Wakuu tushirikishane hili jambo. Katika Biblia, nimesoma kwamba, (awali) Mungu alipokuwa sanjari na Waisraeli. Kuanzia Musa mpaka Joshua.
Baada ya hapo, Waisraeli wakataka wawe na mfalme wao. Wakampata Sauli. Lakini hakuenenda sawa na maagizo ya Mungu.
Sauli akatolewa, Mungu akamweka Daudi...
Leo nimemsikiliza Fr kitima anasema Mungu lazima ajibu na at the same time Gwajima naye anasema Mungu hawezi kunyamazishwa.
It is as if kuna vita ya kidini ukiangalia kwa macho makaliwith 3D na kwa critical thinkers pekee.
Sasa ngoja tuone kati ya Mungu wa wislam na Mungu wa wakristo ni Mungu...
Asalamaleku jukwaa!
Kwa kile nilichokiona labda kweli Kuna Mungu maana fikra zilinijaa kichwani pasina jibu sahihi.
Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa maeneo fulani natembea tembea maeneo ya mto weruweru, kama mnavyojua kule Kuna fresh water yanayotoka katika kilele cha mlima kilimanjaro na watu...
Naelewa na najua watanzania wengi wanaumia na Wana maswali mengi ya haya yanayoendelea..je ni sababu ya ulafi wa Madaraka ama Kuna kingine? Ila kwa tafakuri niliyofanya nimekuja na majibu haya
Usicheze na maslahi ya kifisadi ya kikundi Cha watu kadhaa , ...utekaji/mauaji yanatokeaje?
Pale...
1. Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, tunakutambua kama kiongozi wa nchi yetu, mama wa taifa, na muendelezaji wa juhudi za maendeleo. Tunakupa heshima yako kama mkuu wa nchi. 🇹🇿
2. Lakini tunakuomba kwa unyenyekevu, usikilize kilio cha viongozi wa dini ambao kwa nyakati mbalimbali wamekuwa...
Warumi 13
Neno: Bibilia Takatifu
Kutii Mamlaka
13 Kila mtu hana budi kutii serikali inayotawala. Kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na serikali zote zilizopo zimewekwa na Mungu.
2 Kwa hiyo anayepinga mamlaka inayotawala ana pinga chombo kilichowekwa na Mungu; na watu wanaoasi...
Omba Toba
Sali
Omba toba mkono wako wa kiume ulitumika kumtia mkeo mimba zote
Omba msamaha kwa Ajili yake
Tafadhali Bado unapendwa tuliza akili hacha siqeaa baba hata ulisema unitafte unitese haitosaidia fanya nilivyosema
Labda ni falsafa ya kizembe TU kwamba Mungu alimuona shetani kama muasi ingawa Kuna malaika ambao waliyaunga mkono malalamiko ya shetani Mungu aliona ni Bora kumtupa duniani kuliko kumuua!!
Vipi angemuua wale malaika theluthi wangeendelea kuwa wapinzani wa Mungu ndani ya mbingu yenyewe...
Imagine kila mwanaume angependa wowowo, dunia pasingetosha.
Mi napenda wale wanaota English figure sema kifuani pakiwa pamenona, bas ndio ugonjwa wangu.
Wadada wengi wanaoshobokewa kua wanashape hawana kwangu mimi nawaona kama wana disability.
Mwanamke aliejazia sana nyuma ni kama wale jamaa...
Credit: Pastor Jesse Matosha
#SIO KILA MAMLAKA IMETOKA KWA MUNGU.
ACHENI KUTAFSIRI WARUMI 13:1–7 NJE YA MUKTADHA!
Watu wengi wamekuwa wakitumia Warumi 13:1–7 kama silaha ya kunyamazisha watu dhidi ya dhuluma, ufisadi, ukandamizaji, na udikteta — kana kwamba kila kiongozi aliye madarakani ni...
Jana majira ya saa tano usiku wakati najiandaa kucheki muvi, nikapatwa na msukumo wa kutoka nyumbani na kwenda kuzurura mitaani. Huwa ninafanya hivi mara kwa mara ila msukumo wa jana ulikuwa mkubwa.
Nilipotoka ndani, kwanza nikakutana na kibaridi kinapiga, nilitaka kusitisha safari ila nikasema...
Ninaamini kama Gwajima akitoka mbele kwenda mahakamani kupinga maamuzi ya watu 2 kujichagua wenyewe kuwa wagombea ndani ya chama atapata nafasi ya kuungwa mkono na vigogo ndani na nje ya chama.
Watu wanataka mabadiliko lakini issue ilikuwa nani atamfunga pake kengele?
Gwajima michezo yako ni...
Wakuu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akifunga mkutano mkuu wa chama hicho leo Mei 30, 2025 amesema "Mwenyezi Mungu ailinde nchi yetu, tumalize uchaguzi kwa amani kabisa na awaangamize wote wanaotaka kuitia nchi yetu kwenye majanga"
Leo nitakuja na somo lenye kichwa kikisema kuwa
HAUKUUMBWA NA MUNGU
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Ndugu yangu msomaji naomba tumia akili kidogo unaposoma bandiko hili maana litaingia ndani zaidi katika maisha yetu ya kila siku.
Naam ndugu yangu msomaji leo nataka utambue kuwa...
Kibali chochote kile kikubwa Hushuka kutoka kwa Mungu! Pamoja na yoote dhidi ya Chadema - haya ndio majibu ya Mungu kwa watu wote wanaojaribu kukibomoa Cham hiki?
Sauti ya Haki ni Sauti ya Mungu. Arusha Mjini.
Kuna jambo huwa nashindwa kulielewa .
Je watumishi wa Mungu haumuwezo kuhubiri bila kuongelea uchawi?
Je,lazima makinisani watu wazungumzie habari za ushirikina.
Kwa wasomaji wa historia ya uprotestant watakuwa wanakumbuka dua maarufu; "Lord, open the King of England's eyes" ya William Tyndale, aliyoiomba akiwa anachomwa moto October 1536 kwa kosa la kutafsiri Biblia kwa lugha ya kingereza. Kwa faida ya wasiofahamu, mpaka karne ya 16, dini pekee katika...
Kumbe SSH na Kijani ndio wanahusika na "mene, mene, tekeli, na peresi" na Mnala wa BABELI....Maanake nashangaa sasa Kijani wameanza kuchanganyikiwa.
Asante Rev. Hon Dr. Gwajima, Asante Basila Mwanakuzi, Asante Msanii uliyemshauri Mama...Asante Pia na Mwenezi wa Kinondoni maana ulifikiri...
Mit 20:27 SUV
[27] Pumzi ya mwanadamu ni taa ya BWANA; Hupeleleza yote yaliyomo ndani yake.
Ukisikia unachunguzwa au unafuatiliwa nyendo zako zote, inaweza kukushtua na kukuongeza umakini katika kutembea kwako na kutenda kwako, wengine tunajua tunachunguzwa kila wakati kutokana na kazi zetu au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.