muhimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kilimo biashara ni muhimu

    Habari Ndg naomba kwa wadhoefu wa field msaada mchanganuo wa gharama kwa ekari moja wa mazao yafuatayo tafadhali nipate mwanga 1. Nyanya ekari moja 2.Vitunguu vya kawaida ekari moja 3.Hoho ekari Moja 4.Kabage ekari Moja
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Windows 10, The end is 14 October 2025, haya ndio mambo muhimu unayopaswa kuyajua na hatua za kuchukua

    A. Hakutakuwa na updates za Usalama (Security updates) – Virusi vipya na mbinu mpya za mashambulizi zitaweza kupenya kwenye mfumo wa Windows 10, ingawa antivirus kama windows defender itaendelea kupokea updates, Windows 10 kama mfumo endeshi haitaendelea kupokea updates rasmi zinazoweka viraka...
  3. JamiiForums Tanzania DC Magoti unataka kuwafanya wenzako viwete kwa kutetea haki zao. Wewe aliyekufanya kiwete ulikuwa unatetea jambo gani muhimu?

    DC MAGOTI UNATAKA KUWAFANYA WENZAKO VIWETE KWA KUTETEA HAKI ZAO. WEWE ALIYEKUFANYA KIWETE ULIKUWA UNATETEA JAMBO GANI MUHIMU? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Magoti kiukweli umenifurahisha sana uliposema utawageuza watu wawe viwete. Naamini upo proud kuwa hivyo ulivyo. 2. Sijui historia...
  4. JamiiForums Tanzania Car Service Episode 3/10: Power Steering Fluid na Differential Fluid kuzibadirisha ni bei ndogo ila ni muhimu sana!

    Power Steering Fluid na Differential Fluid zipo kwenye kundi la fluids ambazo uwa zinapotezewa sana wakati wa kufanya service, ilihali gharama zake ni ndogo kuzidi ata faini moja ya trafiki. POWER STEERING FLUID Power steering fluid inasaidis pampu ya steering kufanya kazi vizuri, kwa kufanya...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu

    Habari, za wakati huu wana Jf, Mimi kijana mwenzenu mpambanaji nimekuja hapa kuomba kufahamishwa utaratibu wa kufungua duka la dawa muhimu za binadamu (DLDM). Kitaalamu mimi ni afisa muuguzi II, mahali nilipo nimeona fursa ya kufungua duka la dawa muhimu ila tatizo sielewi utaratibu ukoje...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Ni muhimu polisi wafuate sheria za ukamataji ili kuondoa sintofahamu

    Imeshakuwa ni jambo la kawaida watu waliovaa kiraia na gari la kiraia kuondoka na mtu kisha baadae mnaambiwa alikuwa polisi. Wengine wanapotea kauli inatoka waliomkamata hawakuwa polisi. Huu mkanganyiko ni kwa kuwa mara nyingine inakuwa shida kutofautisha watu hawa, na itakuwa matokeo ndio...
  7. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni Mfugaji wa Kuku,Fuga App ni Muhimu Shambani kwako

    Kama wewe ni Mfugaji Kuku ,Fuga App inakusaidia Kufuga kwa Uhakika kwa Kuepuka hasara zinzazotokana na Kulisha zaidi au kuwapunja Kuku,kwa kukupa ratiba ya Chakula kila siku. Simamia Shamba lako kisasa ,Achana na Stress za kuibiwa chakula lini chakula Kinaisha,Uza bidhaa zako kwa Faida kwa Kujua...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa kuifungia JF, Urais wa Samia kukosa fursa muhimu ya kuhifadhiwa katika kumbukumbu za kisiasa nchini

    Laiti serikali ingejua umuhimu wa Taarifa zilizomo JF, bila shaka ingewapa nishani ya juu kabisa vijana walioanzisha mtandao huu. Jamiiforums, Imeudocument vizuri utawala karibia wote wa Jakaya Kikwete, Imeudocoment vizuri utawala wote wa John Pombe Magufuli. Hii maana yake ni kwamba Taarifa...
  9. JamiiForums Tanzania Kati ya haki na amani kipi ni muhimu zaidi na kipi hutangulia kingine?

    Naomba niwaulize hasa viongozi wa dini wa kiislamu na kikristo kati ya hayo mawili kipi huanza ili kingine kifwate. Mfano. Mtu anaiba kura ukikemea unaitwa mchochezi Yani mwizi wa kura anakuwa na haki kuliko yule anayefichua wizi. Ndani ya jamii kuna utekaji na mauwaji ya raia holela...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu 2 ya kuzingatia katika ulimwengu huu wa watu kupenda fedha kuliko kumpenda Mungu

    Kwanini nimeandika Uzi huu? Kuna Uzi mmoja nimeusoma humu na kuna jambo moja wiki iliyopita lilitokea. Jamaa mmoja tulionana kujadili issue fulani ya kibiashara (dili). Jamaa anaona kama namtupa kwenye game akataka kujua kikwazo nini. Nilimweleza jambo la kawaida tu ila jamaa akawa serious...
  11. U

    JamiiForums Tanzania TAARIFA MUHIMU: Mkuu Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie,

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Makalla, Jumatatu hii Septemba 1, 2025, amefanya ziara ya kumtembelea Nabii Mkuu Mhe. Dkt. GeorDavie, ikiwa ni muendelezo wa ziara zake za kuwatembelea viongozi wa dini mkoani Arusha kwa lengo la kujitambulisha na kubadilishana uzoefu katika mambo mbalimbali...
  12. JamiiForums Tanzania Salamu ni kitu cha muhimu sana hata kama hutaki kuongea na majirani zako

    Hata kama uko busy sana jitahidi kusalimia majirani zako na sio kuwapita kama huwajui Siku ukiugua ghafla na huwezi kushika simu kupigia ndugu ndio utajua umuhimu wa kuishi na majirani vizuri. Note: Maisha ni yako sawa ila matanga ni yetu.
  13. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu kwa mwanamke unapoolewa

    1 . Mpe nafasi ya kucheat .as long atatumia protection n arudi kwa nyumba. Kwa maana ukishindana n mwanaume utachoka 2.Mheshimu. 3.mpe yote kitandani 4.usimufokee 5.usiwe mropokaji 6.mpikie chakula kitamu 7. Uwe msafi 8. Usiwahi shika simu yake. 9.heshimu wazazi wake. 10. Be a...
  14. JamiiForums Tanzania Maswali muhimu ya kujiuliza kabla ya kuwekeza kwenye masoko ya fedha na mtaji

    MASWALI MUHIMU YA KUJIULIZA KABLA YA KUWEKEZA. 🔁 Kumbuka: Katika somo lililopita tuliongelea tarehe muhimu za kuzingatia wakati wa gawio. Siku ya leo tutaangazia maswali muhimu ambayo inabidi ujiulize kabla ya kuwekeza. Unajiuliza lini uanze kuwekeza? Kabla hujachukua hatua ya kuwekeza, kuna...
  15. JamiiForums Tanzania Twendeni Msikitini, maombi yetu ni muhimu sana kwa Taifa

    Asalaam aleykum waungwana wote, Najiandaa kwenda masjid, tangu nimeamka nimefungulia surat al Kahf, nyumba nzima nimefukiza udi, nguo zangu nimezifukiza udi pia, nikimaliza kuandika na kupost naenda kuoga, najisugua vizuri kila kona ya mwili nikitoka hapo najifukiza udi mwili mzima, nachana...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Maelezo Muhimu kuhusu Biasahara ya Pikipiki

    Habari za wakati huu ndugu, nawasalimu! Somo la Biashara ya spea linaonekana limekaa vizuri. Kuna mambo matatu tu leo naomba niwajulishe; 1. Elimu inayotolewa mtandaoni ni msaada, ukitaka ziada kama kukutana, kuongea kwa simu au kuchati private kwa undani zaidi kuhusu biashara ya spea za...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Baraka za Kaskazini, Hatimaye Makonda akiri jambo muhimu

    Kwa mara ya kwanza jana Makonda amesema jambo ambalo ni ufunguo wa maisha mambo muhimu sana kama unataka kubadilisha maisha yako Tanzania ni haya 1. Uoe au Kuolewa Kaskazi 2. Usome Kaskazini 3. Uzaliwe Kaskazini Watu wa Kaskazini Kilimanjaro na Arusha wana IQ kubwa 120+ ukiwa karibu nao...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Sihifadhi Tena Mafaili Muhimu Kwenye Memory Card Je salama kuhifadhii Vitu Vyanguu kwa Memory Card

    Kwa Nini Sihifadhi Tena Mafaili Muhimu Kwenye Memory Card Kuna wakati niliamini kabisa kuwa memory card (SD au microSD) ndiyo njia salama zaidi ya kuhifadhi mafaili. Zilikuwa ndogo, rahisi kubeba, na unaweza kuzitumia kwenye simu, kamera, au laptop bila taabu yoyote. Lakini kadri siku...
  19. JamiiForums Tanzania Mambo Muhimu ya Kuzingatia Unapoamka Asubuhi ili Kulinda Afya Yako

    Kila siku mpya ni kama nafasi ya pili ya kuandika maisha yako upya. Lakini swali ni, unapoamka asubuhi, je, unaanza siku yako kwa namna inayoilinda afya yako au unaiacha ianze kwa mazoea ya bahati nasibu? Ukweli ni kwamba jinsi unavyotumia dakika zako za kwanza baada ya kuamka, huamua kasi na...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini jezi za Simba zizinduliwe Superdome Masaki, 'sisi' wa Msimbazi sio muhimu?

    Wenye fedha ndio muhimu msimu huu hapa Simba. Uzinduzi wa jezi za Simba umewalenga wao tu sisi wa Tandale tusubiri masazo baada ya vibopa kuzivaa kwanza. Hii imetudhalilisha vibaya sana sisi tunaopaka rangi nyekundu usoni viwanjani wakati wa mechi. Naomba matajiri waende kuishangilia timu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…