Wakati wa kuvunja muungano ni sasa

Wakati wa kuvunja muungano ni sasa

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,698
1777861823430.png


Tangu mzanzibari aongoze Tanganyika akaiiibia na kupelekwa kwao, hakuna maana tena ya muugano.

Nashangaa kuona nchi zinazodai kuungana zina uraia pacha upande mmoja wakati upande wa pili ukipigwa changa la macho.

Upande wa Tanganyika una uraia feki wa utanzania ambao hauna maana wa wazanzibari ambao wanao uraia wao, wimbo wa taifa, na sasa wanazidi kutubebesha mzigo wa madeni yao.

Tanganyika ni kama shamba la bibi. Watanganyika ni mayatima tu japo kuna machawa wachache wanaotumiwa kutuhujumu.

Japo waasisi wa muungano walichanganya udongo, hawakuchanganya ubongo. Kila mtu ajiendea kivyakevyake.

Je, umefika wakati wa kuuvinjilia mbali muungano?
 
Hatuwez kuvunja muungano now ...je mali zetu tunarudishaje???
 
Huu muungano umefikia mahali pabaya tangu mzanzibari kupewa madaraka makubwa ya kimaamuzi. Bora hata zamani kulikuwa kuna unafuu.
 
Back
Top Bottom