Mungu atawaadhibu kwa dhambi za wazazi wenu, hata kizazi cha tatu mpaka cha nne

Adhabu kwa watoto na kwa wajukuu kwa dhambi za mtu mwingine kweli hii imekaaje? Chief
Inafikirisha lakini Mungu ni mwenye haki, upendo na mwingi wa msamaha. Kikubwa ni kufanya toba ya kweli.
Watu wengi sana wanateseka na mambo ambayo hawakuwahi kuyafanya.

Tunalipa madeni ambayo hata hatukuwai kukopa. Chanzo ni waliyoyafanya waliotutangulia.
 
Inafikirisha lakini Mungu ni mwenye haki, upendo na mwingi wa msamaha. Kikubwa ni kufanya toba ya kweli.
Watu wengi sana wanateseka na mambo ambayo hawakuwahi kuyafanya. Tunalipa madeni ambayo hata hatukuwai kukopa. Chanzo ni waliyoyafanya waliotutangulia.

Kabsa kabsa; tunalipa madeni ambayo hatujawahi hata kuyakopa: inaumiza
 
Inafikirisha lakini Mungu ni mwenye haki, upendo na mwingi wa msamaha. Kikubwa ni kufanya toba ya kweli.
Watu wengi sana wanateseka na mambo ambayo hawakuwahi kuyafanya. Tunalipa madeni ambayo hata hatukuwai kukopa. Chanzo ni waliyoyafanya waliotutangulia.
Chaajabu Mungu; anasema kuwa sitakosa kuwaadhibu yaani anasisitizia kuwa lazima atawachapa tu kivyovyote vilee lazima zigo la misumali liangukie migongoni kwa watoto na wajukuu ambao wazazi wao wamemkosea
 
Kuna katoto kalemavu kana nifikirisha sanaa kana mwaka wa tano sasa kanaenda wa sita kapo tu kitandani huwa kanalishwa kanaogeshwa kanarudiswa kitandani hakaoni japo kuwa kana macho mazuri ni kitoto cha kulala tu hakaongei daaah najiuliza pengine ndio inaweza ikawa laana yenyewe hiyo Mungu aliyompa kutokana na dhambi za wazazi wake!! Sasa najiuliza chenyewe katoto kanajiteteaje? Sasa wakati tangu katoto hakaoni wala hakatembei ni kuumwa tu tangia kazaliwe daaah
 
Chaajabu Mungu; anasema kuwa sitakosa kuwaadhibu yaani anasisitizia kuwa lazima atawachapa tu kivyovyote vilee lazima zigo la misumali liangukie migongoni kwa watoto na wajukuu ambao wazazi wao wamewakosea
Licha ya hivyo bado Mungu wetu ni mwingi wa rehema na msamaha.

*Mungu yuko tayari na anasubiri kumsamehe mtu anaye omba msamaha imeandikwa Zaburi 86:5 "Kama wewe Bwana u mwema, umekuwa tayari kusamehe, na mwingi wa fadhili kwa watu wote wakuitao".

*Kwa sababu nitawasamehe maovu yao, Na dhambi zao sitazikumbuka tena.
Waebrania 8:12
 
Kuna katoto kalemavu kana nifikirisha sanaa kana mwaka wa tano sasa kanaenda wa sita kapo tu kitandani huwa kanalishwa kanaogeshwa kanarudiswa kitandani hakaoni japo kuwa kana macho mazuri ni kitoto cha kulala tu hakaongei daaah najiuliza pengine ndio inaweza ikawa laana yenyewe hiyo Mungu aliyompa kutokana na dhambi za wazazi wake!! Sasa najiuliza chenyewe katoto kanajiteteaje? Sasa wakati tangu katoto hakaoni wala hakatembei ni kuumwa tu tangia kazaliwe daaah
😔 yeye pekee ndie ajua sababu ya hayo yote. Inaumiza sana lakini maisha ni fumbo
 
Kuna katoto kalemavu kana nifikirisha sanaa kana mwaka wa tano sasa kanaenda wa sita kapo tu kitandani huwa kanalishwa kanaogeshwa kanarudiswa kitandani hakaoni japo kuwa kana macho mazuri ni kitoto cha kulala tu hakaongei daaah najiuliza pengine ndio inaweza ikawa laana yenyewe hiyo Mungu aliyompa kutokana na dhambi za wazazi wake!! Sasa najiuliza chenyewe katoto kanajiteteaje? Sasa wakati tangu katoto hakaoni wala hakatembei ni kuumwa tu tangia kazaliwe daaah[/

@half american Kwa huyu anaomba msamaha vipi? Au anajisaidia vipi? Na unakuta na mzazi wake alipomzaa tu alifariki
 
Back
Top Bottom