Mashindano ya Muungano lengo lake nini?

Mashindano ya Muungano lengo lake nini?

Kama lengo ni kudumisha muungano kwanini mashindano yafanyike Zanzibar tu?

Kwanini sherehe za Uhuru wa Tanganyika hakuna mashindano kama ya mapinduzi?

Kwanini tunapenda kuficha mambo kila wakati?
Cha kwanza muungano hauma maana yoyote mpaka sasa. Kwenye kila hatua ya sasa inaiumiza sana Tanganyika,kuanzia mapato mpaka sheria.

Upande wa Zanzibar wangekuwa bila muungano wangekuwa mbali sana kimaendeleo. Watanganyika wezi sana kwa mali za umma.

Tukija kwenye mashindano ya mpira ya muungano zaidi ni kuwatangaza wachezaji wa Zanzibar huku bara
 
Wazanzibar wako 1,000,000 tu wakati watanganyika wako 65,000,000, hawa wanatunjojaje sisi. Tutaoana na kuzaliana hadi tutawamaliza kabisa. Ni maswala ya muda tu, msiwe na haraka. Nyerere hakuwa mjinga kukubali muungano wa hivi.
 
Mashindano ya Muungano lengo lake nini?​

SAbabu kuu ni kuwatafutia vijana wa Zanzibar nafasi za kucheza ligi kuu bara, na political popularity kwa viongozi wa Zanzibar japo Kodi zetu zinatumika pia.
 
Wazanzibar wako 1,000,000 tu wakati watanganyika wako 65,000,000, hawa wanatunjojaje sisi. Tutaoana na kuzaliana hadi tutawamaliza kabisa. Ni maswala ya muda tu, msiwe na haraka. Nyerere hakuwa mjinga kukubali muungano wa hivi.
Umenena vema. Kutunyonya kwake ni hivi mfano hivi sasa tuna kiongozi wa wapi?. Mtanganyika huwezi kuwa rais Zanzibar. Hivi sasa tuna rais mwenye asili ya huko. Ikitokea mgawanyo wa msaada fulani kutoka nje mgawanyo wake ni nusu kwa nusu bila kujali uwingi wa watu.

Nyerere hakuwa mjinga kipindi hicho cha ukoloni na vita vya kuvamiana maeneo. Alijali ilikuwa rahisi wavamizi kwa kupitia Zanzibar kuingia Tanganyika. Lakini sio miaka hii. Mvamizi akitaka kuvamia Tanzania anatuma vitu fulani sio majeshi tena. Kwa hiyo muungano kwa sasa hauna maana. Hauna maana sio kwa manufaa ya Tanganyika tu. Kikubwa ni kwa manufaa ya Wazanzibar. Watapiga hatua kwa haraka sana bila muungano
 
Mbona Muna nongwa na vitu vidogo, ni Mambo yanayo zungumzika
 
Hakuna mashindano ya Muungano hapo! Hayo ni mwshindano ya bonanza tu ya kuwafurahisha wanasiasa wa ccm.
 
Kama lengo ni kudumisha muungano kwanini mashindano yafanyike Zanzibar tu?

Kwanini sherehe za Uhuru wa Tanganyika hakuna mashindano kama ya mapinduzi?

Kwanini tunapenda kuficha mambo kila wakati?
Zanzibar ndio waandaaji, Tanzania Bara wamealikwa. Wanaweza kuwaalika hata timu za Somalia
 
Back
Top Bottom