mungu

  1. Nyankurungu2020

    Hakuna Rais aliyewahi kuua raia wake akamaliza utawala wake bila kuuona mkono wa Mungu

    Mungu haonekani lakini watu huwa wanamuona kwa matendo yake. Mobutu Seseko, Idd Amini, Blaise Kompaore, na wengine wengi ni mfano ulio wazi. Wote hawa walimaliza kwa mwisho mbaya .
  2. Tajiri Tanzanite

    Mama Tibaijuka Mungu anakupenda sana ila kuwa makini

    Hapo vip!! Mama Tibaijuka binafsi mimi sio mtu ambaye napenda sana kufuatiliaaga mambo yako wala kukufahamu sana ila leo nashangaa nimeota ndoto juu yako. Nimeota like kama umetengenezewa kesi na watu wasio kupenda na nikesi ya uwongo,ila nikawa nimesikia watu pembeni wakisema kwenye hiyo kesi...
  3. Khanji kapoor

    Ujumbe wangu niliopewa na Mungu kuhusu balozi polepole

    Sio kawaida kwangu Jambo moja kuliota Mara nyingi kiasi hiki mara nyingi nimeota balozi polepole yupo hai kitu kilichonifanya kupandisha uzi ni kuwa sauti ya Mungu imenitumia Mimi kuwafikishia ujumbe wenye nguvu kwa sasa Mungu amenituma nifikishe ujumbe kwenu kuwa mumuachie huru balozi...
  4. Fbn

    South africa ni bora usimuogope mungu ile nchi inavyotisha.

    Leo 😄 ni mekumbuka December Maeneo ibro street pale gauteng jozi. Kipindi cha December ni mwendo wa kupombeka na mziki mkubwa. Wengi wanaita mwezi wa mapumziko wa kurudi makwao wanarudi kama wa zambabwe,zambia,botswana na malawai. Ile nchi bora usimuogope mungu maana ukimuogopa utajikuta...
  5. Waufukweni

    Gen Z kuhusu viongozi wanapofariki: Hatuhuzunishwi, kazi ya Mungu yatupasa tufurahie

    Ukisikiliza hii video ya huyu Gen Z utaona mwendelezo wa tabia isiyo ya kawaida katika jamii, hasa viongozi wanapofariki, wananchi badala ya kuomboleza hucheka na kufurahi. Katika siku za hivi karibuni, vifo vya viongozi wa umma vimekuwa vikikabiliwa na kejeli, mzaha na kubezwa badala ya huzuni...
  6. Carlos The Jackal

    Nahisi kuna Project ya wanamtandao kutumia Manabii kutoa tabiri zenye lengo la kuipooza Mioyo ya Wananchi

    Nianze Kwa kuwataka Wananchi, Hakuna Kupoa , Hakuna Kumwachia Mungu, tupambane ,tukimuomba Mungu ,Maandamano yakiendelea bila Kikomo. Ninahisi, Msululu wa Hizi Nabiii, lengo lake ni Kupooza mionyonya Watanzania, Wahisi kwamba Wao kama Watanzania hawana Wajibu wa Kupigania Nchi yao, Wananchi...
  7. Q

    Mungu akaufanya moyo wa 'Farao' kuwa mgumu ili wana wa Tanganyika wapate kupona

    BWANA akamwambia Musa, Ingia wewe kwa Farao; kwa kuwa mimi nimeufanya moyo wake mzito, nipate kuzionyesha ishara zangu hizi kati yao. Kashauriwa karibu na kila mtu, wape watu wako Haki wanayoomba, yeye akawajibu, Haki ipi wanayoomba. Viongozi wa Dini mbalimbali wamemwambia, wape wananchi wako...
  8. Fbn

    D9 sio wazee, sio watu wazima, sio vijana, sio watoto kuna mungu kasema

    Kuna dalili zimeshaanza kuonekana huyu mfungeni kamba kama msipo fanya hivyo mnaenda kujifunga wenyewe. Utekaji umekuwa mkubwa sana yani leo hata ambaye sio mpinzani anatekwa. Ili kundi kuna siku tukija kushtuka familia za wao nazo zitatekwa. D9 ndio itakuwa machinjio ya kujuana kila aina ya...
  9. L

    Katoa onyo kali kwa cabinet na CCM: Rais anawekwa na Mungu, msianze kampeni. Ni mpango wake kusimika mtu wake 2030

    Kwa wale walioshindwa ku stomach spichi yote ya Samia jana wakamzima katikati, Rais kaongelea 2030, from nowhere! Kaanza mbio za 2030 wakati watu hatujamaliza ma mauaji ya Oct 29, wala yeye hajui hatima yake na ICC, na Gen Z, na EU, au na wanamgambo wowote waliouliwa watoto na wake zao...
  10. Fbn

    PostGE2025 Niffer kama kweli kaachiwa huru, kwanini gari lilomchukua lilikuwa na Polisi wa kike na hapo hapo kaitishiwa Vyombo vya Habari

    Haya ndio mweshimiwa lissu aliyakataa yani utoke kwa makubaliano kisa mkubwa na sio mahakama. Angalieni video vizuri ya niffer ambayo unaona alivyotoka mahakamani bado yupo na mapolisi na usalama. Hii script ya CCM kusema raisi kawa na haki ni uwongo.
  11. DuaZaMama

    PostGE2025 Niffer: 'Mimi niko vizuri' Mungu awabariki sana wote walionipigania

    Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mfanyabiashara wa vipodozi maarufu, Niffer, amewashukuru Watanzania wote waliomwombea na kumpigania alipokuwa mahakamani na gerezani, ambako alikuwa akikabiliwa na tuhuma za uhaini zinazodaiwa kutokana na madai ya kuhusika kuchochea...
  12. Kitimoto

    PostGE2025 Kudai Mamlaka yote hutoka kwa Mungu huku ukiua wadai haki na kutesa wananchi ni chukizo mbele ya Mungu

    Katika historia ya mataifa mengi, hakuna kitu chenye maumivu makali kama kupoteza roho za watu wasio na hatia wanaodai tu kile kilicho haki yao ya kimsingi. Wale wanaolinda maslahi ya wote wanapogeuka kuwa chanzo cha mateso, damu isiyo na hatia inapomwagika, na ukiri wa kuhusika unapotolewa bila...
  13. ELI COHEN

    Nafikiri moja ya mateso ya kujitakiaa waafrika ni pale tunapo mshirikisha Mungu katika kila nukta ya sayari hii

    Ni kazi ya Mungu. Ni Mapenzi ya Mungu. Mungu amependa zaidi. 👆👆 👇👇 🗑️🗑️ YA DUNIA NI YA DUNIA TU, YA MUNGU NI YA MUNGU
  14. Robert Heriel Mtibeli

    Mungu mwenye Nguvu awe nanyi mwezi huu mpya

    Hamjambo! 1. Mwezi huu uwe mwezi wenye Baraka na Neema ya Mungu naam yule MUNGU Mwenye Nguvu nyingi aliyetuumba wote. 2. Mwezi huu Mungu atuepushe na Mabaya na kushindwa na adui zetu. 3. Wokovu wa Mungu uwe upande wetu. Naye atatupa Wokovu mkuu na ushindi kwa namna isiyoelezeka. 4. Adui zetu...
  15. H

    Maombi yetu ni kwa simba nguvu moja mungu ibarik Tanzania

    Kama naona Mpanzu, anavyo futa makosa leo, ataimbwa sana Trust me
  16. Mikopo Consultant

    Uso wenye nuru ni ishara ya ukaribu kwa Mungu; uso uliopoteza nuru ni ya kuwa mbali na Mungu!

    Mawazo haya nimeyatoa kwenye Biblia: Kutoka 34: 29-35. Musa alivyoshuka mlima wa Sinai, alipokuwa anafanya agano na Mungu, Haruni na wana wa Israel waliona ngozi ya uso wa Musa ikiwa inang'aa sana (japo Musa alikuwa hajui kama uso wake unang'aa na una nuru kali). Na walipoona hivo, waliogopa...
  17. MamaSamia2025

    PostGE2025 CCM ni mpango wa Mungu

    Kupitia mambo mengi mazuri yaliyofanywa na CCM tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977 ninaweza sema hadharani kuwa CCM ni mpango wa Mungu. CCM ndo chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo Lissu na Heche. Kuna sababu nyingi sana za kutamka kuwa CCM ni mpamgo wa Mungu. Chini ya CCM...
  18. Kimbesa11

    PostGE2025 Ile mifungo ya maombi ya TEC huwa inaishia wapi? Ndio mjue Mungu si binadamu

    TEC huwa wanajifanya wanamifungo ya ajabu ajabu huku wao wenyewe hawawezi hata kuwakanya watu wasiibe Mali za watu, wasichome moto Mali za watu, wasiharibu miundombinu yetu, wasifanye vurugu nchini, wakati wao wenyewe wamejaa roho za mifarakano, roho za vurugu, roho za kutowaheshimu viongozi...
  19. Waufukweni

    PostGE2025 Polisi wameiba pesa kwenye Kanisa la Askofu Gwajima? Sikiliza shuhuda

    Baada ya kufunguliwa kwa Makanisa ya Ufufuo na Uzima ya Askofu Gwajima, imeripotiwa kuwa vitu vingi vimepotea, ikiwemo mali kadhaa na fedha zilizokuwa zimehifadhiwa kwenye sanduku, hasa katika kanisa la Dar–Ubungo. Sikiliza shuhuda akieleza vitu vilivyoibiwa wakati kanisa hilo lilipokuwa...
  20. a sinner saved by Christ

    soma neno la Mungu

    Luka 12:2 TKU Kila kitu kilichofichwa kitawekwa wazi, na kila kitu kilicho sirini kitajulikana. Yn 8:32 tena mtaifahamu kweli, nayo hiyo kweli itawaweka huru. Hosea 4:6 Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa. https://youtu.be/dLi_y9V7uDA?si=7SkTesk8pOeIV6LI
Back
Top Bottom