Muungano uangaliwe upya

Muungano uangaliwe upya

BabuFey

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2023
Posts
2,424
Reaction score
3,829
Leo nagusa where Satan fears to tread MUUNGANO

Kwa mwenendo huu ulionyeshawa na utawala huu unaongozwa na Wazanzibari kuna haja kubwa ya kuungalia huu muungano
Hapa kuna mawaziri very senior ni wa kwao na maamuzi yanayo tugusa Watanganyika wanafanya wao ilhali ya kwao hayatuhusu.
Angalia matukio ya 29/10 uhusika wa wasio Watanganyika, mkuu wa tume ya uchunguzi wa kwao na mpita dunia nzima kujaribu kubatilisha ukweli wa kwao.

Ili hatma yetu ya watu milioni zaidi sitini isiamuliwe na watu milioni moja na nusu wa vsiwani napendekeza ifuatavyo
Muungano huu uvunjwe na tuanzishe uhusiano kama nchi za EU.

Pasiwepo na uhitaji visa baina yetu , kila nchi iwe na mamlaka yake kamili na viongozi wawe ni wazawa wa nchi husika tuu.
Uwekezaji na umiliki wa ardhi usizidi miaka 33 kwa raia wa nchi hizi tofauti kama ilivyo sheria ya Zanzibar sasa.

Hili suala eti Waislamu waitikadi kali wataichukua Zanzibar na kutusumbua ni upuuzi wa wana siasa waliokosa hoja.
 
Usipindishe maneno. Kwa mahali tulipofikia, uvunjwe tu ili kila nchi ijitegemee kivyake. Kama ni kigezo cha undugu na bla bla nyingine; hata Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Malawi, Zambia, nk ni ndugu zetu wa damu na tumekuwa tukichangamana nao maeneo ya mipakani. Why tuendelee kuwang'ang'ania hawa Wazanzibari?

Wala hakuna sababu ya huo muungano kuangaliwa upya! For what? Narudia tena UVUNJWE.
 
Naunga mkono hoja.
 
Leo nagusa where Satan fears to tread MUUNGANO

Kwa mwenendo huu ulionyeshawa na utawala huu unaongozwa na Wazanzibari kuna haja kubwa ya kuungalia huu muungano
Hapa kuna mawaziri very senior ni wa kwao na maamuzi yanayo tugusa Watanganyika wanafanya wao ilhali ya kwao hayatuhusu.
Angalia matukio ya 29/10 uhusika wa wasio Watanganyika, mkuu wa tume ya uchunguzi wa kwao na mpita dunia nzima kujaribu kubatilisha ukweli wa kwao.

Ili hatma yetu ya watu milioni zaidi sitini isiamuliwe na watu milioni moja na nusu wa vsiwani napendekeza ifuatavyo
Muungano huu uvunjwe na tuanzishe uhusiano kama nchi za EU.

Pasiwepo na uhitaji visa baina yetu , kila nchi iwe na mamlaka yake kamili na viongozi wawe ni wazawa wa nchi husika tuu.
Uwekezaji na umiliki wa ardhi usizidi miaka 33 kwa raia wa nchi hizi tofauti kama ilivyo sheria ya Zanzibar sasa.

Hili suala eti Waislamu waitikadi kali wataichukua Zanzibar na kutusumbua ni upuuzi wa wana siasa waliokosa hoja.
Znz wamegeuka kuwa last born kwenye huu muungano, hatuwez kuendelea tena kwa style hii , we need changes. Serikali tatu au kila mtu achukue hamsini zake
 
Labda Nitoe shule kwa Manufaa ya Wengi hapa Jukwaani

1. Ukitoa sababu za Kimagharibi kutaka tuungane.
Sababu nyingine kubwa sana ya kuungana ilikuwa ni.

2. Zanzibar Ilikuwa ni Kitovu cha Utumwa na Ukabaila wa Kiarabu katiaka Africa ya Mashariki.

3. Ilikuwa Rahis sana kwa zanzibar kuingiliwa na Makundi ya Kigaidi kama IS, BOKO HARAM, ISLAMIC STATE NK.

MWALIMU ALILAZIMIKA KUINGIA KAENYE MUUNGANO KWA KUOGOPA ZANZIBAR KUVAMIWA NA MAKUNDI YA KIGAIDI.
 
Leo nagusa where Satan fears to tread MUUNGANO

Kwa mwenendo huu ulionyeshawa na utawala huu unaongozwa na Wazanzibari kuna haja kubwa ya kuungalia huu muungano
Hapa kuna mawaziri very senior ni wa kwao na maamuzi yanayo tugusa Watanganyika wanafanya wao ilhali ya kwao hayatuhusu.
Angalia matukio ya 29/10 uhusika wa wasio Watanganyika, mkuu wa tume ya uchunguzi wa kwao na mpita dunia nzima kujaribu kubatilisha ukweli wa kwao.

Ili hatma yetu ya watu milioni zaidi sitini isiamuliwe na watu milioni moja na nusu wa vsiwani napendekeza ifuatavyo
Muungano huu uvunjwe na tuanzishe uhusiano kama nchi za EU.

Pasiwepo na uhitaji visa baina yetu , kila nchi iwe na mamlaka yake kamili na viongozi wawe ni wazawa wa nchi husika tuu.
Uwekezaji na umiliki wa ardhi usizidi miaka 33 kwa raia wa nchi hizi tofauti kama ilivyo sheria ya Zanzibar sasa.

Hili suala eti Waislamu waitikadi kali wataichukua Zanzibar na kutusumbua ni upuuzi wa wana siasa waliokosa hoja.
Au uvunjwe kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom