Mbowe na Chadema wamelitelekeza jimbo la Hai kwa muda mrefu na alifanya kuwadharau watu wa Hai na alikuwa anafanya kampeni kwa siku kumi anapata Ubunge.
Safari hii ana wakati mgumu sana,wananchi hawamtaki na amekuwa akizomewa mara kwa mara, hii ni kwa sababu aliwafanya wajinga, kila...