wachache, Freestyler hapimwi kwa hits za studio, anapimwa kwa uwezo wa kutema mistari papo kwa papo bila kuandika, bila kujiandaa bila kujali beat. Tangu nianze kuijua hiphop miaka ya 2000 hapa bongo nimewajua...
  19. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kazi ya upromota wa muziki na sanaa kwa ujumla wake inalipa sana

    Graduates msio na ajira na ambao mna mapenzi na muziki na Sanaa kwa ujumla jaribuni upromota hamtojuta as long unapenda kazi hiyo unapenda muziki na burudani etc coz kazi yoyote ili kufanikiwa lazima uipende kwanza. Nili ingia kwenye kazi hii kama hoby tu coz napenda sana muziki na starehe and...
  20. Jacobus

    JamiiForums Tanzania Msaada, chaneli inayoonesha "Top 20" ya muziki Startimes

    Kwanza napenda niwapongeze 'Startimes' kwa kuiondosha kabisa chaneli namba 322 kwenye king'amuzi chao ambayo ilifahamika kwa St SA Music na kubadilishwa kusomeka St Kasi Music. Chaneli hii ilikuwa burudani tosha kwa wale wapenda muziki hasa wa Afrika Kusini na siku ya jumamosi walikuwa na...
Back
Top Bottom