muziki

  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Mtoto Antoni yupo na kipaji kikubwa Cha uimbaji wa muziki wa Injili.

    Huyu kijana Yohana Antony is blessing kid Katika uimbaji wa Injili Let's we support Good music from our Mother Land , praise and worship
  2. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli wanenguaji wa muziki wa bendi/sebene na kitandani wanakatika vile?

    Wasalaam Nimehudhuria kwenye muziki wa sebene kwa kiasi chake, ila mara zote nimekuwa na bumbuwazi, shauku, tashwishi na hamasa ya kufahamu hivi yale mauno huwa wako hivyo hata kwenye sebene la kunyanduana au ni bosheni la stejini tu na ule msemo mganga hajigangi. Yale mauno yananichochea kila...
  3. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond afanya show nzuri kuwahi kufanyika kwenye history ya muziki wa Tanzania

    Nasemaje kuna Diamond Platnumz mmoja tu hapa Tanzania na mpinzani wake ni Nassib Abdul. Mtapiga kelele zote mzimalize ila maji na mafuta hayakai pamoja daima. Muda ukifika hata ufanye nini vitajitenga tu. Mkesha wa leo Diamond kafanya show ya kihistoria. Quality ya performance haijawai...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Wasanii Bora wa Muziki wa Kizazi Kipya mwaka 2022

    1. Harmonize 2. Alikiba 3. Marioo 4. Mboso 5. Diamond 6. Nandy 7. Ney wa Mitego 8. Maarifa 9. Rayvanny 10. Zuchu
  5. Brother Wako

    JamiiForums Tanzania I Miss: Alikiba anavyomsaidia Marioo Kulamba matapishi yake

    “The Kid You Know” albamu ipo masikioni mwa mashabiki wa Marioo tangu December 9. Albamu hii yenye nyimbo 17 imepambwa na kolabo 12 za Afrika, miongoni mwa kolabo kubwa zinazopatikana humu ni I Miss. I Miss ni wimbo namba 10 alioshirikishwa King Kiba, Alikiba na Marioo wameutendea haki mdundo...
  6. Brother Wako

    JamiiForums Tanzania Marioo The Kid You Know Album Review: The Mix Of Bongofleva, Afrobeat And Amapiano Collaborations Of Wakali Wa Africa

    Marioo The Kid You Know Album Review: Mchanganyiko Wa Kolabo Za Bongofleva, Afrobeat Na Amapiano Za Wakali Wa Africa Siku kumi na moja baada ya kuitambulisha artwork yake sambamba na tracklist, hatimaye #TheKidYouKnowAlbum ya Marioo imefikishwa rasmi kwa wasikilizaji wake usiku wa kuamkia...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Punguza umri wa mwanamke kuolewa + Piga marufuku muziki wa amapiano ili upunguze kasi ya maambukizi ya VVU

    Ni HIVI wote tumesikia leo kuhusu takwimu za maambukizi mapya ya vvu nchini na kwamba asilimia kubwa ni vijana wenye umri kati ya miaka 15 HADI 20. Nini KIFANYIKE KUPUNGUZA kasi ya maambukizi? Solution zinaweza kuwa nyingi lakini Kati ya hizo Nina amini zifuatazo zinaweza kusaidia KUPUNGUZA...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Wapi kuna live band ya zilipendwa Dar?

    Jamani wapi naweza kwenda penye band zinazopiga miziki ya zilipendwa hapa dar? Zamani sana nilikuwaga naenda Mawenzi garden tabata kulikuwa na band ya BANA MARQUIZ na sijui hata wao kwa sasa wanapiga wapi maana nilikuwa nawapenda sana. Nakaa kinondoni anyway so kama kuna band maeneo ambayo si...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mfalme wa muziki wa Hip Hop Tanzania

    Nikifatilia muziki hasa Hip Hop Bongo sasa naona kuna utofauti mkubwa, yaani kama pengo vile hawa wasanii wasasa wanashindwa kufikia swhemu ya walotangulia. Hamna maudhui ya maana kwa muziki wa sasa, kuanzia mashairi ni sifuri, kidogo mdundo Producers wanajitahidi sana, Producer ndiyo wanafanya...
  10. dvj nasmiletz

    JamiiForums Tanzania Je, unahitaji collection nzuri ya muziki kwa ajili ya bar/pub/ofisini/kwenye gari? Nipo hapa Dar

    Je una bar/pub/hotel/au ofisi yeyote inayohitaji muziki? na hauna deejay? Au unahitaji collection kwa ajili ya kusikiliza katika gari au gheto. Basi nipo tayari kukutengenezea collection nzuri ya muziki kwenye flash disk au cd na ukaiweka kwenye ofisi yako na muziki ukaendelea kama vile upo na...
  11. M2WAWA2

    JamiiForums Tanzania Kukua kwa Soko la Muziki, na Kuongezeka kwa Ushoga

    Muziki una ushawishi mkubwa Duniani kisiasa (wakati wa kampeni na ziara ),kiuchumi na kijamii. • Takwimu zinaonyesha kwa wastani mtu mmoja ana tumia masaa 961 kusikiliza muziki kwa mwaka. • 66% ya wasilizaji wa nyimbo hizi ni vijana kuanzia miaka 18 na 34+ • Pia takwimu zinaonyesha Ma...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Leo ni Kumbukizi ya Nguli wa Muziki Congo DR na Afrika Franco A.K.A Le Grand Mitre

    Franco Luambo Makiadi A.K.A Le Grand Mitre (Mwalimu Mkuu) atakumbukwa kwa mengi ila makubwa ni haya yafuatayo; 1. Utunzi makini. 2. Upangiliaji wa nyimbo. 3. Upigaji bora wa solo gitaa. 4. Uibuaji wa vipaji vya muziki. 5. Nidhamu kwa wanamuziki. 6. Sebene la muda mrefu. 7. Kuchomekea majina...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: 95% Ya wanaofanyia kazi nje ya ofisi wana "stream" movies na muziki muda wa kazi

    50% kati yao walikubali kutiririsha movies wakati wa saa za kazi, mfanyakazi 1 kati ya 5 alisema anatiririsha maudhui wakati wa muda wa kazi kwa sababu wanahisi kulipwa kidogo. 25% ya wafanyakazi walikiri kuchelewa kufanya kazi ili kumaliza kutazama vitu mtandaoni. Kwa mujibu wa utafiti mpya...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nguli wa muziki wa Jazz, Pharoah Sanders afariki akiwa na miaka 81

    Pharoah Sanders, mpiga saxophone wa Jazz wa Marekani, amefariki akiwa na umri wa miaka 81. Habari hizo zilithibitishwa na lebo ya Sanders, Luaka Bop, kwenye Twitter. "Tumesikitika kushiriki kwamba Pharoah Sanders amefariki," taarifa ya lebo hiyo ilisema. "Alikufa kwa amani akiwa amezungukwa na...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TCRA: 80% ya tamthilia zinazorushwa kwenye TV ni za nje

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevihimiza vyombo vya habari kuangalia uwezekano wa kutoa nafasi kwa tamthiliya, muziki na michezo zenye maudhui ya ndani ili kulinda utamaduni na nembo ya Taifa. Akizungumza kwenye mkutano wa wadau mbalimbali wa vyombo vya habari, sanaa na michezo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wasanii na Bendi za Muziki Tanzania hivi mnajua kuwa kufagilia watu kwa kutaja majina yao ni kitega uchumi cha Bendi nyingi za Congo DR?

    Nilihudhuria live band moja hapa mkoani Dar es Salaam siku si nyingi na kilichotokea kilinisikitisha sana na kuamini kuwa bendi za Tanzania bado sana Kushindana na za Congo DR na Congo Brazzaville. Wakati bendi inapiga na watu tunaserebuka kwa sebene akaja mmoja wa marapa jirani yangu na...
  17. tpaul

    JamiiForums Tanzania SoC02 Muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva) unavyoweza kutumika kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania

    Utangulizi Leo nitaongelea mada inayohusu muziki wa kizazi kipya na jinsi muziki huo unavyoweza kutumiwa kikamilifu kutoa ajira kwa vijana ili kupunguza tatizo la ajira kwa vijana hapa nchini. Lakini kabla sijaendelea mbele, naomba nielezee mkwamo unaosababisha biashara ya muziki huu usipanuke...
  18. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio gwiji, jabali na Mfalme wa muziki nchini Tanzania

    Ndugu nawasalim kwa jina la yule alieumba mbingu, ardhi na vyote vilivyomo ndan yake. Ndugu zangu nakumbuka marehem babu yangu aliwahi kuniambia kwamba, kama mwanamuziki mkongwe nchini Tanzania hayati Marijani Rajabu aka Jabali la muziki angejaaliwa elimu katika maisha yake ya dunia, basi...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Zuchu, mdada anayeamini pombe tu ndiyo dhambi lakini siyo muziki na mavazi yasiyo na staha!

    Angalia alivyovaa na kujiachia! Lakini ni huyu huyu Zuchu aliyekataa kufanya tangazo la pombe (siyo kunywa pombe) kwa madai kuwa ni kinyume cha matakwa ya dini yake. Kungwi Sexless hajafurahishwa na undumila kuwili huu.
  20. N

    JamiiForums Tanzania Singeli, muziki wa ajabu kuwahi kutokea Tanzania

    - Humo hakuna hoja (maudhui) ya maana, ni kuhimiza kuinama na kuonyesha namna unavyochuma tembele na mchicha tu basi! - Juzi kati hapa niliona video moja ya singeli na hatua ya muziki wao waliyoipiga imenistua.......madensa wa kiume wanatwerk, yaani wanainama na kutikisa makalio kama wafanyavyo...
Back
Top Bottom