mungu

  1. JumaKilumbi

    JamiiForums Tanzania Mungu hayupo? Atheist njooni mthibitishe

    Dini zilikuwepo tangu enzi na enzi, jamii za wanaadamu zimekuwa zikiabudu vile wanavyoviita Mungu kwa miaka mingi sana hili halina ubishi. Uwepo wake miaka mingi haina maana ni sahihi kuwepo wake maana hata uongo usipodhihirika huonekana ukweli miaka yote mpaka ukweli utakapofahamika. Ila kuna...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wema: Mungu ananitendea miujiza

    Msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu, amesema anamshukuru Mungu kwa kumtendea muujiza, kwani mambo yake hivi sasa yanaenda vizuri. “Nafurahi mno mwezi huu, kwa sababu baadhi ya vitu vyangu vinakwenda sawa kama ninavyotaka na nilivyopanga, kiufupi Mungu amenitendea miujiza. “Jamani mniache tu...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ifahamu SIRI hii kubwa kutoka kwa Mwenyezi Mungu kwa faida yako maishani

    Ukiona popote pale (Mitandaoni pia Kunahusika) Unachukiwa na Wanaokujua, Wasiokujua hadi wale ambao kamwe hawajawahi Kuishi nawe ila Wanaamini mabaya yako ya Uwongo na Kufitinishwa na Maadui zako jua haya yafuatayo: 1. Umebarikiwa mno na Mwenyezi Mungu kuliko Walivyobarikiwa Wao na Shetani. 2...
  4. Checnoris

    JamiiForums Tanzania Wanaume Mungu anatuona

    Nimekaa hospital moja hapa mjini naona wakinamama na mimba zao. Hakuna hata aliyeambatana na mume au aliyesababisha mimba. Mbaya zaidi wamama Afya hazijakaa vzr kabisa, wako kinyonge nyonge kabisa. Tujaribu kuwana kaupendo kidogo. Na tujue Wanaume wote na tabia zetu hizi za kutekeleza wenzetu...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mungu nisaidie nitimize ndoto yangu ya kumsaidia mtu mmoja tu abadilishe maisha, akawe na maisha mazuri kabisa

    Kila mtu ana ndoto yake. Wapo ambao ndoto zao ni kuwa wafanyabiashara wakubwa wenye mapesa, wapo wenye ndoto ya kuwa maraisi, wapo wenye ndoto za kuwa na upako mkubwa kupitiliza, wakiliga chafya wafu wafufuke. Kwa kweli furaha yangu niweze kumsaidia mtu mmoja, awe mume au mke, mwana JF au...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Elewa msingi na ubora wa wanaume wanaoitwa MARIO ili uanze kuwaheshimu kuanzia leo, Utajiri ni mipango ya Mungu pasipo kujali jinsia

    Habari wadau! Kumekuwepo na lugha chafu sana kwa wanaume wanaozidiwa kifedha na wake zao! Hata imefikia kubatizwa majina mengi mazuri kama Vile Mario, kitonga au ganda la ndizi! Ni majina mazuri kwasababu kisaikolojia majina hayo yameundwa kwa misingi ya Wivu, yaani mtu yoyote anayesikia raha...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Naichukia sana CCM mpaka napandwa na wazimu

    Hata ukiniamsha usiku ukaniuliza nn chanzo cha matatitizo ya kila aina (kiuchumi, kijamii na kisiasa) hapa nchini nitakujibu kuwa chanzo ni CCM. Hivyo naichukia CCM kwa moyo wangu wote na ninawachukia sana wanaccm kiasi kwamba niko kwenye hatua mbaya sana. Nikimuona mwanaccm jazba inanipanda...
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukimkiri Mungu na kumtumaini kamwe hawezi kukuangusha

    Ruto alimkiri na kumtumaini Mungu hadharani, matokeo yake mwulize Uhuru Kenyata na Raila Odinga. Magufuli alimkiri pia Mungu mbele ya dunia yote kuwa Mungu atatuponya na corona wala hakuna haja ya chanjo na barakoa! Leo hii Watanzania tuko salama wakati dunia imepita kwenye hali ngumu sana...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tumetoka pagumu kweye uvuli wa mauti, asante Mungu!

    Tumetoka kwenye tanuru la mauti. Asante bwana Mungu kwa wema wako. Msikilize "Mungu" wa Dunia wa 2015- 2021
  10. nyboma

    JamiiForums Tanzania Tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi ni ukumbusho tosha kuwa Mungu anaishi

    Tuishi kwa kwa kupendana. Maana ghadhabu ya Mungu kwa wale watoao uhai wa mtu huwa ni kubwa mno. Uzi tayari
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kama Tundu Lissu hakufa kwa risasi zote zile basi jambo zito sana Mungu atafanya katika siasa za Taifa hili

    Mh. Lissu kwa risasi alimiminiwa alipaswa kufa ila katika hali ya giza nene na mtikisiko katika siasa za Tz msg ikarudi marehem amefufuka. Wengi wetu tunaweza kusema mengi sana ila kiza kinene kimefunika hili tukio ambalo naamini limeandikwa kwa pen ya moto. Uwenda kikawa moja ya kisa...
  12. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuombeni Mungu, OPEC huenda wakasitisha uzalishaji wa mafuta mwezi huu

    Opec wana kikao leo kitachojadili ama wasitishe uzalishaji wa mafuta ili kujibu tuhuma za nchi za Magharibi za wao kutokuzalisha mafuta kwa wingi ili wamlinde Urusi apate kuuza mafuta yake. Vilevile Opec hawafurahishwi na bei ya chini ya mafuta iliyopo sokoni. Ndugu zangu Watanzania tumwombe...
  13. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Kesho Kenya Mungu anapinduwa meza ya mzaliwa wa kwanza kama alivyofanya kwa Esau akampa Yakobo

    Igweeeeeee!!!! Habari zisizo rasmi ila zipo rasmi kwa manabii nikuwa kesho tarehe Nne mwezi wa Tisa huko Kenya Mungu anaenda pinduwa meza kama alivyo fanya kwa mzaliwa wa kwanza Esau... Nihivi kuna story moja kwenye Bible inatisha sana ambapo Mungu aliunyang'anya uzaliwa wa kwanza wa Esau...
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mch Lusekelo ya kaiskari mpe kaiskari na ya Mungu Mungu mpe Mungu. Tozo na kodi ziwe halali kulingana na kanuni. Dunia nzima hakuna double taxation

    Kodi inatakiwa isikatwe mara mbili. Kodi au tozo inatakiwa iwe halali na isiwe mzigo kwa mlipaji. Acha kutetea maonevu kwa njia ya tozo na kodi
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mungu wakumbuke watanzania, likumbuke taifa lako teule Tanganyika

    Mungu usiruhusu kikundi cha watu wachache kuamua juu ya watanzania ila wafungue watanzania macho ili waamie hatima yao na taifa lao wenyewe. Iwe ni kwa nguvu ya mwanadam au taifa lolote lile kamwe wasifanikiwe amua juu ya watanzania. Mungu ikumbuke ardhi ya watanganyika, ardhi uliyowapa wazee...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wengi huogopa kupoteza usichana wao kwa kuhofia siku ya kwanza ya ndoa yao na si kuwa na hofu ya Mungu

    Mambo vipi Sina uwandish mzuri ila nadhan nitakuwa nimeeleweka kwenye ili. Sio wanawake wote wanaotunza bikra kwa sabab ya hofu ya Mungu wengi wao huogopa kupoteza usichana wao kabla ya ndoa kwa kuhofia endapo wataolewa na mtu tofaut ambae aliemtoa usichana wake. Mwanamke hupitia wakat mgumu...
  17. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mama Mwantumu muogope Mungu. Hata kama si kiasi hiki wajameni!

    Mimi asili ya kwetu tunagonga sana ugali. Tunagonga ugali kinyama hasa halafu tunapiga kazi mpaka basi. Huyu mama Mwantumu nashangaa kaugali kake kama ngumi na simalizi. Nimefanya huu utafiti leo mara ya 4. Siku za mwanzo nlisema pengine kuna hesabu nakosea wakati wa kula. leo nimekaa na kuanza...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanawake, kama huwezi mtunza mtoto pelekeni kwa Baba zao. Msisumbue watu kwa upuuzi wenu

    WANAWAKE KAMA HUWEZI KUMTUNZA MTOTO PELEKENI KWA BABA ZAO. MSISUMBUE WATU KWA UPUUZI WENU! Anaandika, Robert Heriel Unang'ang'ania kuishi na mtoto alafu huna uwezo wa kumtunza huo si upuuzi. Kama huwezi kumtunza Mtoto na unapenda kuishi naye basi kuwa na adabu, kuwa humble Kwa Baba WA mtoto...
  19. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asisitiza kwa mara nyingine "hakuna kumuweka mtu mahabusu kama upelelezi haujakamikika"

    Nawasalimu kwa JMT, Mnyonge hanyongwi na haki anapewa. Rais SSH kwa mara nyingine amesisitiza kwa Polisi kwamba ni Marufuku kumuweka mtu ndani yaani Mahabusu Kama Upelelezi Haujakamikika. Hii ni mara ya pili anaongea jambo hili na ameshaliweka kwenye sheria za Polisi. Ni nadra sana hapa...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tusipende kutumia msemo kwamba Mungu amempa huyu na fulani hajampa, Mungu hana upendeleo na huenda anahusika kidogo sana kwenye mafanikio yetu duniani

    Msemo huu hupendwa sana kutumika hasa na watu kanda ya mikoa ya pwani ya bahari. Utasikia hili sio fungu langu, fulani kapewa fulani kanyimwa. Hizi ni fikra za kimasikini sana za kumfanya mtu anafikia mpaka kuridhika na hali yake na kushindwa kupambana kwa njia tofauti za kufikia malengo yake...
Back
Top Bottom