mungu

  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Qatar yapiga marufuku mapenzi ya jinsia moja, ulevi na biashara ya ngono wakati wa Kombe la Dunia

    Wapenzi wa Soka ambao watakuwa nchini Qatar kwa ajili ya Kombe la Dunia la Novemba 2022 wamepewa maagizo ambayo ni lazima wayafuate ili kufurahia kukaa kwao wakati wa mashindano ya kimataifa ya soka. Zifuatazo ni hatua muhimu za tahadhari: Mapenzi nje ya ndoa ni kinyume cha sheria nchini...
  2. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu alikosa njia nyingine ya kufikisha ujumbe tofauti na Vitabu?

    Venezuela! Mungu anatumia vitabu/maandishi kufikisha ujumbe wake, iwe kupitia biblia au Quran. Tatizo la hii njia ni kuwa inategemea utafsiri/enterpretation ya binadamu. Tatizo la binadamu ni kuwa tunatofautiana uelewa na uwezo wa kutafsiri. Unaweza kuchukua wanazuoni wawili wote wenye elimu...
  3. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Hivi wanyama walimfanya nini Mungu?

    Bahamas! Kwasisi binadamu hapa duniani, chanzo cha kuteseka na maumivu yote tutamlaumu babu yetu Adam ambaye alikosea kula apple kule bustanini. Sasa kwa wanyama, wao kosa lao ni nini? Kwanini swala aliwe na chui? Kwanini Nyumbu aliwe na Simba? Kwanini Pundamilia wakose majani? Kwanini Kuku...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Mungu yupo au ni mipango ya watu kujipatia ajira na pesa?

    Kwema wakuu, kwa hali ilivyo najiuliza je kweli Kuna Mungu au ni business za watu kutufanya mazuzu na kula pesa zetu?
  5. Mynd177

    JamiiForums Tanzania Je, baraka za Mungu ni mafanikio ya kimwili kama utajiri au zipo nyingine tofauti na utajiri?

    Wakuu, habari za leo, natumai Jumapili iko poa kwenu, Kama kichwa kinavyosema, je, baraka za Mungu tuzihesabu kupitia mafanikio yetu ya kimwili kama pesa, majumba, magari ya kifahari, mke mrembo, simu kali na mengine mengi au kuna namna nyingine anaweza kuwa anatubariki ila sisi hatujui? Kwa...
  6. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Ombeni Neema ya Mungu iwaguse na sio kutukana wazee

    Mungu ni Mwema mkiendelea kutukana wazee , Fahamu kuwa ndo mnazidi kuharibu nchi na Kesho zenu.
  7. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Tunatengeneza Tanzania gani kwa kudhihaki waliokufa?

    Kauli ya Mzee Makamba ya kusema mungu anawaua wabaya na kuwaacha wema na akawataja majina imeniumiza sana binafsi,baada ya kauli hiyo nikawakumbuka wapendwa wangu walioufa,kwa namna ya pekee nikamkumbuka Hayati Rais John Pombe Magufuli aliyekufa akilitetea Taifa kwa damu na nyama hakulala...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Kuna watu walianza kampeni za kubadili Katiba, Mungu akawajibu. Inaonekana watu hawajifunzi

    Ama kwa kutumwa au kwa tabia ya uchawa, kuna watu walianza kampeni ya kubadili katiba ili Mwendazake aendelee kutawala hata baada ya muda wake kwisha. Ni bahati mbaya watu hatujifunzi kutokana na makosa kwani tayari na wengine wameanza kurudia makosa yale yale utadhani wameongea na Mungu...
  9. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Hoja ya kwamba hamna Mungu muumba ni hoja Dhwaaif

    mbele yako akiwa na mwili wake unao jumuisha chembe (cells) takriban trilioni 37, na kila seli ina madaraja, viwanda, na mfumo tata wa kuweka misimbo ambao umefafanuliwa katika kanuni za urithi. Na anakutazama kwa macho yake ambayo yana mfumo tofauti wa kupiga picha wa rangi, kwa usahihi wa...
  10. Desierto

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane kazi ambazo ukizifanya ni kumtegemea Mungu

    Mimi naanza na udereva wa magari masafa marefu, hasa nje ya nchi.
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, Unafahamu Kukosea pia ni Makusudi ya Mungu? Fuatilia Kisa Hiki

    Naamini nyote mwabuheri wa afya. Siku moja iliwadia ya safari yangu ya kuelekea maeneo Minziro na Bus la Kampala Coach la Bukoba Baada ya kufika ubungo nikakosea nikapanda Bus kampuni hio hio ila linaloishia Kampala Mijini pale Jinja Road mbele kidogo ya Makutano ya Kuelekea Port bell, ila kabla...
  12. Bundakwetu

    JamiiForums Tanzania Mungu nisaidie mwakani ninunue bajaji ya abiria

    Mwaka ujao panapo majaaliwa yake Mungu (wa mbinguni) namuomba anisaidie uzima na afya njema niweze kufanya kazi kwa bidii ili ninunue bajaji. Naipenda sana hiyo kazi na kwa sasa ni moja ya ndoto yangu kumiliki bajaji yangu, eee Mwenyezi Mungu nisaidie.
  13. Championship

    JamiiForums Tanzania Simu ya kinabii iliyopelekea Rais wa nchi kurudisha jengo la kanisa lililoporwa na wasaidizi wake

    Miaka fulani mkuu wa polisi, katibu wa chama tawala na jaji mkuu wa nchi moja kusini mwa jangwa la sahara waliamua kuchukua jengo la kanisa kupitia kesi ya kutengenezwa. Askofu Oyedepo alipoambiwa akasema, "Mungu ni mkubwa na anaweza kujilinda na kujitetea yeye mwenyewe." Akawaambia viongozi wa...
  14. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Jinsi maombi yanavyoshusha Imani yako kwa Mungu

    Tumezoea kudhani kuwa maombi yanakuza Imani. Ni kweli tumesisitizwa kuomba, lakini asilimia karibu 99 ya Sala zako hazipaswi kuwa Maombi Bali Shukrani. Kuombaomba na mbaya Zaidi kuombewa kunapumbaza na kushusha Imani. NINI KITAONGEZA IMANI YAKO? SHUKRANI. Unatakiwa kushukuru Muda mwingi Kwa...
  15. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Je, ukiwa unaomba ama ukitaka kuomba, Mungu anakua anajua unachotaka kuomba ama hajui hadi uombe akusikie?

    Biblia inasema Mungu anajua kila kitu, all knowing, alpha na Omega, mwanzo na mwisho, mjuzi wa vyote. Sasa nakua najiuliza, kabla ya kuomba ama wakati unaanza kuomba, je mungu anakua anajua in advance unachotaka kuomba ama anakua hajui hadi uombe kwanza? Na kama anakua anajua utakachokiomba...
  16. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hazungumzi tena na watu wa leo?

    KWA NINI MUNGU HAZUNGUMZI TENA NA WATU WA LEO? Leo 14:45hra 27/11/2022 Je unaweza kuitambua sauti ya Mungu!? Je ukipata ndoto au maono utaweza kutambua huyu azungumzae nami ni nabii Musa, ama Nabii Elia ama ni Yesu Kristu? Unapaswa kuwajua awa kwa kuwasoma kwenye maandiko jinsi walivyo ili...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Binadamu anapokufa roho yake humrudia Mungu au huenda mbinguni au jehanamu?

    Kitabu cha Mhubiri, moja ya vitabu vya biblia, sura ya 12 aya ya 7 inasema baada ya kufa roho ( nguvu/kani ya uzima iliyo ndani ya mwanadamu) humrudia Mungu aliyeitoa. Mafundisho ya roho ya mwanadamu kwenda Mbinguni/paradiso au jehenamu baada ya kufa yametoka wapi?
  18. Chura

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kizazi hiki mbona hawana hofu ya Mungu jamani?

    Nisikuchoshe ndugu yangu, ngoja nizame mazima kwenye mada kuna mwananmke nilikua nampenda sana (ndiyo kabla ya jana alikuwa kila kitu kwangu) anaitwa G, tulikuwa kwenye mahusiano mazito tangu 2019 mpaka jana tulipoweka nukta. Kilichonichosha mpaka nikaandika uzi huu ni kuwa, jana aliniomba...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nikifikiria Dunia, Mwenzenu najijutia. Najikuta nakufuru Mungu. Kwanini nilizaliwa

    Nikifikiria Dunia Mwenzenu najijutia, Nawahi kukufuru Mungu kwa nini nilizaliwa. Lakini sawa. Mola ndivyo alivyotupangia. Jambo akipanga Mola vigumu kulipangua. Kinachoniuma roho nikimtizama mwanangu Pili anavyonitegemea Huwa najiuliza sana kitu gani nitamgaia. Au nitakapofariki mwanangu...
  20. mwengeso

    JamiiForums Tanzania Madaraka ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mjadala ulioshika kasi nchini ni madai ya Katiba mpya, hasa kutoka vyama vya upinzani. Naweka bandiko hili baada ya kusoma michango wa ASKOFU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe mkoani Kagera, Dk. Benson Bagonza. Nanukuu baadhi ya michango yake: Hoja ya...
Back
Top Bottom