Hata ukiniamsha usiku ukaniuliza nn chanzo cha matatitizo ya kila aina (kiuchumi, kijamii na kisiasa) hapa nchini nitakujibu kuwa chanzo ni CCM.
Hivyo naichukia CCM kwa moyo wangu wote na ninawachukia sana wanaccm kiasi kwamba niko kwenye hatua mbaya sana.
Nikimuona mwanaccm jazba inanipanda...
Ruto alimkiri na kumtumaini Mungu hadharani, matokeo yake mwulize Uhuru Kenyata na Raila Odinga.
Magufuli alimkiri pia Mungu mbele ya dunia yote kuwa Mungu atatuponya na corona wala hakuna haja ya chanjo na barakoa! Leo hii Watanzania tuko salama wakati dunia imepita kwenye hali ngumu sana...
Mh. Lissu kwa risasi alimiminiwa alipaswa kufa ila katika hali ya giza nene na mtikisiko katika siasa za Tz msg ikarudi marehem amefufuka. Wengi wetu tunaweza kusema mengi sana ila kiza kinene kimefunika hili tukio ambalo naamini limeandikwa kwa pen ya moto.
Uwenda kikawa moja ya kisa...
Opec wana kikao leo kitachojadili ama wasitishe uzalishaji wa mafuta ili kujibu tuhuma za nchi za Magharibi za wao kutokuzalisha mafuta kwa wingi ili wamlinde Urusi apate kuuza mafuta yake.
Vilevile Opec hawafurahishwi na bei ya chini ya mafuta iliyopo sokoni.
Ndugu zangu Watanzania tumwombe...
Igweeeeeee!!!! Habari zisizo rasmi ila zipo rasmi kwa manabii nikuwa kesho tarehe Nne mwezi wa Tisa huko Kenya Mungu anaenda pinduwa meza kama alivyo fanya kwa mzaliwa wa kwanza Esau...
Nihivi kuna story moja kwenye Bible inatisha sana ambapo Mungu aliunyang'anya uzaliwa wa kwanza wa Esau...
Mungu usiruhusu kikundi cha watu wachache kuamua juu ya watanzania ila wafungue watanzania macho ili waamie hatima yao na taifa lao wenyewe.
Iwe ni kwa nguvu ya mwanadam au taifa lolote lile kamwe wasifanikiwe amua juu ya watanzania.
Mungu ikumbuke ardhi ya watanganyika, ardhi uliyowapa wazee...
Mambo vipi
Sina uwandish mzuri ila nadhan nitakuwa nimeeleweka kwenye ili.
Sio wanawake wote wanaotunza bikra kwa sabab ya hofu ya Mungu wengi wao huogopa kupoteza usichana wao kabla ya ndoa kwa kuhofia endapo wataolewa na mtu tofaut ambae aliemtoa usichana wake.
Mwanamke hupitia wakat mgumu...
Mimi asili ya kwetu tunagonga sana ugali. Tunagonga ugali kinyama hasa halafu tunapiga kazi mpaka basi.
Huyu mama Mwantumu nashangaa kaugali kake kama ngumi na simalizi. Nimefanya huu utafiti leo mara ya 4. Siku za mwanzo nlisema pengine kuna hesabu nakosea wakati wa kula. leo nimekaa na kuanza...
WANAWAKE KAMA HUWEZI KUMTUNZA MTOTO PELEKENI KWA BABA ZAO. MSISUMBUE WATU KWA UPUUZI WENU!
Anaandika, Robert Heriel
Unang'ang'ania kuishi na mtoto alafu huna uwezo wa kumtunza huo si upuuzi.
Kama huwezi kumtunza Mtoto na unapenda kuishi naye basi kuwa na adabu, kuwa humble Kwa Baba WA mtoto...
Nawasalimu kwa JMT,
Mnyonge hanyongwi na haki anapewa.
Rais SSH kwa mara nyingine amesisitiza kwa Polisi kwamba ni Marufuku kumuweka mtu ndani yaani Mahabusu Kama Upelelezi Haujakamikika. Hii ni mara ya pili anaongea jambo hili na ameshaliweka kwenye sheria za Polisi.
Ni nadra sana hapa...
Msemo huu hupendwa sana kutumika hasa na watu kanda ya mikoa ya pwani ya bahari. Utasikia hili sio fungu langu, fulani kapewa fulani kanyimwa.
Hizi ni fikra za kimasikini sana za kumfanya mtu anafikia mpaka kuridhika na hali yake na kushindwa kupambana kwa njia tofauti za kufikia malengo yake...
Ndugu zangu nadhani sote tumeendelee kusikia kile kinachojiri huko mkoani Kilimanjaro ambako Mh. Rais wetu yupo huko. Ndugu zangu ukimfuatilia Mh. Rais wetu hata kabla ya kuwa Rais wetu ni kiongozi aliyekuwa akipenda kuona haki ikitendeka kwa watu wengine bila kujali hali zao.
Hali hiyo na...
Amani ya Bwana na iwe nanyi nyote, Wakuu moja kwa moja kwenye mada nina maswali yangu yenye aa,ba na che, ambayo nitayawasilisha kwenye huu Uzi na kama una uelewa nayo ni vyema ukayajibu.
1:MUNGU wetu ni mweza wa yote, Je kwanini hakumuua Shetani? Badala yake akamshusha Duniani akae pamoja na...
Kwanza namshukuru Mungu kwa kunipa uzima na afya, pia natumia fursa hii kukusalimia mpendwa wangu. Mimi naitwa Seif Ahmed Sambila mkazi wa kijiji cha Hanihani wilaya ya Igunga mkoa wa Tabora, kazi yangu kubwa ninayojishughulisha nayo ni kilimo, ni kazi yangu kubwa ambayo inaniingizia kipato na...
Kuna mambo ukiyanglia kwa jicho la nyama. Ni ngumu kuyaelewa....
Nikitafakari majitoleo yake Kwa watanzania nahisi alikuwa ni Malaika......
Dunia nzima kwa Sasa hakuna kiongozi kama yeye. Uzalendo wa namna hii tuliuona Kwa kina Martin Luther king Jr na John Kennedy......
Kwa Sasa watu...
1. Usivichukulie "POA" vitu vidogovidogo kwasababu vitakugharimu.
2.Usiseme Uongo kwa kumfurahisha mtu ni heri kumuumiza kwa ukweli.Hio itasawasaidia kuokoa muda na maumivu hapo baadae.
3.Wanadamu wa leo hawaaminiki na hawazoeleki.Usimwambie kila mtu siri za maisha yako hasa katika maswala...
Habari!
Sasa ni wakati muafaka wa kuachana na misaada kutoka nje, maana nao huko kwao hali ya uchumi imekaza.
Misaada inashusha heshima, mtu anayekusaidia hata akiongea upuuzi lazima ucheke ili umridhishe.
Options ni 2 tu kwasasa.
1. Kutumia rasilimali zetu kama gas, makaa ya mawe, dhahabu, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.