muziki

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania LIVE: Utoaji wa Tuzo za Muziki Tanzania (TMA 2022/23)

    Msanii wa Muziki wa Asili Elizabeth Malinganya ndiye ambaye ameibuka kinara kwemye kinyang’anyiro cha Tuzo ya Msanii Bora wa Kike Muziki wa Asili. Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Kike wa Muziki na Dansi (Best Female Dancer of the Year) ni @angelnyigu • Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa...
  2. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Diamond Platnumz kinaweza kupoteza Mamia ya watu pamoja na Muziki wa Tanzania

    Naseeb Abdul Jumah.... a.k.a Diamond Platnumz ni icon Tanzania kipengere cha Muzik, Ni kijana ambaye anatakiwa angaliwe na serikali kwa upana maana hata serikali yenyew imeblooh anajiongeze sio utani. Mbali na kumiliki anavyovimiliki chibu dangote yuko na team sahihi kabisa isikuwa na mchezo...
  3. bahati93

    JamiiForums Tanzania Gauni la Rose

    Watu bana sijui kwa nini wanakuwa na secret ajenda kila pale Rose anaposhine. Kazi kumwekea chuki tuu kila kukicha hapo zamani kidogo walimletea chuki baada ya kushinda tuzo ya kili, sasa wanaleta chuki juu ya gauni lake wakitoa sababu za ajabu. Eti gauni lina kola ya kiFremason, etii oooh gauni...
  4. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Hakuna ubishi tena, Davido ndiye mfalme wa Muziki wa Afrika

    Suala la mjadala kuhusu nani ndie mfalme wa muziki wa Africa, limekuwa likichukua kasi. 👉Huku kila mmoja akivutia kamba upande wake, kuanzia east Africa kina king kiba, diamond na hata konde boy wote wamekuwa wakisifiwa na mashabiki wao. Mpaka kule Nigeria wasanii Kama patoranking, burna...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Full List: Mastaa waliotajwa kuwania Tuzo za Muziki Tanzania (TMA)

  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rayvanny, Mbosso walalamikia uteuzi wa vipengele vya Tuzo za Muziki (TMA)

    Kutoka Kwenye Ukurasa wa Instagram Wa Msanii @rayvanny Kuhusu Tuzo Za "TMA" Baada Ya kutangaza Vipengele "TMA Tunajivunia Kwamba Mna-Support Muziki Ila Hiki Sio Nilichokitegemea. Nimesikitishwa Sana" - Rayvanny JE, Unadhani Rayvanny Atakuwa Ameangushwa na kitu Gani Katika Tuzo Hizi ? Msanii...
  7. Von_Lufuta

    JamiiForums Tanzania Je, Suma Mnazaleti ameridhika katika muziki?

    Wakuu habari zenu.. Moja kwa moja kwenye mada,, nimekuwa fan mkubwa wa Suma Mnazaleti kwa muda mrefu tangu katoa wimbo ambao niliupenda sana kwa kipindi kile, na naweza kusema ndio wimbo uliomuweka kwenye peak ya kufahamika kwa kiasi kikubwa ambao alimshirikisha Omary Nyembo almaarufu kama Ommy...
  8. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Kipi kinamfelisha msanii Ruby kuendelea kufanya vizuri katika muziki?

    Ruby, moja ya wasanii wenye vipaji vikubwa katika muziki, kuanzia sauti mpaka uwasilishaji wake lazima vitakuvutia. 👉 Nyimbo kama Jela, Yule na Forever ni moja ya hits pendwa, ambazo zimeendelea kumpa sifa au kuuonyesha ubora wake. 👉 Nimejiuliza kipi kinachomfanya asiendelee kuwika katika zama...
  9. Makanyaga

    JamiiForums Tanzania Huu hapa Muziki wa zamani kabisa uliowahi kurekodiwa hapa duniani; ulipigwa mwaka 1440 Kabla ya Yesu kuzaliwa

  10. Man Rody

    JamiiForums Tanzania When the music bug hits u

    Nothing beats passion, nimeangalia zaidi ya mara 10 hii video..wow!
  11. music mimi

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaojua muziki Tu. Nitengenezee playlist ya afro beats za kishua

    Nitengenezee playlist yenye nyimbo 10 dizain ya Sete, sautisol, nviiri, chike, simi nk nadhani mmenielewa wajuzi wa muziki
  12. N

    JamiiForums Tanzania Boomplay Yaingia Makubaliano Na Halotel Kurahisisha Usikilizaji Wa Muziki Kidijitali

    Boomplay, App namba moja ya kusikiliza na kupakua muziki barani Afrika, imeshirikiana na Kampuni ya Mawasiliano ya simu, Halotel kuzindua kifurushi cha ‘Boomplay na Halotel’ ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuendelea kurahisisha usikilizaji wa muziki kidijitali kwa Watanzania. Ushirikiano huu...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Drake anafikiria kuachana na masuala ya Muziki

    Drake anaweza kuwa anafikiria mpango wa kuondoka kwenye game. Rapa huyo anaonekana kuongelea kustaafu kwake wakati wa mahojiano na "rafiki yake mkubwa" Lil Yachty kupitia mazungumzo ya tangazo la kampuni ya miwani ya jua ya FUTUREMOOD. ============ “I think I’m at the point now where I just...
  14. IamMrLiverpool

    JamiiForums Tanzania Muziki na afya ya akili

    Muziki ni njia nzuri ya kuweka akili yako imara na kukusaidia kujisikia vizuri. Wataalam wa tiba ya saikolojia wanathibitisha kuwa muziki ni tiba bora kwa magonjwa ya akili kama vile wasiwasi, unyogovu na mkazo. Daktari wa tiba ya akili, Dk. Thomas R. Verny, anasema "Muziki ni tiba ya kiroho na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Msanii chidi Benzi kutunikiwa phd ya heshima katika muziki

    Kulingana na mchango wake mkubwa katika kuukuza muziki wa kizazi kipya napendekeza msanii mkongwe Chidi Benzi apatiwe PhD ya heshima sasa akiwa hai kama alivyopatiwa Babu Tale
  16. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania REVIEW: Makosa matano (5) yaliyoonekana kwenye video ya muziki ya Inauma ya msanii Aslay

    Imechambuliwa na kuandikwa na Ally Nassor Px . Tarehe 6 February 2023. Sehemu ya kwanza kuipost ni hapa JF Lakini pia nitaipost Twitter. ____________________________________ Video imetoka majuzi Tarehe 3 mwezi wa pili mwaka 2023. Ikiwa imeongozwa na director Majagi. Mpaka sasa tarehe 6...
  17. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Tangu mabando yapande bei, Diamond pekee kaweza kupata views milioni kwa siku, kahamia muziki unaoweza kusikika na kila mtu ila ni wachache wanauimba

    Tangu mwaka 2021 mwezi wa 11 tulipopata kilio cha mabando kupanda bei hakuna msanii yoyote hapa bongo alieweza kugonga views milioni 1 ndani ya masaa 24, ipo lebo flani ilikuwa inamwagia views milioni 1 chini ya dakika 1 kwa kila msanii lakini wakaja kuumbuka. Diamond kaweka rekodi ya ngoma ya...
  18. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazofanya muziki kua faster wakati wa Usiku

    Muziki, Muvi na series zikifutwa duniani sijui maisha yatakuaje upande wangu maana Muvi na Muzi ni vitu navyovipenda as entertainment for me...napenda sana kusikiliza muziki sidhani kama kuna siku inapita sijasikiliza muziki. Hua napenda nikilala muziki wa slow jams, flashback,afropop nyimbo za...
  19. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Wa Muziki Wa Kizazi Kipya Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) Afariki Dunia

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyewahi kutamba na ngoma yake ya Nilonge Nisilonge miaka kadhaa iliyopita, Hamis Juma Mbizo (H Mbizo) amefariki dunia. Msiba wa H- Mbizo umetokea katika hospital ya mkoa wa Morogoro alipolazwa kwa wiki mbili kufuatia matatizo ya mgongo. Mdau mkubwa wa sanaa...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Kusikiliza muziki kunapunguza msongo wa mawazo

    Utafiti wa Chuo Kikuu cha Vienna umeonesha kuwa mziki unaweza kumrudisha mtu katika hali ya furaha au kawaida pindi anaposikiliza muziki mzuri au wenye kusisitiza furaha wakati wa msongo wa mawazo. Utafiti huo ulifanyika wakati watu wengi walipotakiwa kukaa ndani kutokana na maambukizi ya...
Back
Top Bottom