Usiwatukanie wenzio Mungu wao wa uongo maana watakutukania Mungu wako wa kweli

Bamileck

Member
Jul 26, 2021
26
39
Kila mtu aheshimu imani ya mwenzie. Tubakie na hilo

Kuna maswali mengi hayana majibu katika suala zima la imani

"USIMTUKANIE MWENZIO MUNGU WAKE WA UONGO MAANA NA YEYE ATAKUTUKANIA MUNGU WAKO WA UKWELI"
 
Back
Top Bottom