mungu

  1. S

    JamiiForums Tanzania Huyu bwana alisema yeye mcha mungu, hawezi kuwa sehemu ya maovu yanayofanywa kwa kisingizio cha amani na usalama na kuamua kujiuzulu nafasi yake

    Habari tulizozipata zinaeleza kwamba kiongozi mmoja wa ngazi ya juu ilifikia mahali akasema waziwazi, kwamba yeye siku zote amejitahidi sana kuwa mcha Mungu, na asingeweza kuendelea kuwa sehemu ya uongozi ambao ulifikia hatua ya kuhalalisha kufanya maovu ya kiwango hiki kwa kudai ni kwa ajili ya...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Rafiki zetu wa kweli hapa duniani ni MUNGU na Miti

    Katika maisha ya binadamu ,tunao marafiki wa wili ambao bila wao hatuwezi kuishi duniani. Rafiki wa kwanza kabisa ni Mungu,muumba wa mbingu na dunia.Alianza kuumba maji ,ardhi ikafuata miti ambayo inatupatia hewa ya oxygen,.Bila hewa ya oxygene huwezi ukaishi hata sekunde moja. Ndiyo maana...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Naonaga hapa vijana wanahaha wakiulizwa "thibitisha kama Mungu yupo". Mtu akikuuliza hivyo we mjibu "na wewe thibitisha kuwa Mungu hayupo"

    Its simple, Wewe anakuuliza hivyo kama njia ya kejeli kwa maana anajua hauna uthibitisho wa kumuona ila na yeye anasahau kuwa yeye mwenyewe Hana uhakika kama kweli hayupo kwa maana labda kweli yupo ila basi tu yeye ndio hajawahi kumuona🤣
  4. Pdidy

    JamiiForums Tanzania SINDANO ilipoingilia south Africa ikatokeaaa ZNZ Tuwe wapole tu amani ya Mungu iwe nanyiiiiiiii

    Haikuwa rahisi kuamiini YANGA imetolewa na mamelody kwa goli la dhuluma NDUGU majirani wakajanna fedhehaa kubwaaa mpambane na hali zenu Tukajipanmoyo kulalamikia lakini haikusaidia Yt SINDANO ikaingia kwa Amani Jana kwa mapenzi MEMA sindano Ile Ile iliooingizwa na rubani yule yule refarii...
  5. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Simba 1-1 RS Berkane| Agg: Simba 1-3 RS Berkane | RS Berkane Bingwa CAFCC 2024/205

    FT: Simba SC 1-1 RS Berkane (Agg: 1-3) | Ni kufa au kupona. Ni fainali ya mkondo wa pili katika kombe la shirikisho barani Afrika. Simba SC Vs RS Berkane, mchezo wa kwanza Simba alifungwa 2-0. Leo atakuwa na nafasi ya kujiuliza katika mchezo wa mkondo wa pili. Mchezo ni saa 10:00 jioni kwa...
  6. John Sin

    JamiiForums Tanzania Hawa manabii na mitume wa sasa hivi ni nani aliyewapa mamlaka hayo, je kama ni mungu naomba andiko la utabiri wa kuja kwao

    Kuna muda nafikiria nakosa majibu kuhusu huu utiriri wa manabii hapa Africa, Yan Africa inaweza kuwa na manabii wengi kuliko waarabu na wahayudi, Sanasana UKo unyakikyusani wanamabii na mitume kuzidi hata wayahudi watoto wa Yakobo!!! Hili linanifikirisha sana kwakwel Africa ujinga ni mwingi...
  7. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Makombe yote yanaenda kwa waarabu kama maombi yetu sifa apewe Mungu

    Mungu fundi Mungu fundi Mungu hajawahi shindwa Yaan nilianza kuiombea pyramid ifike final Imefika nkaomba mungu asaidie wachukue na ubingwa Sasa wanasubiriaa tu masaa kubeba kombe Niliomtakia heri mayele afanye yake mashallah Sasa leo kama maombi na kichwa cha habari hapo juu Nakama...
  8. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa mwaka huu ni Mungu dhidi ya CCM, mpinzani mkuu wa CCM mwaka huu ni Mungu mwenyewe

    Huu si mwaka wa kushindana kwa namna ilivyozoeleka ,watu hawataki kushindana kwa hoja wala kukosolewa kama ilivyokuwa zamani ! Mamlaka ziko tayari kwa ajili ya kuilinda mamlaka ,ukiwa mgombea unatafsiriwa kama gaidi au mhaini ,wanataka ukiwa mpinzani wao wakufundishe na jinsi ya kuongea, nini...
  9. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Ee Mungu nisaidie nipate jawabu maana najua lipo ila tu halijafika kwangu

    Naishi kwenye nchi ya kuku, najihisi na mimi ni kuku Ninaogopa kuchinjwa ila nina fugwa na kutunzwa na mchinjaji Najiuliza kuogopa kuchinjwa kunaweza nisaidia nisichinjwe? Hapana nahisi ni vile zamu yangu tu haijafika ila kila kuku atachinjwa kwa namna yake na kwa muda wake Sasa nini nifanye...
  10. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mfalme Belshaza (aliyerithi kiti cha Ufalme toka kwa Nebukadreza) alimuudhi Mungu (Mene mene Tekeli na Perezi) - Danieli 5:25

    Mfalme Belshaza alimuudhi Mungu pale alipotumia vyombo vya Hekaluni. MENE, MENE TEKELI NA PEREZI (Danieli 5:25) Tutubu tuipuke hukumu ya milele. https://www.youtube.com/watch?v=rrOaRJTqx1k
  11. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania WATU KAMA HAWA NDIO WANAFANYA WANAOSEMA HAKUNA MUNGU WAZIDI KUONGEZEKA

    Hawa ndugu zetu katika Imani jau sana
  12. M

    JamiiForums Tanzania G55 na wimbo wa "naapa naahidi mbele ya Mungu, CHADEMA nitakulinda mpaka kufa"

    Huu ni wimbo maarufu, zamani ulikuwa ukiimbwa na wanaCCM kuahidi kuilinda CCM mpaka siku ya kifo chao. Baadae CHADEMA nao wakauchukua ukawa ni miongoni mwa nyimbo maarufu za chama, wakiapa na kuahidi mbele za Mungu kuwa watailinda CHADEMA mpaka siku za mwisho za uhai wao. Sasa najiuliza kulikoni...
  13. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mtu yeyote atakayemuumiza Lissu mwisho wake ni aibu. Lissu ni mkakati wa Mungu inevitable

    Nimewahi kusema hili na ninalisema tena hapa. Lissu kakàa gerezani uso wake umenawiri, ana furaha lakini waliomtupa gerezani wamekosa furaha kabisa. Mtu yeyote bila kujali cheo alicho nacho, mali alizonazo kama akipigwa pigo la ufahamu anakosa furaha na amani na mtu anapokosa amani tayari vita...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hivi vifo ni mpango wa MUNGU au mkakati uliojificha.

    Nimewaza na kujiuliza kuhusu vifo mfululizo vya viongozi waandamizi WAKRISTO Tanzania,, kimataifa na kitaifa. Kiukweli napitia mchanganyiko wa fikra. Inakuwaje watu wa Imani ya mlengo mmoja kufa vifo vinavyofanana ??? !!!!. Kimataifa. Mwele Malechela, Ndugulile. Kitaifa. Magufuli, Kijazi...
  15. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Maeneo matatu ambayo Mungu amekuepusha, ili Utimize ndoto zako

    Maeneo matatu ambayo Mungu amekuepusha nayo ili Utimize ndoto Yako, ✒️Gerezani(uhuru) ✒️makaburini(umauti) ✒️ Hospitali(magonjwa) Ikifikia hatua umekata Tamaa, Basi Lia sana na Mungu kwa sababu yeye ndio anajua tamati Yako. Aliekuumba ndio anajua jinsi ya kukutunza usipoteze Sana Thamani...
  16. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Tanzania Mnaokula Cone na kuzama chumvini hivi mdomo huohuo ndo unaoutumia kumsifu Mungu?

    Kristo ni tumaini letu, Mapendo daima. Samahani kwa yeyote yule nitamkwaza au uzi huu akaona una machukizo kwakwe basi aniwie ladhi. Wakuu wiki iliyopita katika kuzagaa huku, kule, na humo kwenye mitandao ya kijamii hasa X zamani Twiter nilikutana na clip kadhaa za mtoto wa mchungaji akifanya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Namshukuru Mungu nimeweza nimefungua Radio ya mtandaoni (online Radio)

    Kwa muda mrefu moyoni mwangu nimekuwa na tamanio moja kubwa – kuitumikia jamii kwa njia ya Injili kupitia vyombo vya habari. Leo hii naandika nikiwa na furaha kuu moyoni, nikimshukuru Mungu kwa kuniwezesha kutimiza ndoto hii: JESUS NEWS Online Radio imezaliwa na ipo hewani sasa! Hii ni redio...
  18. Surya

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hawajui Jinsi ya Kusali (Prayer), wala hawajui Mungu anataka awaone wakifamya nini.

    Kila mtu anatamani kutoka hatua moja ya kimaisha kwenda hatua nyingine kubwa zaidi, Lakini wengi hamjui kuwa Kutoka hali fulani ya kimaisha kwenda nyingine ni Lazima kuwe na Mabadiliko ya kifikra kwanza. Wewe kama ni mwanafunzi (unalelewa na mzazi) na unataka kuanza maisha ya kujitegemea, si tu...
  19. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Makosa gani ambayo Mungu hawezi kusamehe

    Naomba kufahamishwa ni makosa gani ambayo Mungu hasamehi na ni kosa gani Shetani kalifanya mpaka Mungu ameshindwa kumsamehe 🙏
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
Back
Top Bottom