mungu

  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mzee asiye na Chama na Mtumishi wa Mungu, aionya CCM , adai Mabadiliko ni Lazima !!

  2. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mtoko wa Pasaka: Chama cha muziki wa injili Tanzania, idara ya wanawake badala ya kumsifu Mungu wanaimba “Mama Samia Kazi iendelee”

    Usiku wa mtoko wa pasaka matukio mengi yamefanyika kichawa sana :4WeirdJam: tulitegemea iwe sehemu ya kuusifu utukufu wa Mungu kwa kumtoa mwanaye wa pekee aliyetukomba kwa msalaba dhidi ya madhambi yetu lakini unasikia kwaya inamsifu Rais Samia na kuimba apewe mitano tena, hovyoo:AAAA::AAAA:
  3. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mungu alivyombariki mtu mweusi. Namna Biblia inavyomuongelea mtu mweusi

    Uzi huu natamani hata usomwe na mtu mmoja tu ntafurahi, Ilimradi mtu huyo mmoja spare ufahamu juu ya ukweli juu ya Baraka alizokirimiwa mtu MWEUSI na namna mtu mweus alivyo ongelewa kwa uzuri ktk biblia . Kuanzia sa nne naanza kupost taratibu, Sasa uuonapo Uzi huu comment kitu chochote ili...
  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Neno la Mungu ni nini?

    1. Neno la Mungu ni Upanga wa Roho; Linatumika kupigana vita vya kiroho dhidi ya shetani na majeshi yake. (Waefeso 6:17) 2. Neno la Mungu ni Taa ya miguu yetu; Linaongoza njia ya maisha ili tusipotee. (Zaburi 119:105) 3. Neno la Mungu ni Moto wa kiroho; Linachoma kila uchafu, udanganyifu, na...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hongereni watumishi wa Mungu ujumbe umefika

    Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo maaskofu wametoa UJUMBE wao kama viongozi wa dini,Hatuna budi walengwa kwuyafanyia kaz, wametimiza wajibu wao Kwa mungu na Kwa wananchi, na baadhi ya viongozi wa dini hasa manabii tunaomba watoe UJUMBE wa serekali wasikae kimya au wao wanaona mambo yote yapo...
  6. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote

    Onyo Kwa Watumishi wa Mungu, Wanasiasa na Watanzania wote
  7. Brojust

    JamiiForums Tanzania Mwamposa Hongera kwa Jengo jipya la Ibada hakika utukufu wa Mungu unaonekana

    Heri ya pasaka. Sitaki kupepesa macho, Mimi ni muumini wako na ninabarikiwa sana na Huduma yako na hapa ndio natoka kwenye Ibada ya pasaka. Hongera sana kwa Jengo jipya la Ibada ingawa Bado halijafunguliwa lakini kwa clip mbali mbali unazozionyesha kwenye screen kipindi Cha Ibada hakika Mungu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tunakuomba Mwenyezi Mungu Ijalie Ushindi Mnono Simba Sports Club Vs Stellenbosch hapa Zanzibar

    Ewe Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema na mwenye kurehemu, ulisema niombeni na mm nitawapa, tunakuomba mwenyezi mungu, muumba mbingu na ardhi, sisi waja wako hatuna lolote isipokuwa ni kukuomba wewe tu, tujalie ushindi leo hapa visiwani Zanzibar mda mfupi tu tutakapocheza na Stellenbosch...
  9. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania HooneyMoon itangulie kabla ya ndoa. Watumishi wa mungu lisimamieni hili kuokoa ndoa za watu

    Kila mmoja atakubaliana na mimi kua kwasasa ndoa nyingi zinavunjika na ukijaribu kufuatilia kwa undani na kwa umakini zaidi sababu hasa ya ndoa hizo kuvunjika utagundua kua hakuna sababu zozote za msingi zinazopelekea ndoa hizo kuvunjika...utakuta sababu ni zilezile za siku zote kama vile...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Waafrica muache kwenda makanisani na misikitini bali tusiache kumwamini Mungu wetu!

    Nimeacha kwenda makanisani na misikitini kwa mungu wa warabu na wazungu bali sitapoteza imani yangu kwa Mungu wa kweli wa WAAFRIKA na AFRIKA nzima. WAAFRIKA TUAMKE NA TUJITAMBUE
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Unabii:Tundu Lissu aliponywa Kifo kutimiza kusudi fulani la Mungu kwa Tanzania,2025,Akiisha Timiza Tu Anatwaliwa - Huu ni Unabii wa Kweli au wa Uongo?

    Wanabodi Mungu na Shetani Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetani ambalo naliendesha kwa hoja za maswali Kwanza hebu msikilizeni nabii huyu na unabii wake kumhusu Tundu Lissu https://youtu.be/Isx1OohuSwE Je Nabii huyu ni nabii wa ukweli...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania 1 Samweli 8:18 Kumbe hizi siasa Mungu haingilii kwa Sababu binadamu walitaka kuongozwa na Wafalme na Rais badala ya Mungu mwenyewe

    Sabato Njema! Kesho nitakuwa Kanisa la Kimara Korogwe. Ukisoma Kitabu cha 1 Samweli 8 utakutana na Kisa cha kisiasa ambacho Waisrael wanakataa Kuongozwa na Mungu kama Mfalme wao. Kumbuka hapo Awali Waisrael hawakuwa na ufalme wa kibinadamu kama mataifa mengine. Wao waliongozwa na Ufalme wa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wa Dini Wanapaswa Kuishukuru Na kuiombea CCM kwa kudumisha Amani na Utulivu na wao kupata nafasi ya kuhubiri neno la Mungu kwa uhuru

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna jambo ambalo viongozi wetu wa Dini na Watumishi Wa Mungu wanapaswa kumshukuru Mungu ni Juu ya Uwepo wa CCM madarakani wakati wote wa Uhai wa Taifa letu. Kwa sababu hiki ni chama ambacho kimefanya juhudi kubwa za kuhakikisha amani ,usalama na utulivu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Nimeoneshwa na Mungu kuwa simba itaifunga stellenbosch magoli mawili yote ya kichwa siku ya tarehe 20 april 25

    Kila kinachofanyika kwa mwili wa macho na nyama huwa ni kama display ya kitu kilichofanyika. Naandika haya leo ijumaa kuu siku mbili kabla ya mechi Ushindani wa mechi ya Simba na stellenbosch utaamuliwa kwa magoli ya kichwa! Naiona simba ikifunga magoli mawili yote ya kichwa kutokana mipira...
  15. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwita Waitara aliyewahi kububujikwa na machozi bungeni asema Ushindi upo, CCM imepata kibali kutoka kwa Mungu

    Wakuu huyu mbunge aliyewahi kulia kwa kububujikwa machozi lukuki ambaye ni Mbunge Wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara amesema tarehe 28 watavuta fomu na ushindi upo kutokana na yale yaliyotekelezwa Amesema Jimbo la Tarime Vijijini lipo tayari kwa ajili ya uchaguzi huku akisema wanajiandaa...
  16. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu

    Kuna Msanii mmoja amefariki ila Watu wanadai amerogwa hii ni Imani ya kijinga , tujifunze kuamini katika Qadari za Mwenyezi Mungu. Pia nyie wanawake mnaosema mtaendelea kuwakomesha Michopuko yetu kwa ulozi acheni Mara moja. Maana sio rahisi Mwanaume amuone Mwanamke Mrembo na amuache hivi hivi.
  17. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Madhumuni ya Mungu kwenye ndoa

    Madhumuni ya Mungu kwa binadamu kuoana ni: 1.Mke na Mume kustareheshana kuoitia sex 2.Kuzaa watoto ili kuendeleza dunia
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini?

    Ulijuaje kama Mungu hakuleta dini? Kama hakuleta dini ulimjuaje kama yupo? Surat Al-Baqara (2:132)
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Je Kabla ya Adam na Hawa, hawa watu walioumbwa na MUNGU walikuwa kina nani?

    Leo ningependa sana kujifunza kutoka kwenu, atakayeweza naomba mnijibu swali langu kulingana na maandiko. Siku hizi nasoma sana Biblia. Sasa swali langu ni hapa: Ukisoma Mwanzo 1:26 ni kwamba Mungu anasema, “Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Mungu tunayemwabudu ni huyu aliyeamuru kufanyika mauaji ya kimbari?

    Mauaji ya kimbari au mauaji ya halaiki ni uhalifu unaotambuliwa kimataifa ambapo vitendo vinafanywa kwa nia ya kuharibu, kwa ujumla au kwa sehemu, kikundi cha kitaifa, kikabila, cha rangi au cha kidini. Miaka elfu kadhaa iliyopita huko Mashariki ya kati kupitia mwongozo kutoka kwa Mungu mwenyewe...
Back
Top Bottom