Tuvunje Muungano halafu tufanye hivi

Tuvunje Muungano halafu tufanye hivi

Mbepo yamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
1,465
Reaction score
2,284
Kila siku kumekiwa na madukuduku ya kero za huu Muungano ambapo tunaona achilia mbali fedha za mikopo ya nchi zinavyomiminwa na kumung'unywa kule, sasa wanahakikisha wanaidogosha na kuifedhehesha Tanganyika kadiri wawezavyo.

Sasa hawa watu, kwanza tutangaze kuvunja Muungano huu mapema halafu tutangaze kuwa tunapeleka jeshi letu kulinda isalama na maslahi ya watanganyika wanaofanya shughuli zao kule. Halafu tutangaze kuitwaa kijeshi visiwa hivyo kwa kuwa vimesheheni watu waliopelekwa kule na wakoloni nyakati za utumwa. Tufanye Moja ya mikoa yeti na kwamba mikoa ule yutaulinda kwa wivu mkubwa dhidi ya chokochoko zozote kutoka nje hasa uarabuni.

Hatuwezi kichezewa na watoto wetu wale
 
Rabaika
 
Nkunda siyo mwenzako. Yeye huko Dubai akaunti inasoka matrililioni, atakusikiliza? Tafuta njia nyingine siyo ya jeshi
 
Mkunda hatakuwa kwenye hicho kiti kwa zaidi ya miaka minne tokea sasa
 
Ushauri wako ni wa kufikirika na usio na uhalisia. Hakuna jeshi la kufanya hivyo kwenye hii nchi.

Karata pekee iliyobakia mpaka sasa ni ya Tundu Lissu tu. Huyu mwamba tukimuunga mkono kwenye harakati zake, anaweza kuikomboa nchi yetu ya Tanganyika kutoka mikononi mwa wahuni, mafisadi na hao kupe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom