muda

MuDA was the acronym of the Museum of Digital Art, an art space dedicated to digital arts. The institute was opened in February 2016 in Zurich by the non-profit Digital Arts Association. It closed by the end of June 2020.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Huku Manispaa ya Songea, Watoto wadogo wamekuwa Machinga wa kuuza mifuko hadi muda wa usiku

    Watoto wa Manispaa ya Songea ambao ni Wanafunzi wa Shule za Msingi wenye umri kuanzia Miaka 8 wamekuwa wauzaji wa mifuko (vifungashio) mpaka muda wa usiku. Kipindi hiki ambacho wamefunga shule, wamekuwa wanaanza biashara hiyo asubuhi hadi usiku wa saa tatu hadi nne katika soko la jioni maarufu...
  2. Right Marker

    JamiiForums Tanzania Acheni kuchimba mashimo na kuyaacha wazi kwa muda mrefu.

    📖Mhadhara (76)✍️ Katika pita pita zangu kwenye mikoa ya Mbeya na Songwe nimefanikiwa kugundua kero inayohatarisha maisha ya watu hasa watoto wadogo. Wenyeji wa mikoa tajwa mnapenda sana kuchimba mashimo marefu (kwa matumizi ya visima, vyoo, maji taka, n.k) na kuyaacha wazi kwa muda mrefu...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe alikuwa na haraka ya nini kulipa 250m badala 50m aliyopangiwa wakati tupo ndani ya muda. Ni rushwa arudishiwe.

    Muda wa kulipa mchango wa ghalama za uchaguzi (dead line) bado. Kwa nini Mbowe akimbilie kulipa zaidi ya kiwango alichopangiwa?. Hiyo ni rushwa. Nashauri arudishiwe na kama kutakuwa na ulazima tutaambiwa tuongeze kama kuna baadhi ya wachangiaji hawatatoa. Hata kauli ya Wenje kumtanhgaza Lissu...
  4. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Tuwe na utaratibu wa kuziweka wazi taarifa kificho muda unapofika

    Wazungu kuna kitu wanaita classified information! Hizi ni taarifa kificho zinazofahamika kwa kaliba fulani ya watu ndani ya mamlaka ya nchi.. Hizi huwa ni taarifa za siri zinazowahusu viongozi wa nchi mambo yahusuyo nchi ambazo kama zikivuja kwa wakati huo nchi inaweza kuingia matatani Huitwa...
  5. Jobless_Billionaire

    JamiiForums Tanzania Hii nilikutana nayo mahala. Sijui ni ya muda gani ila nimeshare

    Huyu ni kiongozi kabisa. Sijajua kama alifanya research na kubaini faida ya wafanyao hiyo biashara kuwa ni shilingi mia tatu kwa siku. Ila sikuona kama alikuwa sahihi kukashifu jitihada za watanzania wa hali ya chini wafanyaji wa biashara husika Nimeishia kucheka tu
  6. Azoge Ze Blind Baga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mnawezaje kuishi/kukaa na mwanamke anaeongea na simu muda wote tena vitu visivyo na msingi?

    Kama mada inavyojieleza Nina mke wangu ambaye nina watoto nae. Ila kutokana na mambo mbalimbali tumetengana kama miaka miwili sasa Watoto wangu wamekuja kunitembelea likizo. Tunaishi kwa furaha na upendo. Baada ya siku kadhaa mama yao nae kaja kutoka huko anakofanyia kazi. Sasa kitu...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi

    Habari za muda huu ndugu zangu, Kwa majina naitwa Leilah binti wa miaka 23 jinsia mwanamke. Lengo la kuandikia ujumbe huu ni kuomba msaada wenu wakubwa. Nina u1hitaji wa ajira yoyote ile nitafanya (am strong enough)nitafanya kwa uamanifu na heshima ya hali ya juu Kuhusu elimu pia nimesoma hadi...
  8. Kahama- shy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna muda Bongo Star Search kweli inapata wapi?

    Just imagine mwana wa mai 🤣🤣😆
  9. RingaRinga

    JamiiForums Tanzania Muda wa ajira kwa baadhi ya kada za Serikalini uwe mfupi

    Tatizo la ajira serikalini limekuwa sugu sana. Ajira ni mojawapo ya keki ya taifa inayofaa kufaidiwa na wote wanaostahili. Sasa nashangazwa na utaratibu wa serikali wa kuwang'ang'ania watumishi wa serikali hadi watimize umri wa miaka 60 ya kuzaliwa. Kuna baadhi ya kada kwa kuzingatia wingi wa...
  10. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa

    Nimeishi na Watanzania kwa muda mrefu nimegundua idadi kubwa ina tatizo la (non sequitur), tatizo la kutoa majibu yasiyoendana na maswali yaliyoulizwa Hili tatizo linawasumbua sana Watanzania wenzangu inawezekana hawajafundishwa shuleni namna ya kujibu maswali kama sivyo wamejawa na dhihaka...
  11. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kubadilisha jina kwenye passport?

    Msaada wa haraka tafadhali! Kuna mtu anahitaji kubadilisha majina kwenye nyaraka zake za muhimu: PASSPORT, DRIVING LICENSE, NIDA, KITAMBULISHO CHA MPIGA KURA, n.k. Majina yanayobadilishwa ni mawili: la kwanza na la kati. La mwisho (la ukoo) litabaki kama lilivyokuwa. Utaratibu ukoje? 1...
  12. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hapo ofisini kwenu ukiwa umefulia ukifika muda wa lunch huwa unatumia mbinu gani kuzuga ili watu wasikushtukie kuwa umefulia?

    Me kiukweli mara nyingi huwa nazuga muda huo ndio nachapa kazi kwelikweli au nasingizia tumbo haliko vizuri. Je wewe huwa unatumia mbinu gani usishtukiwe kuwa umefulia?
  13. NostradamusEstrademe

    JamiiForums Tanzania Ubunge viti maalumu - Wadau wataka ukomo wa muda

    Chanzo gazeti la Mwananchi la leo Nini maoni yako Mimi maoni yangu hata wabunge wangekuwa na ukomo wa miaka 10.Hii itaondoa dhana kuwa bila flani mambo hayawezi kwenda kumbe mwingine utajiri wake na pesa zake ndio zinamfanya awe na kiburi. Hakuna mtu aliyezaliwa kutawala milele watu wanazaliwa...
  14. Knock life

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere umeua ndege wawili kwa jiwe moja

    Hongera Sana Yericko Nyerere. Mpaka sasa umeua Biashara yako ya vitabu , maana watu wameshaanika Elimu yako na Kuonekana hauna Elimu inayoeleweka hivyo wamesema wanaenda kuchoma vitabu vyako vilivyojaa uongo . Pili umeaua Credibility yako na watu waliokuwa wanakupa Kazi za Urundi umeme . Huu...
  15. Nzelu za bwino

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana mtu kuwa sahihi muda wote?

    Salaam wana bodi ,kwanza niwatakieni siku kuu njema ya krismas na heri ya mwaka mpya wa 2025.nirudi kwenye madam yangu.hivi inawezekana mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke ,kuwa sahihi wakati wote,kwenye jambo lolote,kwenye kunena kote,kufanya mambo yake yote na kuishi kwake kote bila kuwa na...
  16. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya muda leo nimeanza kurusha matangazo ya adsense

    Wakuu hii ni mara ya kwanza kukubaliwa na adsense ishu nataka wale wenye uzoefu waniambie malipo yanapokelewa vipi huku tz Naomba mnijuze
  17. A

    JamiiForums Tanzania Kupitia kinachoendelea ndani ya CHADEMA ni dhahiri CCM itaendelea kuwa chama dola kwa muda wa miaka mingi ijayo

    Ndugu wana JF, Ni ukweli usiofichika mpaka sasa CHADEMA imeshaingia kwenye mtego wa CCM na kazi nzuri iliyofanywa na watu ambao ni very smart na kwa uangalifu mkubwa ni kama imeshamalizika ikiwa na athari hasi kwa miaka mingi sana ijayo kwa CHADEMA na athari chanya kwa CCM. Kete muhimu za...
  18. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Kwa wazoefu: Huchukua muda gani kulipwa malipo kutoka akaunti ya mirathi ya mahakama??

    Ikiwa kama nyaraka zote zimekamilika na mmeambiwa msubiri malipo kwenye akaunti zenu,huchukua muda gani?? Kwa uelewa wangu kutokana na maendeleo ya sayansi na teknolojia basi ni siku kadhaa! Mwezi wa pili huu mnaambiwa msubiri! Nb:Mirathi mahakama ya Nyamagana!
  19. K

    JamiiForums Tanzania Hivi wapiga debe wa stand huwa wanalala muda gani?

    Nazungumzia hawa wapiga debe wa stand zilizo busy kama hii ya Magufuli. Hawa jamaa usiku na mchana wapo tu hapo stand,huwa wanapata muda wa kulala kweli?
  20. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa sasa waliodumu bungeni muda mrefu, miaka 20 na kuendelea

    William Lukuvi- Miaka 30 Job Ndugai-Miaka 25 Mussa Zungu-Miaka 20 Ahmed Shabiby-Miaka 20 George Mkuchika-Miaka 20 George Simbachawene-Miaka 20 Luhaga Mpina-Miaka 20 Maida Hamad Abdallah-Miaka 20 Halima Mdee-Miaka 20 Vita Kawawa-Miaka 20 Pindi Chana-Miaka 20
Back
Top Bottom