muungano

Tanzania (, Swahili: [tanzaˈni.a]), officially the United Republic of Tanzania (Swahili: Jamhuri ya Muungano wa Tanzania), is a country in East Africa within the African Great Lakes region. It borders Uganda to the north; Kenya to the northeast; Comoro Islands and the Indian Ocean to the east; Mozambique and Malawi to the south; Zambia to the southwest; and Rwanda, Burundi, and the Democratic Republic of the Congo to the west. Mount Kilimanjaro, Africa's highest mountain, is in northeastern Tanzania.
Many important hominid fossils have been found in Tanzania, such as 6-million-year-old Pliocene hominid fossils. The genus Australopithecus ranged all over Africa 4 to 2 million years ago; and the oldest remains of the genus Homo are found near Lake Olduvai. Following the rise of Homo erectus 1.8 million years ago, humanity spread all over the Old World, and later in the New World and Australia under the species Homo sapiens. Homo sapiens also overtook Africa and absorbed the older archaic species and subspecies of humanity. One of the oldest known ethnic groups still existing, the Hadzabe, appears to have originated in Tanzania, and their oral history recalls ancestors who were tall and were the first to use fire, medicine, and lived in caves, much like Homo erectus or Homo heidelbergensis who lived in the same region before them.
Later in the Stone and Bronze Age, prehistoric migrations into Tanzania included Southern Cushitic speakers who moved south from present-day Ethiopia; Eastern Cushitic people who moved into Tanzania from north of Lake Turkana about 2,000 and 4,000 years ago; and the Southern Nilotes, including the Datoog, who originated from the present-day South Sudan–Ethiopia border region between 2,900 and 2,400 years ago. These movements took place at about the same time as the settlement of the Mashariki Bantu from West Africa in the Lake Victoria and Lake Tanganyika areas. They subsequently migrated across the rest of Tanzania between 2,300 and 1,700 years ago.German rule began in mainland Tanzania during the late 19th century when Germany formed German East Africa. This was followed by British rule after World War I. The mainland was governed as Tanganyika, with the Zanzibar Archipelago remaining a separate colonial jurisdiction. Following their respective independence in 1961 and 1963, the two entities merged in 1964 to form the United Republic of Tanzania.The United Nations estimated Tanzania's 2018 population at 56.31 million, which is slightly smaller than South Africa, making it the second most populous country located entirely south of the Equator. The population is composed of about 120 ethnic, linguistic, and religious groups. The sovereign state of Tanzania is a presidential constitutional republic and since 1996 its official capital city has been Dodoma where the president's office, the National Assembly, and some government ministries are located. Dar es Salaam, the former capital, retains most government offices and is the country's largest city, principal port, and leading commercial centre. Tanzania is a de facto one-party state with the democratic socialist Chama Cha Mapinduzi party in power.
Tanzania is mountainous and densely forested in the north-east, where Mount Kilimanjaro is located. Three of Africa's Great Lakes are partly within Tanzania. To the north and west lie Lake Victoria, Africa's largest lake, and Lake Tanganyika, the continent's deepest lake, known for its unique species of fish. To the south lies Lake Malawi. The eastern shore is hot and humid, with the Zanzibar Archipelago just offshore. The Menai Bay Conservation Area is Zanzibar's largest marine protected area. The Kalambo Falls, located on the Kalambo River at the Zambian border, is the second highest uninterrupted waterfall in Africa.Over 100 different languages are spoken in Tanzania, making it the most linguistically diverse country in East Africa. The country does not have a de jure official language, although the national language is Swahili. Swahili is used in parliamentary debate, in the lower courts, and as a medium of instruction in primary school. English is used in foreign trade, in diplomacy, in higher courts, and as a medium of instruction in secondary and higher education, although the Tanzanian government is planning to discontinue English as the primary language of instruction but it will be available as an optional course. Approximately 10 percent of Tanzanians speak Swahili as a first language, and up to 90 percent speak it as a second language.

View More On Wikipedia.org
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Zanzibar nao wanataka kuwatimua wabongo. Tukianza mambo ya uzawa hapa sio muda jamii zenye watu wenye akili ndogo zitamenyeka haswa

    Hamjambo! Huwezi kataa nature. Zipo jamii zenye watu warefu, wapo wafupi, wapo mchanganyiko yaani warefu, wakawaida na wafupi. Zipo jamii zenye watu wenye ngozi nyeupe, nyeusi na njano na kahawia. Zipo jamii zenye watu wenye akili na upeo mkubwa kuliko jamii nyingine. Najua kuna watu...
  2. Mbepo yamba

    JamiiForums Tanzania Tuvunje Muungano halafu tufanye hivi

    Kila siku kumekiwa na madukuduku ya kero za huu Muungano ambapo tunaona achilia mbali fedha za mikopo ya nchi zinavyomiminwa na kumung'unywa kule, sasa wanahakikisha wanaidogosha na kuifedhehesha Tanganyika kadiri wawezavyo. Sasa hawa watu, kwanza tutangaze kuvunja Muungano huu mapema halafu...
  3. YASIYOSEMWA

    JamiiForums Tanzania Nje ya muungano....!

    Nikifuatilia mijadala Mingi mitandaoni na kwenye vijiwe mbalimbali kumeanza kuwa na hisia Kali Sana za uzawa. Tukianza na ukanda ni majuzi tu bungeni tuliona namna wabunge wa kusini walivyo kuwa wakali kuhusu Barabara Yao YA kusini. Lakini pia watu huona fahari kutamba na kijinasibisha na...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naamini kwa dhati maudhi na chokochoko za sasa za Wa-Zanzibar ni kutaka kuwaudhi wa-Tanganyika ili muungano uvunjwe. Hatutauvunja Muungano ng'o!

    Hivi karibuni niliandika kwamba ile bidii ya Raisi Samia kuchukua mikopo ya nje kila siku ilikuwa ni mkakati maalumu uliowekwa ili fedha nyingi ziende Zanzibar kama mgawo wao wa hiyo mikopo. Fedha zilizoenda Zanzibar ni nyingi sana na zinafanya mambo makubwa sana kwa sasa kubadilisha miundo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye saklata la Yuda, tuchochee moto kwenye Muungano

    Kwenye hii vita ya Yuda na watu wengine, Sisi tuchochee moto kwenye hoja ya Utanganyika na Zanzibar, tuachane na mambo ya CCM
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania ACT: JKT si chombo cha Muungano, si sawa kulazimisha Vijana wa Zanzibar wajiunge JKT, hiyo ni kupora mamlaka ya Zanizbar

    "JKT si chombo cha Muungano. Zanzibar ina idara maalumu yenye hadhi na majukumu yanayofanana na JKT; ambayo ni JKU. Kuwalazimisha vijana wa Zanzibar kujiunga JKT ni kupora mamlaka ya Zanzibar." Mwenezi wa ACT Wazalendo, Salim Bimani
  7. BabuFey

    JamiiForums Tanzania Muungano uangaliwe upya

    Leo nagusa where Satan fears to tread MUUNGANO Kwa mwenendo huu ulionyeshawa na utawala huu unaongozwa na Wazanzibari kuna haja kubwa ya kuungalia huu muungano Hapa kuna mawaziri very senior ni wa kwao na maamuzi yanayo tugusa Watanganyika wanafanya wao ilhali ya kwao hayatuhusu. Angalia...
  8. Stroke

    JamiiForums Tanzania Muungano uruhusu wawakilishi toka Tanganyika katika Bunge la Zanzibar

    Ni Muda sasa wabunge toka baraza la wawakilishi huwa pia na fursa ya kuingia Bunge la Muungano. Sio vibaya kama wabunge toka bara baadhi yao nao wakiwa wanahudhuria vikao vya baraza la wawakilishi. Uwekwe utaratibu maalum ambao utawafanya wabunge hao kushiriki vikao bila kuathiri maamuzi ya...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Udongo na Pumzi: Muungano Mtakatifu wa Mwanadamu na Ardhi

    Siri kuu na ya kustaajabisha ya kuwepo kwa mwanadamu imefichwa katika mchanganyiko wa kipekee wa mavumbi ya ardhi na pumzi takatifu ya Uzima. Kabla ya mwanadamu kuwa kiumbe hai kinachotembea na kufikiri, alikuwa ni udongo tu usio na umbo uliolazwa mikononi mwa Muumba. Katika wakati huo wa...
  10. Yoda

    JamiiForums Tanzania Faida za muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni zipi?

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar una faida zipi? Isije ikawa tunapinga tu jambo lenye faida/manufaa.
  11. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Wakati wa kuvunja muungano ni sasa

    Tangu mzanzibari aongoze Tanganyika akaiiibia na kupelekwa kwao, hakuna maana tena ya muugano. Nashangaa kuona nchi zinazodai kuungana zina uraia pacha upande mmoja wakati upande wa pili ukipigwa changa la macho. Upande wa Tanganyika una uraia feki wa utanzania ambao hauna maana wa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Full Time: Yanga SC 0-1 Simba SC| Muungano Cup Final | New Amaan Complex | 29.04.2026. Simba abeba Ubingwa

    MATCH DAY Yanga SC vs Simba SC ni Dabi ya Kariakoo, Kombe la Muungano Cup kwa wababe hawa kupambana kusaka taji. Mchezo huu unatarajiwa kuchezwa LEO 29/4/2026 Jumatano, Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, kuanzia majira ya saa 2:15 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Yanga SC wanaingia...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe amshukuru Waziri Mkuu kuadhimisha Miaka 62 ya Muungano kwa kukagua miradi, kutatua kero za wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) Mhe. Prof. Riziki Shemdoe, amemshukuru Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba kwa kuadhimisha miaka 62 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kukagua ujenzi wa miradi ya maendeleo ya daraja jipya la...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Simba 3-0 Mlandege | New Amani Zanzibar Kombe la Muungano | 26 Aprili 2026. Fainali ni Simba vs Yanga

    Mnyama anaunguruma Zanzibar, Dabi ipo pale pale hakuna kukimbia Fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 inatarajiwa kuzikutanisha Yanga dhidi ya Simba, hiyo ni baada ya Simba kuitafuna Mlandege Magoli 3 -0 kwenye Nusu Fainali iliyopigwa Uwanja wa Amaan, Aprili 26, 2026. Fainali hiyo inatarajiwa...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Live From Tunguu Zanzibar: Kongamano Kuadhimisha Miaka 62 ya Muungano Wetu Huu Adimu na Adhimu, Tutaulinda kwa Gharama Yoyote ili Udumu Milele!

    Wanabodi, Kupitia TBC, matangazo ya moja kwa moja, live Mubashara kutoke Tunguu Zanzibar: Nawaletea Kongamano la Vijana la kuadhimisha miaka 62 ya Muungano wa Tanzania lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa CCM katika Viwanja vya Tunguu - Zanzibar ambapo mgeni rasmi ni Mwenyekiti wa CCM na Rais...
  16. E

    JamiiForums Tanzania Tanganyika and Zanzibar: Articles of Union and implementing legislation, with other evidences

    Ndugu, wana Jamii forums, Mjadala kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar Umekuwa mzito sana, lakini ninadhani cha mhimu ni kuuweka ukweli hapa Jamii forums, yaani nyaraka halisi za Muungano huo pamoja na habari zingine za kijasusi. Naomba baada ya kusoma Nyakara zote, then tuendelee na...
  17. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vyombo Vya Habari Vya CCM Maktaba mazungumzo Historia ya Muungano

    https://youtu.be/hzc1zFNRBnk?si=pKH9rskM6ijwPFzv
  18. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya Muungano lengo lake nini?

    Kama lengo ni kudumisha muungano kwanini mashindano yafanyike Zanzibar tu? Kwanini sherehe za Uhuru wa Tanganyika hakuna mashindano kama ya mapinduzi? Kwanini tunapenda kuficha mambo kila wakati?
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Rais aelekeza fedha za Muungano zikarabati miundombinu

    Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Rais, Samia Suluhu ameelekeza fedha zilizokuwa zimepangwa kugharamia maadhimisho ya Sherehe za Muungano mwaka huu, zitumike kukarabati miundombinu ya barabara iliyoharibiwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini. Ameyasema hayo, Jumatatu, Aprili 20...
  20. M

    JamiiForums Tanzania April 26 siku ya kupinga Muungano

    Wazanzibari hawataki Muungano Watanganyika tunautaka wa nini Sikia video hii Ni wakati wa Kuvunja muungano.
Back
Top Bottom