mungu

  1. D

    Kanisa Katoliki, naomba maombi yenu ya tarehe 9.11 na misaada mtakayoikusanya viwaendee pia waliodhulumiwa Mali zao na kazi zao! Mungu awabariki sana

    Bwana asifiwe! Mmeamrishana kufanya Ibada maalumu jumapili hii ya tarehe 9.11.2025 kwa ajili ya kuwarehemu marehemu waliotokana na fujo za juzi katika uchaguzi mkuu pamoja na kuwaombea uzima majeruhi wote. Aidha, mmewataka watu kupeleka misaada kwenu kwa ajili ya majeruhi. Ni jambo jema...
  2. MamaSamia2025

    Hata Mungu hawezi vumilia huu uhalifu wa kutaka kuivuruga amani ya nchi

    Nimeona watu wengi wakitamka kuwa Mungu atalipa kwa yaliyotokea baada ya uhalifu uliofanyika. Mimi kama mkristo ninayeijua biblia vizuri niwakumbushe tu kuwa waliofanya uhalifu kuanzia siku ya uchaguzi ni kuwa Mungu pia hafurahishwi na huo upuuzi. Mungu hutoa adhabu kali sana kwa watu kama hao...
  3. PAYE

    Mtumishi wa Mungu: Samia ukiendelea na Urais unaenda kufa, maana hana kibali cha Mungu

    Mtumishi wa Mungu amesema "Samia ukiendelea na Urais unakwenda kuuawa, utaondolewa: Mungu kakukataa”
  4. comrade_kipepe

    Naanza kupata wasiwasi na uwepo wa Mungu

    Mbona kama TAJIRI anaonekana ana nguvu na anaabudiwa kama Mungu? Mbona watumishi wa Mungu wanamuogopa Tajiri kuliko Mungu?? KAMA KWELI MUNGU UPO TAJIRI ASIMALIZE MIEZI 7 Kama Mungu yupo kweli Mbona anaacha TAJIRI anaabudiwa na kuombwa kama Mungu? Kwasasa TAJIRI ana nguvu kuliko Mungu huyu...
  5. Just Pray

    Godbless Lema: Mungu hawezi kupuuza machozi ya waja wake. Atalipa kwa wakati wake, haki itatimia

    Godbless Lema anaandika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X, Mlisali, mkafunga na mkamwomba Mungu kwa dua na machozi. Maombi yenu yamefika mbinguni. Mnafikiri haya mauaji na mateso ya watoto wenu ndiyo majibu kutoka kwa Mungu? Hapana. Msihofu. Mungu yupo, na bado anafanya kazi yake kwa...
  6. DuaZaMama

    PostGE2025 Joh Makini: Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu

    Msanii wa muziki nchini Joh Makini ameungana na watanzania katika kipindi hiki kigumu "Pole yetu sote Watanzania lakini zaidi kwa ndugu jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu".
  7. a sinner saved by Christ

    Vitu 7 anavyovichukia mwenyezi Mungu

    Methali 6:16-19 Kuna vitu sita anavyochukia Mwenyezi-Mungu; naam, vitu saba ambavyo ni chukizo kwake: Macho ya 1.kiburi, ulimi 2.mdanganyifu, 3.mikono inayoua wasio na hatia, 4.moyo unaopanga mipango miovu, 5.miguu iliyo mbioni kutenda maovu, 6.shahidi wa uongo abubujikaye uongo, na mtu...
  8. comrade_kipepe

    Dini zinazosemekana ni za mungu zinabariki yote haya

    Kwamba unaweza kufanya lolote baya na ukashika kitabu cha Mungu ukaapa na chochote kisikupate. Au na wao wanajua hakuna Mungu ndio maana wanajiamini kufanya lolote.
  9. D

    Hata kama kuna kitu angetamani kufanya, hawezi kufanya….she has no legitimacy, mbingu zimemkataa na dunia imemkataa

    Alichokifunga Mungu mwanadamu hawezi kukifungua. Huyu keshapigwa pin mazima, hawezi kufanya lolote hadi apishe hiyo ofisi. Baada ya Kaini kumwua ndugu yake Abeli, Biblia (katika Mwanzo 4:8–16) inaeleza mambo yafuatayo: Mungu alimlaani Kaini – Mungu alimwambia kwamba damu ya Abeli ilikuwa...
  10. K

    GE2025 Mungu kawaweka Heche na Lissu gerezani kuonyesha ukweli

    Mungu ana mbinu ambazo mwanadamu hawezi kuzielewa. Sasa hawawezi kusingizia kuchomwa kwa nchi viongozi wa Chadema. Lakini hawawezi kusingizia chama ambacho kimefungiwa wakati wa uchaguzi na walikuwa hawafanyi hata mikutano. Kibaya zaidi sasa serikali inataka kusingizia wakenya na watu ambao...
  11. The Father of All

    Mungu, kwanini uliumba Idd Amin Mama?

    Kama ulivyoumba shetani, sina shaka. Pia, uliumba Ida Amina Mama. Je, tulikukosea nini wakati hatukugeuzana kama wale ulio 'washushia' dini?
  12. Yoda

    Pamoja na unyang'anyi wote viongozi wa dini zenu watajazana kumsimika, mtaambiwa chaguo la Mungu

    Wale wenye dini zenu mtaashuhudia viongozi wenu wa dini au wengine mnawaita wa kiroho watakavyojazana kwenye uapisho wake kumuombea na kuwaaminisha kwamba yeye ni chaguo au mpango wa mango pamoja na yote tuliyoshuhudia kwa macho yetu na tuliyopitia kama nchi huku Ulimwengu mzima nao ukishuhudia...
  13. 4

    Haijalishi wewe ni nani kumbuka Mungu yupo kazini kwa kasi ya juu sana juu ya Tanzania

    Mungu mwema wakuu, kila mmoja kwa imani yake . Mada yajieleza Wana wa Mungu popote mlipo msijisaulishe ,Mungu yupo kazini kuliko wakati mwingine wowote juu ya Taifa lake . Tafadhali sana lingana na nafasi yako ulionayo usivuke mstari mwekundu , maana wenda kesho kutwa malipo kwako yakawa...
  14. a sinner saved by Christ

    Neema ya Mungu

    https://wingulamashahidi.org/2024/10/11/vigezo-vya-neema-ya-mungu/ Warumi 6:1 Tuseme nini basi? Tudumu katika dhambi ili neema izidi kuwa nyingi? 2 Hasha! Sisi tulioifia dhambi tutaishije tena katika dhambi? Tito 2:11-15 Maana neema ya Mungu imedhihirishwa kwa ajili ya wokovu wa watu wote...
  15. M

    Ewe MUNGU ijaze Tanzania mvua kesho ubao usome 0_0 si kwa wakutoka Wala wakutiki

    Mara nyingine mungu hututendea kwa njia zisizo elezeka,tunapoingia katika siku ya maamuzi. Iwe ni uchaguzi au maandamano tunasahau kuwa nguvu kuu ya mbinguni inaweza kutuliza vishindo vyote vya binadamu. mvua ni baraka...
  16. K

    GE2025 Ulinzi wa Mungu mwenyezi ndio unaleta utulivu nchi hii

    Niseme tu kwamba wale wanadhani kuwa mabadiliko nchi hii yataletwa na mandamano wamefeli vibaya sana Nature ya nchi hii sio vurugu nchi hii mtwana ni mtwana na bwana ni bwana Niende MBALI niseme kuwa hata waingereza wangeamua kututawala milele wangefanukiwa Wangemweka Nyerere...
  17. R

    Sativa na Sarungi mbarikiwe kwa kazi ya matashi ya Mungu

    Mmejitoa mhanga , but Thank God you are somewhat safe! Kosa la POLEPOLE msilifanye! Msije huku Tanganyika! Mbarikiwe sana
  18. Dennis Robert Shughuru

    Ujumbe wangu kwa manabii wawe na subira na wasimfundishe Mungu kazi

    Miezi ya hivi karibuni watumishi wengi sana wa Mungu walitoa unabii juu ya Tanzania wengi wao walisema utawala huu umefika tamati wengine walisema kwa mafumbo na wengine waziwazi Ghafla tunakaribia uchaguzi wako ambao wanaona samia anaenda kushinda kwa hiyo wanahaha na kuanza kutupia lawama...
  19. The Father of All

    Kama urais unatoka kwa Mungu, je, Idi Amin, na maimla wengine nao walitoka kwa huyo Mungu?

    Mara nyingi, utasikia wengi, hasa machawa na kunguni, wakisema eti uongozi hasa urais hutoka kwa Mungu! Hii ni kwa sababu eti aliandika tapeli Paulo aka Sauli wa Tarso Warumi 13:1. Mlitetemea chawa kama huyu aseme nini wakati naye alikuwa akitafuta riziki kichawa na kitapeli? Je, madikteta...
  20. D

    Ufisadi wa kidola, kukosa kuwajibishana na Uchawa kumeua Mwendokasi na leo vimeangusha Treni; Mungu aepushe visije vikaangusha serikali

    Kingekuwa ni kitu kizuri leo kutwa yote wangeimba “AJALI YA MAMA” na tusioimba tungebezwa, tungeitwa KENGE, SISIMIZI, NYWINYWI, NYWINYWINYWI. Lakini Mungu huyu ni fundi sana, kapiga kwenye mshono na hadi tarehe 29 atapiga pigo jengine palepale kwenye mshono kama si kusugulia chumvi. Uchafu...
Back
Top Bottom