mungu

  1. R

    JamiiForums Tanzania Twaha Mwaipaya: Kama sheikh, Mchungaji na Padri wako hajawahi kukemea mauaji, basi njoo Maria space usali ukemee mauaji kuitikia amri ya MUNGU "USIUE"

    Ndio ujumbe wake leo huko Maria spaces. Kama hao viongozi wa dini yako wanashindwa kukemea mauji ya 29th October 2025, ja maovu mengine, basi achana na huko njoo Maria spaces ukemee mauaji!
  2. JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Biblia, kufa chini ya miaka chini 70 sio mpango wa Mungu

    Habari wadau Kwa wakristo waliompokea Yesu kama neno linavyosema kwamba kufa chini ya 70 inaonekana sio mpenzi ya Mungu hasa maisha ya sasa ambayo RIP ZA vijana zimekuwa nyingi sana Karibu tujadili
  3. JamiiForums Tanzania Kuisikia sauti ya Mungu kupitia ishara ya moto

    Mara nyingi Mungu anakua anazungumza na Mimi kupitia ishara ya Moto , Kama wanafunzi wa Yesu pia alivyo fufuka walisema, Je ,mioyo yetu Aikuwakawaka ndani yetu alipo kuwa akisema nasi. Sijajua Kwa wenzangu nataka kujua na nyie uwa inakuwaje Lakini kwangu Mimi huwa hivi . 1. Nikiwa natafakari...
  4. JamiiForums Tanzania Biblia: Kitabu cha Mkanganyiko au Neno la Mungu?

    Hivi kweli akili zenu zimefungwa na kufuli la Wazungu mpaka mmeshindwa kuona ukweli ulio wazi? Yaani hapa duniani hakuna kitu kinachochanganya na kuvuruga akili za watu kama hiki kitabu cha Wazungu!, Yaani Biblia!. Inakuwaje Mungu aliyeumba mbingu na ardhi, mwenye akili na mamlaka, aandike...
  5. JamiiForums Tanzania Nashukuru Mungu nimetimiza milion 200 yangu kwanza?

    Ilikua safari ndefu sana. Nakumbuka mwaka 2005 nilikua naiona kama ni ndoto kubwa .Hatimae leo imetimia . Watafutaji wote tusikate tamaa pesa zipo
  6. JamiiForums Tanzania Muswada wa Ted Cruz utasaidia tulio 40s kushuhudia anguko la CCM. Mungu tusaidie

    CCM IMETESA SANA WATANZANIA na wamefikia mahali wanaona hawagusiki wameuwa sana watu na kusingizia watu kesi za uongo. Wanaona TUNDU LISSU ni kitisho kwao hivyo wanatafuta namna ya kumsilimisha au kumpoteza lakini waki calculateimpact yake wanaona haiwezekani sasa hili zigo la TED CRUZ ndio...
  7. JamiiForums Tanzania MUNGU ni mwema wakati wote

    Shikamoon wakubwa zangu wote Wadogo zangu hamjambo. Leo ni siku nzuri Sana kwangu, Si kwamba siku nyingine huwa mbaya,hapanaa,bali ni kwamba jambo likija wakati mzuri huwa moyo unafarijika. Binadamu tunakosea, Tunasameheana Maria Mimi si mkamilifu Kwa mambo mengi,yapo nayofanya Kwa...
  8. JamiiForums Tanzania KERO Unakopa milioni 10 unarudisha milioni 40! NMB Mungu anawaona

    Nilikua naangalia mkopo wa nyumba hapa wa miaka 25.Nimeshtuka hiki kiasi cha 16% ambacho ni milion 30. Nimeishiwa pozi kabisa
  9. JamiiForums Tanzania Ama kweli CHADEMA ni mpango wa Mungu. Ona hili vibe la Ndato Rungwe CCM wakasome

    Hii ni hatari CCM lazima wapaniku CDM ipo mioyoni wa Watanzania.
  10. JamiiForums Tanzania Q net na rafiki yangu wa utotoni Mungu anawaona kwa mlichonifanyia

    Ila Q net mnanifanya naishi kama digi digi kwenye mji wa watu 🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥹😭😭. Ndugu zangu mwenye kazi yoyote mwanza naomba Nina hali ngumu sana.
  11. L

    JamiiForums Tanzania CCM Tulimuacha Msigwa ajikaange Kwa Mafuta Yake Mwenyewe na Ndio Maana tulimzungusha Maeneo Mbalimbali Nchini. Ogopa Mungu na Teknolojia

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni chama chenye akili kubwa sana ,ni chama chenye uwezo mkubwa sana wa kijasusi na mbinu za kijasusi na kijeshi . CCM ndio Maana inaitwa chama kiongozi Barani Afrika,ndio maana imeendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingi na itaendelea kuongoza Taifa hili Mpaka...
  12. JamiiForums Tanzania Kula vizuri ndio kilevi changu, kwa hili nashukuru sana Mungu

    Situmii pombe, Situmii sigara. Situmii kitimoto Sio mtu wa wanawake Kilevi changu ni kula vizuri sana, mfano Leo weekend Nimepika nyaama ya mbuzi kilo Moja na ndizi za kukaanga nakupa taratibu. Hakika Sina kilevi zaidi ya kula vizuri
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu ahitaji sadaka ya masikini?

    Sipo hapa kuleta ligi. Mimi ni mkristo, kuwa mkristo haimaanishi hutakiwi kunifunza au kuuliza. Nauliza nijue ili kuamini zaidi badala ya kuamini juu juu tu. Sihitaji kujua HOW(jinsi gani) hayo nayajua Sihitaji kujua references (vyanzo), hivyo navijua. Labda viwe vyanzo vinavyoeleza sababu...
  14. JamiiForums Tanzania Huu ni utumwa! Hakuna kinacho unganika na Mungu hapa

  15. M

    JamiiForums Tanzania Kanuni za Ki Mungu za Kushinda Uraibu (Masterbation, porn, pombe nk)

    KanKanuni ya Kwanza Kutojihurumia Bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha; isiwe, nikiisha kuwahubiri wengine, mwenyewe niwe mtu wa kukataliwa. — 1 Wakorintho 9:27 Watu wengi ambao wamekuwa na tabia za kujirudiarudia au uraibu wa kitu fulani, wamekuwa na tabia ya kujionea huruma. Kuna mtu...
  16. JamiiForums Tanzania Asante Mungu kwa hii Nyota Kali uliyonibariki nayo, japo nakiri inatusababishia tuchukiwe, turogwe na tuonewe wivu sana

    Yote yaliyosemwa hapa yamenitokea na yanaendelea pia kunitokea kila Siku kwani nina Shuhuda za kutosha. Asante sana Mwenyezi Mungu kwa hii Tunu yako kubwa ambayo uliichagua iwe ndani yangu Mimi GENTAMYCINE. Kwa wale ambao mnajijua mna hii Nyota kama yangu na ambayo imesemwa hapa kama ukitaka...
  17. JamiiForums Tanzania **USIIGEUZE NYUMBA YA MUNGU KUWA PANGO LA WANYANG’ANYI**.

    Neno la Mungu linasema Mathayo 21: 13 “akawaambia, Imeandikwa, Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala; bali ninyi mmeifanya kuwa PANGO LA WANYANG’ANYI” Umewahi kujiuliza kwanini, kwanini Bwana alitumia huo usemi…. “bali ninyi mmeifanya kuwa PANGO LA WANYANG’ANYİ”. Umewahi kutafakari pango la...
  18. JamiiForums Tanzania Sio Mungu tu tuliyemkataa

    Another Sunday, another boredom, another weekend. Nimeamka Salama namshukuru Mungu. It got me thinking, when was the last time going to church? Je namshukuru Mungu kweli, au naongea tu Kwa vile ni msemo wa Kila siku(jumapili especially!) je huyo Mungu WA kanisani nisiyemuamini Kwa nini bado...
  19. JamiiForums Tanzania Watu wote mnaomuamini Mungu mje, nina swali kwenu 😢

    Haijalishi wewe ni muislamu au mkristo, kama una imani yoyote inayoamini kwenye "Mungu" nina maswali hapo chini kwa ajili yako. Kwanini Mungu anaruhusu watoto wazaliwe na changamoto za kiafya ambazo hazina tiba na zitawatesa watoto mpaka wanapokufa wakiwa bado watoto wachanga au wadogo? (cancer...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Sala ya Leo: Usiku Mwema Mungu atatenda

    Wote tusali kwa pamoja kadri ya maandishi kwenye picha hapa chini na wimbo wake. Mods niwekee hiyo clop vema
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…