Kama mzazi, imagine Binti yako amerudishwa nyumbani kutoka shule kwa Maswala kadhaa mfano kuita mzazi au kurudishwa school fees n.k. Badala ya kufika nyumbani, akaamua kwenda sehemu fulani .. mara Paap, whistleblower na wambea wa mtaa wanatoa Codes, mahali Binti yako ameingia na njemba.
Njemba...
Yes! nimesoma kitabu chote kimenibariki sana kwa Neno la Mungu, sijaona hata Maneno au habari mbaya zilizo na viashiria vya ushoga hakika. Nimebaki najiuliza waliompa taarifa Mkuu wa mkoa JE ni rangi ya nje ya kitabu au rangi ya mipira maana pia Haina rangi za upinde wa mvua (Rainbow)
Kwa...
From X
Umetimiza siku 340 leo Gerezani.
Aliyekubambikiza kesi ya UONGO yuko busy kufanya maigizo ya kuasili watoto huku mtaani ili aonekane ana upendo kwenye macho ya dunia.
Uzuri ni kwamba historia haidanganyi.
IKO SIKU!.
Ni kipaji cha hali ya juu kama sio upendo wa agape. Niwapongeze mnaoenda uwanjani kuangalia mechi za usiku
Mbarikiwe sana sana
Mnaofunga mpoo uwanjan nanyi Comgola yenuuuu
A:UPANDE WA WENYE HAKI
Mith 11:20
Tunaitwa kuwa wakamilifu katika utume wetu, tukitenda yatupasayo, katika njia sahihi. Ni katika kuwa wenye haki tu ndipo tutaweza kuurithi uzima wa milele.
Yakobo 5:16
Maombi ya mtu mwenye haki yana nguvu na huleta matokeo.
Zaburi 34:15
Macho ya BWANA...
MUNGU ANAMPA KILA MTU KWA NAMNA YAKE.
Mungu wetu ni mwaminifu sana na anampa kila mtu kwa namna yake na si kwa jinsi tunavyotaka sisi binadamu.
Mungu umpa kila mtu kulingana na hekima yake, wakati wake, na mpango wake maalum kwa maisha ya kila mmoja wetu.
Kama ilivyoelezwa katika Biblia
1...
Yule Dogo ambaye Baba yake aliwai kuwa Mkuu wa 3 kwenye Taifa la Mcharo aliwai jisahau kuwa huwa anajitambulisha kama Atheist, akajikuta kaandika kitu kama hiki.
Baada kuwa confronted na Umma wa JF, kumtuliza ilikuwa ni kipengere
Dimension nini, ni uwezo au ufahamu wa binadamu kuusu Mungu.Binadamu tuna level fulani ya ufahamu kuusu Mungu.Ufahamu wa juu wa binadamu mara nyingi unatokea pale mtu anapopitia greater loss(Kupoteza au Changamoto ngumu za kimaisha)
Dimension hizo ni
-3D
-4D
-5D
3D(dimension)
Hii ni level...
Hapo kale,
Jamii nyingi walipenda mno Pombe, mpaka ikafikia mahali vitabu vya dini vikatamka wazi ahadi ya uwepo wa mito ya mvinyo huko Mbunguni.
Yesu pia aliwahi tengeneza divai katika harusi huko kana ya galilaya.
Kizazi cha sasa watu wanapenda mno kudinyana.
Ahadi inayotrend ni ya mabikra...
Mambo ambayo Mungu akitaka kukuinua na kuwa mtu mkubwa(born for greatness) anakubariki
1.Mungu anakupa heshima ambayo watu watakupenda na kukuamini
2.Upako(power), Mungu atapokuinua atakupa uwezo wa kutenda miujiza au kubadilisha tabia za watu na kuwa bora
3.ushawishi(influence), Mungu...
Hivi ulishakaa na kujiuliza Mwenyezi Mungu ametokea wapi?
Na ilikuwaje kuwaje akawaza kuumba .
Je maisha ya upweke aliishi kwa muda gani kabla hajaumba malaika ,wanadamu na majini na viumbe wengine.
Hiyo infinity past unaichukuliaje?
Nini kitatokea hao aliowaamini nao wakakengeuka? Hapa...
Next level nini, ni kiwango ambacho Mungu anakuinua kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyengine yenye ukubwa na mamlaka.
Je ni watu gani Mungu uwainua kuwapeleka next level ya maisha?
Wanaitwa choosen one au black sheep wa family, Mungu uwainua watu hao hili kuvunja generation curse au...
Kuna shule moja huko Iran ilipigwa na kombora na kusababisha vifo vya mamia ya wanafunzi.
Watoto wadogo wasio na hatia yeyote wanauwawa kinyama na kikatili kabisa. Halafu hapohapo unaambiwa kuna Mungu mwenye upendo na huruma.
Huyo Mungu mwenye upendo na huruma miaka nenda rudi, anaaminiwa na...
Prayer for YOU!
Father God,
Tonight I lift up my Jf family to You. Every mother, every father, every business owner, every leader, every person carrying silent battles that nobody else sees.
Lord, Your Word says You give sweet sleep. So I declare sweet sleep over their homes tonight.
For the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.