mungu

  1. Nyarupala

    JamiiForums Tanzania Kama Mungu yupo, basi ndiye aliyeruhusu Waafrika tutawaliwe na wazungu

    Uhali gani mwanaJamii Forum? Nimekaa hapa geto kwangu nikawa na-review matukio ya kwenye historia niliyoanza kuisoma tangu mtwivila primary school, Tegeta secondary school, na Lufilyo high school ambapo baada ya hapo niliamua kuachana na hili somo nilipofika chuo kikuu na kilichosababisha ni...
  2. Setfree

    JamiiForums Tanzania Nimethibitisha: ukimuomba Mungu jambo lolote atakupa – ukitimiza vigezo na masharti haya

    Ni kweli kabisa kama Yesu alivyoahidi katika Yn 14:13-14 tukimuomba Mungu jambo lolote tutapewa au tutafanyiwa. Nimethibitisha hilo mimi mwenyewe. Niliomba pesa ya kujenga nyumba na kununua gari nikapata - nilikuwa na kazi ya mshahara mdogo nikapata kazi yenye mshahara karibu mara kumi ya huo wa...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mungu anaongea Nasi Sasa?

    wakati wa usiku usingizi mazito uwajiapo wanadamu.Mungu hunena na sio mara moja.lakini watu hawayatilii maanani yaliyosemwa naye. Nirudie Mungu anasema kila siku na kila anaitwa mwananadamu.Ukipuuza Sasa ukiwa na pumzi puani. Utaelewa kwa lazima ukiwa haupo tena katika mwili.Ni lazima uone...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mungu anahusikaje na watu kuwa masikini au matajiri kama invyosemwa kwenye dini?

    Kuna ukweli gani kwamba Mungu ndiye huwafanya baadhi ya watu kuwa matajiri mamilionea, mabilionea hadi matrilionea huku akiwafanya wengine kuwa masikini mafukara wa kutupwa, omba omba na homeless?! Wengine wanasema sijui hizo ndio kudra/kadara za Mnyazi Mungu, wengine wanasema sijui ndio baraka...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wapalestine wanavyolufa maelfu elfu, ukiwaambia leo eti kuna Mungu gani, watakukula nyama!

    Ifike pahala,eitha tukubaliane kwamba, Mungu huyo kaishiwa upendo kwa watu wake na ama hana nguvu na au huyupo kabisa ila majina yake tu Mauwaji yanayotokea huko Gaza, ni rahisi kuamini hilo, hasa kwa Wapalestine wenyewe! Ni rahisi kuwa na maswali mengi moyoni kumhusu huyo mungu Je, haoni...
  6. KENZY

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha ulimwengu na Mungu bado ni fumbo kwenye fikra za mwanadamu!

    Natumai mu buheri.. Mada yangu leo nitapenda kuangazia misimamo mbalimbali juu ya uwepo wa Mungu/Miungu pamoja na chanzo cha ulimwengu na kisha nitagusia mtazamo wangu kutokana na mitazamo hiyo.. kumekuwa na mitazamo mbalimbali juu ya hizi hoja mbili lakini binafsi nionavyo katika mitazamo yote...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mungu amezidiwa akili na Wanadamu.

    Hivi kwanini Mungu anazidiwa akili na Wanadamu?
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Aliyedai kuwa ametumwa na Mungu amuombe Nabii Laki Sita, sasa anadai Mungu kamuonesha ndotoni gari mpya na Nyumba

    Wakuu Naona Kondoo anatikisa mfumo Soma: Mpaka Mchungaji kashtuka! Mama amwambia Mchungaji Mungu alimwambia ampe Laki 6
  9. T

    JamiiForums Tanzania Nendeni mkamwambie huyo mbweha hivi: 'Leo na kesho (Watu wa Mungu hawaogopi)

    Luka 13:32 (Yesu) Akawaambia, Nendeni, mkamwambie yule mbweha (Herode), Tazama, leo na kesho natoa pepo na kuponya wagonjwa, siku ya tatu nakamilika.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Historia: Je, wajua historia ya taifa la Thamud? kwanini watu wa mji huu waliangamizwa na Mungu?

    Amani itawale. Watu wa taifa la Thamud walipata kuishi katika nchi/mji uliofahamika kama Al-Hijr kaskazini magharibi mwa taifa la Saudi Arabia hivi leo. Ni watu waliokuwa na nguvu sana na utimaku wa viwiliwili ,walikuwa na maarifa mengi ya ujenzi kiasi kwamba majumba yao waliyajenga kwa...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini moto wa kuzimu usianze na wazungu waliotumia jina la Mungu kuuwaua Waafrika wana wa Mungu kupitia ukoloni?

    Habarini, Hili nalo linafikirisha WAAFRIKA wanakosa gani mbele ya MUNGU WA KWELI hadi waandaliwe moto wa kuwaunguza wakati wazungu waliowatawala na kuwanyonya wanastarehe tu ma kula mema ya ulimwengu kila kukicha??
  12. R

    JamiiForums Tanzania Harusi mfungie kanisani, wali ukaliwe ukumbini, huo SI Upendo enyi watu wa Mungu!

    Salaam ,Shalom! Siku za mwisho imeandikwa Upendo wa wengi utapoa, Yaani ufunge ndoa kanisani, tukushangilie Kisha chakula kiende kuliwa ukumbini Tena kwa kundi dog tu la watu! Kiukwelli zamani palikuwa na upendo, likuwa Kila jumamosi au jumapiili sie watoto wa uswazi hatukukosa pilau la...
  13. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Katika watu wanaojua kutuchonganisha na Mungu ni hawa wanaokuja kuomba hela bar

    Yaani hapa utake usitake lazima umpe tu hela hata kama ipo nje ya bajeti yako
  14. U

    JamiiForums Tanzania Kumuamini Mungu bila kumuamini Mtume wake Mohamed ni kazi bure kabisa

    Wadau hamjamboni nyote? رَّسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِ‏ّ شَىْ‏ءٍ عَلِيماً “Muhammad is not the father of any of your men, but he is the Apostle of Allah and the Last of the prophets; and Allah is cognizant of all things.” (33:40) "Muhammad si baba wa yeyote...
  15. Setfree

    JamiiForums Tanzania Mtumishi wa Mungu anusurika kuuawa kwa bomu

    Jana asubuhi, Alexandra, Mtumishi wa Mungu katika jiji la Kiev, Ukraine, alinusurika kuuawa kwa bomu lililodondoshwa na drone ya Urusi, juu ya nyumba aliyokuwa amelala. Mlipuko wa bomu hilo uliiteketeza nyumba hiyo kwa sekunde chache tu. Kwa njia inayoonekana wazi kabisa kuwa ni muujiza wa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kumwamini Mungu bila kumwamini Yesu Kristo/Yeshua Hamashiach, ni kupoteza muda,moto unakusubiri

    Salaam, Shalom! Unatenda mema, unajitunza, unahurumia maskini, na kutenda mazuri duniani na unamwamini Mungu, Kisha unamkataa Yesu, huko ni kupoteza muda, Hizi ni sababu kwanini kumwamini Mungu na kutoamini kuwa Yesu ndiye Mungu mmoja aliyekuja katika mwili wa Mwanadamu ni kupoteza muda; 1...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ee Mungu wa Tanzania, waja wako twakuomba, isijirudie tena hii, tumejua, wa pili kumbe hawi na uchungu kama wa kwanza kwa mali na Watanzania

    Eee! Mola wetu mlezi! Muumba wa mbingu na aridhi, umetuonyesha kwa macho yetu tumeona na sasa twakuomba, Uirehemu nchi yetu, sisi na viongozi wetu na kwamba Ee Mungu wetu, isijirudie tena ya kutwaa wa kwanza ambaye tokea akiutafuta uongozi, hubeba machungu, shida, dhiki za Watanzania na kwamba...
  18. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mama amshika pabaya mchungaji, Mungu kasema unipe laki sita

    Wakuu Mungu kasema na Mama ajabu mchungaji anajianya hasikii.😁😁
  19. M

    JamiiForums Tanzania Namuomba Mungu anipe uzima nishuhudie huyo anayedanganya wananchi mikoani kuwa atazuia uchaguzi Oktoba, 2025

    Mpaka sasa sioni dalili za kuzuia uchaguzi zaidi ya kupiga porojo kwa wananchi na kuzawadiwa samaki, wakati wa Magufuli wananchi walijaa kama hivyo lakini mwisho wa siku ulishindwa uchaguzi na ukasaidiwa na mabalozi kukimbia nchi. Kwenye mikutano yako unatukana wateule wa Rais unawaita wana...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mpaka Mchungaji kashtuka! Mama amwambia Mchungaji Mungu alimwambia ampe Laki 6

    Wakuu Kwanini Mchungaji ameshuka?
Back
Top Bottom