muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. Stroke

    JamiiForums Tanzania Baada ya muda mrefu sana hatimaye nimekutana na Binti Mrembo Mweusi Pee!

    Wakuu leo bwana nikasema niushangae huu mji ambao hauna hela na maisha yakiwa makali mno. Katika pita pita zangu nikakutana na binti mweusi pee yaani toto kiuno kama nyigu nywele kaziachia mgongoni hipsi kama mabinduki ya m23 jicho jeupeee tiii aisee. Damu yangu ikawa ya moto mno ukizingatia...
  2. Sesko

    JamiiForums Tanzania Ajibu ametupa majibu ya kibepari, muda utaongea

    By Edo Kumwembe. RAFIKI yangu Ibrahim Ajibu Migomba alikuwa katika ubora wake mbele ya vinasa sauti vya waandishi wa habari baada ya pambano kati ya Singida Big Stars na Mlandege kumalizika Ijumaa usiku katika Uwanja wa Amaan pale Unguja. Ajibu alikuwa ameulizwa maswali mawili mazuri na...
  3. Fantastic boy

    JamiiForums Tanzania Nafanya kazi ya simulizi karibuni

    Habari za muda huu ndugu zangu Naitwa elikana, ni kijana mwenye umri wa miaka 24 ninafanya kazi ya sanaa za simulizi kwa njia za sauti "Storyteller" pia nafanya "Voice over", "Dabin voice" pamoja na fact mbalimbali za maisha,mapenzi n.K ▪︎elimu yangu mimi ni kidato cha nne na sijasomea vitu...
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania Kwanini mitume na manabii huishiwa upako baada ya muda? Je, hizi pako zao ni za kweli au za mchongo?

    Jambo wadau? Naingia kwenye mada moja kwa moja pasipo kuwachosha na maneno mengi. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia upako wa manabii na mitume jinsi wanavyoanza huduma zao kwa pako za hali ya juu sana lakini baada ya muda zile pako huanza kufifia taratibu na kuisha kabisa. Nabaki...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mch. Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama ameishinda vita hata kabla haijaanza. Muda utazungumza

    Mch. Eliona Kimaro ameonesha ukomavu wa kiroho na wa kiutumishi wa hali ya juu sana. Baada ya kupewa barua ya kutakiwa kuchukua likizo ya siku 60 (ambayo hakuiomba bila shaka maana alipanga kuendesha semina), inayomlazimu kusitisha semina aliyokuwa ameianza hapo kanisani kwake, na kutakiwa...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wawekezaji wenza wadai Elon Musk anatumia muda mwingi Twitter na kuipuuza Tesla

    Malalamiko ya Wawekezaji Wenza wa Kampuni ya kuunda Magari ya Umeme (TESLA) yanafuatia kuendelea kushuka kwa thamani ya Hisa na kupoteza zaidi ya Tsh. Trilioni 100 kwa mwezi Januari 2023 pekee. Utajiri wa Musk umeendelea kushuka kiasi cha kuingia kwenye Rekodi za Dunia za Guinness kama mtu...
  7. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Rage: Fei Toto akienda CAS ni kupoteza muda wake tu

    Moja kwa moja kweye maudhui: Mwenyekiti wa zamani wa Simba Ismail Aden amemuonya mchezaji Feisal Salum Fei Toto akikata rufaa Mahakama ya usuluhishi ya FIFA (CAS) atakuwa anapoteza muda tu. Badala yake, Rage amemtaka Fei Toto akae chini tu na Yanga na awe mpole badala ya hiki anachojaribu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Gavana wa BOT amemaliza muda wake au amestaafu?

    Rais amemteua Gavana mpya Kwa taarifa kwamba aliyekuwepo amemaliza muda wake. Lakini kiutumishi au kiutendaji kumaliza muda wako kwaweza maanisha kwamba bado ana umri wakuhudumu lakini mkataba wake BOT umeisha hivyo anarejea KAZI yake ya awali. Au alishastaafu akaongezewa muda na kipindi...
  9. harunimaiga

    JamiiForums Tanzania Je, elimu inapoteza mda?

    Kuna ile point enzi za O-lever ilikuwa inasema," education consumes time" Ndio ni haki ya kila mtoto kupata elimu. Najikita katika kuzungumzia Hindi elimu inavopoteza muda kuanzia kidato Cha pili. Katika mitihani ya Taifa ya upimaji ya kidato Cha pili, Kuna kiwango Cha ufaulu ambacho kitamfanya...
  10. ryan riz

    JamiiForums Tanzania Ijue sababu ya marafiki wa DSM kuwakimbia na kuanzisha visingizio pale inapofika mda wa kupokea washkaji zao wa mikoani

    Marafiki wa Dar mara nyingi wanapoongea na washkaji zao wa mikoani waliosoma nao vyuoni au labda walikua udogoni pamoja mikoani hujinasibu wana maisha bora sana huko Dar. Na pia wana michongo ya kufa mtu si wanawake wala wanaume.. Sasa wanapokuja mikoani washkaji zao huwakaribisha kwa ukarimu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa sakata la muuguzi aliyetaka kutumia vifaa tiba vilivyoisha muda ni aibu

    Sakata la wauguzi huko mkoani tabora waliokuwa wakibishana juu ya matumizi ya vifaa vilivyoisha muda wake limeibua maoni mengi sana ya watu! Wengi wao wameishia kulitazama kwa juu juu na kumuona yule afisa binti mwenye Rafudhi ya KIJITA mix na KIKURYA kwamba ndiye mkosaji na yule mwingine yuko...
  12. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samatta ndio mchezaji bora wa soka wa muda wote Tanzania, GOAT

    Mchezaji pekee kutoka Tanzania kushinda CAF champions league. Mchezaji pekee wa Tanzania kua top scorer kwenye CAF Champions League. Mchezaji pekee Africa mashariki kushinda tuzo ya Mchezaji bora wa Africa (wachezaji wa ndani). Mfungaji namba mbili bora katika ligi ya Belgium, moja ya ligi...
  13. Ubungo Mataa

    JamiiForums Tanzania Tulio bar muda huu tunakunywa tujuane

    Happy new year 2023 to you all Wanabodi.. Heshima mbele! Tuliopo viwanja muda huu na wake zetu, mchepuke n.k tujuane hapa na kiwanja ulichokaa huku unamwagilia moyo. NB: Ada za watoto kulipa mwisho tarehe 6. Hakuna mtoto atakayepokelewa bila kukamilika ada yote! Mm nipo Ngao Pub and Lounge...
  14. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Feisal Toto, ulistahili, unastahili na umechelewa saana, Bravo, kuna muda Maisha ni akili, kipaji pekee hakitoshi - Wanasema Mision Accomplished

    Kwa umri wako na kiwango chako uko kwenye peak ya mafanikio, master mind wako amepanga hesabu zikapangika na wakajaa kwenye hesabu zenu, sasa wewe ndie mchezaji uatakayekuwa unalipwa mshahara mkubwa kuliko wachezaji wote wa ndani, na utakuwa ni mchezaji wa tatu kulipwa mshahara mkubwa kwa soka...
  15. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Msijemwambia Pele kuwa anafananishwa na Messi

    Jenga picha Pele Mchawi wa Mpira, Huyu katika Biblia ya Soka ni Moses. Ni nabii mkubwa sana. Just imajini akiwa kitandani aambiwe Lione Messi anafananishwa naye. Atakata roho hapo hapo kwa uchungu. Msije mwambia jambo hili. Please sisi tuliokuwepo toka zamani tunao heshimu mpira na watu wake...
  16. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kweli Hali Ngumu mpaka Muda huu 0-0

    No Mwaliko no invitation na mchezo ndo unaelekea mwishoni bado 0-0
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Bwana harusi ajinyonga akisubiriwa ukumbini

    Sherehe ya harusi kati ya Swadiku Abas (50) na mke wake, Elieth Rwegashora (40) ambao ni wakazi wa Mtaa wa Zenze eneo lililopo Kiseke wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, iligeuka msiba baada ya bwana harusi kujinyonga muda mfupi kabla ya sherehe kuanza. Kwa mujibu wa taarifa ya Jeshi la Polisi...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Tumemaliza rasmi ubishi wa nani zaidi kati ya Messi na Cr7

    Timu Ronaldo walipiga kelele nyingi sana ndani ya miaka hii michache iliyopita hadi tukaona tuwaache tu, sasa leo hii pumba na mchele vimejitenga hakika sasa wote tunaongea lugha moja. Wakati Cr7 akiwa kwenye sofa na remote sitting room nyumbani kwao mwenzake huko Qatar anaibeba timu yake...
  19. georgeallen

    JamiiForums Tanzania Wahadhiri kuomba kuongezewa muda wa kustaafu kutoka miaka 60 hadi 70

    Nimemsoma mkuu wa chuo kikuu huria cha Tanzania, OUT akimuomba makamu wa Rais, Mh Mpango awaongezee wahadhiri wa vyuo vikuu muda wa kustaafu Kutoka miaka 60 ya sasa hadi miaka 70. Kwa kuwa umri wa kuishi kwa mtanzania ni miaka 65, kuna faida yoyote kuwaongezea umri wa kustaafu wahadhiri hao...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Nilizopata muda huu kumhusu Mfanyabiashara katili Soko la Kawe Bwana Cherehani ni kwamba ameshakamatwa

    Nianze kutoa Shukran zangu nyingi kwa Uongozi mzima wa Mtandao huu mkubwa wa JamiiForums hasa Kwake Mwanzilishi Maxence Melo Pili nitoe Shukran zangu nyingi sana kwa Jeshi la Polisi nchini Tanzania kupitia kwa IGP Wambura kwa Utendaji na Ushirikiano wake wa Kutukuka uliozaa Matunda. Tatu...
Back
Top Bottom