mungu

  1. Bsyotyo

    JamiiForums Tanzania Mungu siku zote yupo kimya na haongei, nyie mnampigia kelele

    Habarini Ndugu. Najua hii Itakuwa Mpya Kwenu na Siku zote itawafungua Macho wengi nyie Mliowekwa kwenye Giza Kubwa na Kuishia Kuabudu Viumbe vyenye Tamaa ya Kujiita Mungu Hizi ni Sifa za Mungu mwenye Vyote. Aliyeumba Kila Kitu Na Kila Kiumbe Vinavyoonekana Kwa Macho na Visivyoonekana. Tuanze...
  2. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania God's Conscience vs Free Will: Je, Mungu anajua hatima ya wanadamu itakuwaje?

    Hello y’all.. NB: Naomba moderator mada hii msiihamishie jukwaa la dini maana huko itakosa wachangiaji na lengo langu la kutaka kujuzwa jambo hili halitatimia and that will leave me frustrated and bums me out, Natuamaini mtatii takwa langu hili. Ahsanteni. Binafsi kiimani ni muumini wa kanisa...
  3. Lu-ma-ga

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe enzi za kuanza na Mungu na kumaliza na Mungu kazi za kiserikali

  4. E

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha "ushahidi kuwa Mungu hayupo na uchawi haupo" kiko njiani

    Ndugu zangu wana JF, mimi ni mtanzania na ninapenda kuwafahamisha kuwa ninaandika kitabu chenye kutoa ushahidi juu ya kutokuwepo mungu wala uchawi katika dunia hii. Najua wengi wenu mkisia mada kama hii mnapuuza na kucheka. Yawezeka vicheko vinatokana na kuelewa sana juu ya chimbuko la dhana...
  5. Jini mtuu

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 ya binadamu wasio na imani kumuhusu Mungu

    1. MAFANIKIO Hapa mtu anaeza sema amelogwa au ameibiwa nyota. Kama ni kazi anapata lakini haidumu na kama itadumu basi atachukiwa kazini na viongozi basi atapendwa na wafanyakazi wenzake. Watampenda kwa sababu ataonekana mjuaji na kweli watu wasio na imani mungu huwapa kipawa cha kua na akili...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo watu hawayaelewi kuhusu Mungu

    Kwema Wakuu! Mods naomba Uzi huu msiupeleke jukwaa la dini, huu ni mjadala mfupi kuhusu MUNGU. Kwanza kabisa neno "Mungu" ni Cheo na wala sio personal Name Kama wengi wadhaniavyo. Ni Kama vile useme, Rais, Mama, Baba, Mfalme N.k. hivyo watu wanapotaja Mungu wasidhani wamemtaja mhusika Fulani...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mama SSH yuko madarakani kwa mpango wa Mungu kama ilivyokuwa kwa Ester wa Biblia.

    Wapendwa nawasalimu kwa jina la Jamhuri, kazi iendelee Binafsi nimekuwa nawaza sana kuhusu utawala wa huyu Mama yetu SSH namna anavyopiga makasia kuirudisha Tz ktk utawala wa kisheria, haki na usawa tofauti na mtangulizi wake. Wote tunatambua kuwa mtangulizi wake (mwendazake) alikuwa...
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kiufupi vijana tufanye kazi na tumuombe Mungu hakuna Mwanasiasa was kubadilisha Maisha yetu ni Juhudi zetu na Mungu tu.

    Kiufupi nimejionea Mengi Sana hapa Tz kuhusu siasa zetu . Ni takribani mwongo Mmoja tangu Kupata ufahamu wa siasa . Wanaofadika Ni wao tu kila mwaka Hivyo kuwasikiliza Ccm na Vyama vingine nikupoteza Muda wetu they work on their families benefits na sio sisi ambao hatuna connections...
  9. Kichwamoto

    JamiiForums Tanzania Naomba tushiriki kuwatakia heri Makomandoo wetu Adamoo na wenzake Mungu awape afya njema na nuru uraiani

    Jamani sina mengi nimewiwa kushiriki kuwatakia heri hawa makomandoo walimu na wazalendo, wawe na heri ya afya na nuru njema ya Maisha uraiani. Karibuni Sana Mungu awabariki note.
  10. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Ukiacha jina la Mungu, ni jina gani linaongoza kutajwa sana humu JF?

    Habari wakuu Nimeijua JF mwaka 2008, nikawa nasoma kimya kimya. Mwaka 2014 nikaona nijiunge rasmi . Na kwa kuwa binafsi ni mpenzi wa kusoma makala na vitabu mnooo,maana nilifundishwa kusoma na kaka zangu kabla sijaanza darasa la kwanza!!! Hivyo nimesoma makala nyingi sana humu na kujifunza...
  11. Surya

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Mwanadamu na hisia za Mwanadamu Duniani ni mfano wa Mungu (Kiungu)

    Soma kwa Makini uhusiano huu..hadi mwisho. ******************* Yohana 1:1-5 [1]Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu. [3]Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika. NENO Maneno yalitumika Kuumba ulimwengu...
  12. DR HAYA LAND

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dunia tambala bovu! Mungu Baba nipe uvumilivu nitimize Ushuhuda

    Happy Sunday My Friends Mada yangu Kipindi hiki ambacho nataka kutimiza Ushuhuda ndo nashangaa Yule Mtoto kutoka Pwani Namba D akinitumia sms ambazo zinanipa huzuni na huku akinipigia sm kila muda. Honestly nampenda Japo na mm nataka kuupiga Mwingi ili Angalau huu mwaka nione Mwanga katika...
  13. Kijana Wa Dar

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Ni mambo gani makuu Mungu amekutendea

    Karibuni
  14. MWAISEMBA CR

    JamiiForums Tanzania Raisi Samia sio mfalme na sio mungu wa kuombwa kufanya kila kitu katika nchi yetu

    ✳️RAISI WA NCHI SAMIA SULUHU HASSAN SIO MFALME NA SIO MUNGU WA KUOMBWA KUFANYA KILA KITU KATIKA NCHI YETU‼️ 🔵Na:Shujaa©️®️Ⓜ️ Ni kawaida katika jamii zetu za kiafrika kusikia wananchi wakikimbilia kwa maraisi wao kueleza shida, kuomba misaada kutoka kwao, kuwaomba wawafanyie maendeleo haya...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Panya road hatari maarufu Mungu Moshi waibuka halmashauri ya Mlimba-Morogoro

    Maisha na mali ya wananchi wa halmashauri ya Mlimba kata ya Mngeta na Mchombe yako hatarini kutokana na kuimbuka kwa kundi hatari la panya road maarufu kwa jina la Mungu moshi yaani bangi ndiyo Mungu wao. Vijana hawa kati ya miaka 15 mpaka 25 wanajihusisha na uporaji kwa kutumia mapanga, visu na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mungu anataka aabudiwe kupitia Masanamu?

    Ni halali kuwepo masanamu katika nyumba za ibada,ambayo hayasikii wala hayana msaada wowote ule katika kumuomba Mwenyezi Mungu?
  17. N

    JamiiForums Tanzania Bei ya petroli Zanzibar ni Tsh 2600 kwa lita. Bara bei ipo juu zaidi

    Kudadadeeeki walahi ayaaaaa ukisikia kulamba asali ni huko zenji aiseeeee ina maana vita vya ukraine effects zake hazifiki zenji? hivi kule wamachinga walitimuliwa? Sitashangaa kusikia hata mfumuko wa bei haujaathiriwa na vita vya ukraine au nchi mbili tofauti hizi?
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mungu akubariki kwa kuwaambia watanzania ukweli

    🤝🤝🤝
  19. ruby garnet

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Dini(Imani) ni ushahidi wa uhakika wa uwepo wa Mungu

    Kuna maada mbalimbali zimeanzisha humu kuhusu Ushaidi wa uwepo wa Mungu, Mimi leo natoa ushahidi wa uwepo wa Mungu kwa kujenga hoja kutokana na Tofauti ya dini. Swali la Musingi ni ‘kwa nini kuna dini ama imani tofautitofauti na zingine zinapingana juu ya namna ya njia sahihi ya kumuelekea...
  20. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Kabla hatuja wafundisha "Wasiomini Mungu" juu ya uwepo wake, basi inafaa sisi "Tunaoamini Mungu" tumalize tofauti zetu

    Scenario Naomba ni declare interest "Mimi ni mkristo Tena Mlutheri". Hivi lipokuja swala la kuwaaminisha hawa wasio amini Mungu yupo "Kwanini sisi Tunaoamini Mungu yupo TUSIWE NA SAUTI MOJA?" Flash back Nimekuwa nikisoma nyuzi nyingi tu juu ya wasio amini Mungu yupo wakitoa madini yao. Lakini...
Back
Top Bottom